maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,169
- 1,533
Ulizia Pemba island hotel
Meli zipo, kuna Sea link, AKRAM kama sikosei, ila huko unapoeenda nyege zako acha nyumbani ukirudi utazikuta ukipuuza utarudi ukiwa chizi au kama wakiume utarudi ukiwa na mimba, hapo ndo ujiulize inawezekanaje. Tofauti na hapo jamaa ni waaminifu mnoooo hata ukisahau hela dukani kwa mtu au mahali ambako kuna watu utarudi na utaikutaHabarini ndugu watanzania.
Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu kuvifahamu kwa mtu ambaye si mwenyeji wa huko.
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna ferry ambazo zinatoka Tanga direct to Pemba.
Ahsanteni.
Meli zipo, kuna Sea link, AKRAM kama sikosei, ila huko unapoeenda nyege zako acha nyumbani ukirudi utazikuta ukipuuza utarudi ukiwa chizi au kama wakiume utarudi ukiwa na mimba, hapo ndo ujiulize inawezekanaje. Tofauti na hapo jamaa ni waaminifu mnoooo hata ukisahau hela dukani kwa mtu au mahali ambako kuna watu utarudi na utaikuta
Bil shaka washampa mwongozo
Wewe nenda tu, upate yako sio ya kuambiwaHabarini ndugu watanzania.
Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu kuvifahamu kwa mtu ambaye si mwenyeji wa huko.
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna ferry ambazo zinatoka Tanga direct to Pemba.
Ahsanteni.
Kila muda wa sala ukiwa na watu kama wewe siyo muislam, utaachwa hapo wanaenda kusali. Jamaa hawachelewi hata sekunde. All in all jamaa ni watu wazuri sana. Ila kama walivyokushauri mambo ya mapenzi kule ni mpaka uoe na kuoa ni rahisi tunaomba fafanua kidogo mkuu, ugumu wa kupata ushirikiano unatokana na nini?
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???Ngoja waje kukupa mwongozo.
Mkuu mbona unaweka marinda yako rehani?Habarini ndugu watanzania.
Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu kuvifahamu kwa mtu ambaye si mwenyeji wa huko.
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna ferry ambazo zinatoka Tanga direct to Pemba.
Ahsanteni.
Hakikisha kila mwanaume unayemuona njiani unamsalimu kwa salamu hii hapa; Yakheee! Salamalekooo!!
Choo na bafu zao zinaangalia mbinguni, ngoja niishie hapo.Habarini ndugu watanzania.
Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu kuvifahamu kwa mtu ambaye si mwenyeji wa huko.
Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna ferry ambazo zinatoka Tanga direct to Pemba.
Ahsanteni.
Ahsante mkuungoja nikufafanulie, kwa mwezi huu wa ramadhani huwezi kupata huduma ya breakfast kwenye hoteli au guest house za kawaida. Hata lunch itakuwa shida.
Ushauri: nunua kibirika chako kidogo cha vikombe viwili pamoja na majani ya chai na sukari yako, weka chumbani kwako utengeneze mwenyewe asubuhi unywe ndani mwako. Aidha lunch itabidi ushindie matunda au mikate mpaka jioni wakati wa futari.
Ahsante sanaUlizia Pemba island hotel