Njoo pm nikusaidie mdogo wangu.....mimi ni miongoni mwa wachache walioishinda vitaKama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Ila jf banamuda sio mrefu umesema unachakata mbusus bila malipo wakufate pm
Muda huu unataka kujiua
Ni wamekataa kuja pm au
View attachment 2390035
Anyway usijiuwe mkuu maisha haya ni kupambana

VAR
Usiseme hivyo tafadhali SanaSasa sisi unatuambia ili tufanyeje?
Mkuu hali umeshindaje naomba nitumie Pm izo njia.Njoo pm nikusaidie mdogo wangu.....mimi ni miongoni mwa wachache walioishinda vita
Usifanye hiko Kitu utakapojiua Mama yako utamuweka katika hali ngumu sana.Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Nisemeje?Usiseme hivyo tafadhali Sana
Mimi mwenyew mbona nataka kujiua Kwa sabab ya Ajira lakini sisemi?. Aache kujambisha watuMkuu sio masihara watu wa aina hii wapo wengi Sana..mods huwa wanajitahidi kufuta Sana nyuzi zao....
Sema inakua ujinga una miliki smartphone halafu unatangaza kujiua
Usikate tamaa,Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
hahahahaTunda la goroko77 linakufanya ujiue?View attachment 2390027
Pole sanaMi mwenzio ni kama wewe tu nipo zangu uku morogoro najilimiaa zangu mpunga nimeanza last year lakini nimejiozesha saaa hiv npo nakafamilia kangu hapa mke na mtoto mmoja wa kiume tumefanana kweli na kana tabasamu zuri katoto kangu ka miezi 3
Nilikuja uku nikalima ekr 1 nikapata gunia 19 saiv nimenunua aset za ndani na mimepanga chumba na seble japo ni kijijin ila umeme na maji vpo tumejiwekea chakula cha kutosha misimu miwili na akiba ya pesa tujitibie tukiumwa.
Saivi na watch movie na familia yangu tukiwa wenye furaha tele uku nikisubiri masika nilime tena
We unataka kujiua shauri yako
Nb, nimetimuliwa chuo kwa kukosa ada mwaka jana (ningekuwa mwaka wa pili) na mwaka jana huo huo nikaondokewa na mama yangu mzazi.
Miaka 21, nimefaulu masomo yangu ya kidato cha sita mwaka 2021, nikashindwa kuendelea kwa kukosa mkopo, nimepanga vyumba viwili na mama yangu pamoja na mdogo wanguUna umri gani?Umefaulu kwenda hatua ipi kimasomo?unahitaji ada au msaada upi?Nini hitaji lako kijana,funguka usaidiwe