Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

uyo jamaa me nshampanga aache mapepe kwamaana toka uyo mtu wake wa ikulu alipochukua pesa hakuna kozi iliyopigwa mpaka sasa, Sasa yeye kila mahali ni kumsemea tu mbovu anapaswa ajipe imani kama kutakuwa na bogi na yeye awepo.

Btw nilisikia mwezi wa pili mwakani ndo Jw watacheka..
daah wale jamaa waasi waliosamehewa wapo uzalendo miez 9 sahiz na millitary science wameenda wiki iliyopita
 
Polisi vip??
haya sasa View attachment 2437341
IMG-20221206-WA0000.jpg


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom