Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,934
- 133,996
Haya matukio yaanza kurudi tena JF
Watu wanafanya utani lakini hili jambo ni seriousHaya matukio yaanza kurudi tena JF
Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Biashara gani mkuuNjoo tufanye biashara.

Akishakaa siku ya kumtoa hataki tena 😂😂 panakuwa kwake andikishana mkataba kabisaUpo mkoa Gani? Mimi ni Mtafutaji kama wewe Bado nahamgaika na maisha, Ila Nina nyumba kijijini mkoa X, Kuna Solar kubwa Sana, Kuna eneo kubwa la kulima, nyumba ya Chumba na sebule imeisha tayari, Kuna mabanda ya kuku pia, unaweza Fuga na kulima pia, ukachajisha simu maana umeme haujafika huko, nitakupa ukakae Bure kabisa, maana msoto wa mtaa naujua na nimeuishi Sana, achana na mawazo ya kurudisha namba mbinguni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Eee na tupo Poa tu anataka kuchenga tozo huyu4 sure na life goes on uyo kijana anazingua sana.
Hiki ni kiashiria cha wazi kwamba hali ya maisha ni mbaya.Haya matukio yaanza kurudi tena JF
Hongera kijana kwa kupambanaMi mwenzio ni kama wewe tu nipo zangu uku morogoro najilimiaa zangu mpunga nimeanza last year lakini nimejiozesha saaa hiv npo nakafamilia kangu hapa mke na mtoto mmoja wa kiume tumefanana kweli na kana tabasamu zuri katoto kangu ka miezi 3
Nilikuja uku nikalima ekr 1 nikapata gunia 19 saiv nimenunua aset za ndani na mimepanga chumba na seble japo ni kijijin ila umeme na maji vpo tumejiwekea chakula cha kutosha misimu miwili na akiba ya pesa tujitibie tukiumwa.
Saivi na watch movie na familia yangu tukiwa wenye furaha tele uku nikisubiri masika nilime tena
We unataka kujiua shauri yako
Nb, nimetimuliwa chuo kwa kukosa ada mwaka jana (ningekuwa mwaka wa pili) na mwaka jana huo huo nikaondokewa na mama yangu mzazi.
Kwahiyo huu ndio waraka wako wa mwisho kama bwana katibu🤣🤣🤣, acha ujinga, ukifa ni hasara ya nani? Ni mama yako alijituma kukulea hadi umekuja akiamini wewe ndio jembe lake la kumsogeza atua moja ya maendeleo, angekuwa mjinga kama wewe si angekuwa tangu anakuzaa... Ukienda msaisalimie bwana katibu.. Najua mtakua mahabusu moja.. Mwambie waraka wake na yeye haukueleweka, arudi auweke vizuri🤣🤣Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Hata ya kuuza mifuko.Tunachukua kariakoo kwa Mchungaji tunatafuta kijiwe cha kuhifadhi,tunakuwa tunasambaza.Biashara gani mkuu