zink
JF-Expert Member
- Sep 18, 2021
- 924
- 1,477
Kinaruhusiwa vizuri tu nina jamaa yangu kapita na icho chetu kwa jeshi la policeWakuu hivi cheti cha JKT mujibu wa sheria kinaruhusiwa kwenye hvyo vigezo
Kinaruhusiwa vizuri tu nina jamaa yangu kapita na icho chetu kwa jeshi la policeWakuu hivi cheti cha JKT mujibu wa sheria kinaruhusiwa kwenye hvyo vigezo
HiIVI ZIMAMOTO TULIOOMBEA DARESALAM KUNA ALIEPIGIWA SIMU..??
Naskia wameanza kupigiwa cm
Huna lonja za mikoa mingine
Mwanza wilaya ilemela wamechukua6 ili waende ngazi ya mkoa.
Hivi maximum mkoan wanachukua watu wa ngapiMwanza wilaya ilemela wamechukua6 ili waende ngazi ya mkoa..
Maana kigom uku wapo kama 30 gazi ya mkoaMwanza wilaya ilemela wamechukua6 ili waende ngazi ya mkoa..
Wapo kwenye usailHao 30 ndio wapo kwenye usaili.....au ndio waliochukuliwa..??
Dah cio poaTanga wamechukuliwa watu 10.
we omba tu unaweza kupata,hakuna mtu wa kufuatilia umriHV unaweza omba hata kama umri umezidi hapo let say una 24
Ndo wameanza kupigia watu cmHivi daresalam vipi umepata informations zake....???
Uliombea dsm wwDuuh Hatari sana...
Ee dsm...
Washamaliza ndioIvi magereza washamaliza usaili wao mkoani ??????
Yaaah wanasubil kwenda koz2Mikoa yote..?,