Naelekea Pemba, naombeni uzoefu wa kimazingira

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
509
659
Habarini ndugu watanzania.

Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu kuvifahamu kwa mtu ambaye si mwenyeji wa huko.

Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna ferry ambazo zinatoka Tanga direct to Pemba.

Ahsanteni.
 
jiandae kurogwa,anyway mwezi huu majini yamefunga
 
Ndugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, tamaduni zao, nini cha kufanya/kutofanya ukiwa huko na kila kitu muhimu.
 
JF ya sikuhizi inabidi uwe na uvumilivu sana wako watakao kuja kukushauri kulingana na ulichoomba kwahiyo kuwa na subira tu
 
Maisha rahis sana kwanzia lodge chakula mpka usafir, ukiwa mgen sehm yoyote usilete mazoea na wanawawake wa maeneo hayo mana mana wanaume wenyej ukuchukulia kama special sana na kuhis unataka kuchukua dada zao au wake zao watakachokufanya hutarud tena mazngira hayo, wazito kutoa ushirikiano hasa ukiwa din tofaut na wao mengine utayakuta uko uko
 
Ndugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, tamaduni zao, nini cha kufanya/kutofanya ukiwa huko na kila kitu muhimu.
Jamii forums unatafuta walio serious ? Nenda huko huko utajua hukohuko, au waulize watu hapo ulipo au kivukoni huko watakupa muongozo.
 
Maisha rahis sana kwanzia lodge chakula mpka usafir, ukiwa mgen sehm yoyote usilete mazoea na wanawawake wa maeneo hayo mana mana wanaume wenyej ukuchukulia kama special sana na kuhis unataka kuchukua dada zao au wake zao watakachokufanya hutarud tena mazngira hayo, wazito kutoa ushirikiano hasa ukiwa din tofaut na wao mengine utayakuta uko uko
Mkuu hivi kuna waganga?
 
Ndugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, tamaduni zao, nini cha kufanya/kutofanya ukiwa huko na kila kitu muhimu.
Hivi jongoo wana ruhusiwa kuvuliwa siku hizi ...

Ova
 
Pemba kama Pemba ni wakarim mnoo hawana mambo mengi.
Vifuatavyo ni vitu ambavyo vitakusaidia ukiwa Pemba. Kabla sijakwambia vitavokusaidia naomba uniambie unaenda Pemba sehemu gani na naamini ntakusaidia hapa hapa mpaka kukamilisha vitu vyako. Au ni PM kwa msaada zaidi.

1. Kuwa mwazi... Elezea kilichokupeleka utapata ushirikiano hasa kwa vijana ila usiwe mzito kutoa chochote kwa hao vijana make wanajua utawatoa na wao watakupa njia zote za kukamilisha mambo yako.

2. Salam... Pendelea sana kusalimia "Assalam alaikum" Kwa rika zote na kwa wazee utamalizia kusema shikamoo/ni.

3. Usijeweke na muonekano wa kihuni... Penda kuwa mstaarabu kama walivo wao ingawa kuna vijana wa hovyo kuliko Bongo.

4. Usile hovyo... Kwa mwezi huu kama wewe ni Mkristo na haujafunga sikushauri utaenda kufa kwa njaa au kiu. Hawauzi chakula chochote mchana na hata maji hautapewa vingine ukutane na wasiofunga ndo watakupa msaada au uwe na vitu vyako kwenye begi na ule kwenye gari utakayoikodi.
 
Hakuna ferry kwa sasa kuna speedboat Zanzibar 3 nauli ni 35k - 45k.

Hotel ni 25k + 30k na Selfdrive ni ngumu kdg kupata kama utakua huna mtu yoyote ambae unajuana nae uku ila unaweza ukapata

Migahawa ya kula ipo ila sio mingi sana ni ya kutafuta kwa tochi.

Unataka kufikia Pemba Sehem gan mkuu?
 
Ndugu nipo very serious, lakini mnanijibu utani sana. Nahitaji kuwa na taafifa za kutosha ili niwe na picha ya mazingira ya huko, kuanzia gharama za maisha, hoteli, chakula, na kila kitu muhimu.
Maisha rahis sana kwanzia lodge chakula mpka usafir, ukiwa mgen sehm yoyote usilete mazoea na wanawawake wa maeneo hayo mana mana wanaume wenyej ukuchukulia kama special sana na kuhis unataka kuchukua dada zao au wake zao watakachokufanya hutarud tena mazngira hayo, wazito kutoa ushirikiano hasa ukiwa din tofaut na wao mengine utayakuta uko uko
Ahsante mkuu
 
Pemba kama Pemba ni wakarim mnoo hawana mambo mengi.
Vifuatavyo ni vitu ambavyo vitakusaidia ukiwa Pemba. Kabla sijakwambia vitavokusaidia naomba uniambie unaenda Pemba sehemu gani na naamini ntakusaidia hapa hapa mpaka kukamilisha vitu vyako. Au ni PM kwa msaada zaidi.

1. Kuwa mwazi... Elezea kilichokupeleka utapata ushirikiano hasa kwa vijana ila usiwe mzito kutoa chochote kwa hao vijana make wanajua utawatoa na wao watakupa njia zote za kukamilisha mambo yako.

2. Salam... Pendelea sana kusalimia "Assalam alaikum" Kwa rika zote na kwa wazee utamalizia kusema shikamoo/ni.

3. Usijeweke na muonekano wa kihuni... Penda kuwa mstaarabu kama walivo wao ingawa kuna vijana wa hovyo kuliko Bongo.

4. Usile hovyo... Kwa mwezi huu kama wewe ni Mkristo na haujafunga sikushauri utaenda kufa kwa njaa au kiu. Hawauzi chakula chochote mchana na hata maji hautapewa vingine ukutane na wasiofunga ndo watakupa msaada au uwe na vitu vyako kwenye begi na ule kwenye gari utakayoikodi.
Ahsante mkuu nakuja inbox
 
Back
Top Bottom