Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kesho maafsa wa Tpdf wanagraduate
Screenshot_20221125-140128~2.jpg
 
Wakuu hivi hawa askari wapya wa jezhi la polisi wakianza kazi kuna vijipesa wanakopeshwa ama vip??
 
vp ujapata za msata maana Bachelor OG anaweza mfunga jamaa wa ikulu
uyo jamaa me nshampanga aache mapepe kwamaana toka uyo mtu wake wa ikulu alipochukua pesa hakuna kozi iliyopigwa mpaka sasa, Sasa yeye kila mahali ni kumsemea tu mbovu anapaswa ajipe imani kama kutakuwa na bogi na yeye awepo.

Btw nilisikia mwezi wa pili mwakani ndo Jw watacheka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom