Naapa kujiua

Naapa kujiua

Status
Not open for further replies.
Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,

Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma

Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,

Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU

sioni haja ya kuishi
Mkuu hiyo Hali itapita usifanye hivyo Maana Mama ako Atumuachia majonzi au kajiulie mbali bila kutoa Taarifa kwa Mama ako mzazi.
 
Depression is real.

Mkuu kwa nini ujitoe uhai kisa ugumu wa maisha?

Kuna maisha mengine nje ya kupambania shule.

Hebu tafakari kabla haujafanya uamuzi huo. Ukijiua huyo mama utampa simanzi kubwa kuliko unavyowaza.
 
Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,

Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma

Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,

Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU

sioni haja ya kuishi
Mama yako et anakupenda ila Hana maisha afu unasema baba Hana msaada ,, kwann na Yeye usiseme Hana maisha Kama mamako?

Ila kufa tu wasalimie kuzimu
 
Very cool mkuu

Kikubwa ni kwamba tambua kila changamoto unayoipitia ina mwanzo na mwisho.

Wengi tunajua siku hizi hali ni mbaya sana kiuchumi na walio kwenye meza za maamuzi huwa hawana mawazo kuwa maamuzi yao husababisha madhara kwenye jamii.

Wanafikiria matumbo yao na famia zao.

Hali ngumu unayoipitia ni sehemu ya elimu ya maisha kwa sababu ni wachache sana waliofanikiwa walitokea kwenye ukwasi. Bali wengi waliofanikiwa walipitia hali karibiana na wewe.

Keep up and fight kiume. Usikubali kukata tamaa. Tanzania hii hautokufa kwa njaa kamwe. Ni vile kila shida ina muda wake
 
Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,

Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma

Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,

Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU

sioni haja ya kuishi
Jibu swali hili kabla hujafanya chochote,upo mkoa na wilaya gani hivi sasa?
 
Namna ulivyoandika haioneshi kama upo serious.
 
Unaishi mtaa gani,wilaya na mkoa upi mbwa weye?Sijala wali wa hitma siku mingi sana.Andika na wosia hizo kaptula zako nani unamrithisha.Na uzifue kabisa.
 
Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,

Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma

Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,

Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU

sioni haja ya kuishi
Hebu njoo pm tuongee
 
Mbona leo asb nilivyokwambia nataka kujiua kwaajili ya ile issue ulinifariji? Nikaghairi
You were affirmative not seeking for attention. And I care about your well-being.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom