Support ya ada chuoni, au mtaji nifanye biashara niweze kuinua familia yanguPole sana funguka mdogo wangu shida ni nini ? Hauko mwenyewe hapa jamvini kila mtu ana maswaibu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikate tamaa,vumilia,kujiua ni hasara ya nafsi yako milele,humkomoi mtu,jipe moyo,pambana kiume,maadam wewe umeona katika familia kuna umaskini,sasa sikia Mungu anataka wewe upambane uitoe familia hapo ilipo na kuiandikia historia mpya,jipe moyo unaweza,jiulize ukikata tamaa wewe unawaangusha watu wangapi nyuma yako,wengi tu,pia mama,baba,na ndugu zako utawatia huzuni na masikitiko makubwaKama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Basi mama usiwe mkali, mtoto kakosea arekebishwe usimtukane ukamuongezea maumivu ya moyo.We mpumbavu kweli kweli yani unashindwa kuja hapa na kuomba watu tujichange tukusaidie unaleta ushenzi hapa.
Unadhani kufa ni rahis hivo eeh
Me hata mtaji sina baba angu, ningekuja hata huko kijijini kutafuta maana sichagui kaziMi mwenzio ni kama wewe tu nipo zangu uku morogoro najilimiaa zangu mpunga nimeanza last year lakini nimejiozesha saaa hiv npo nakafamilia kangu hapa mke na mtoto mmoja wa kiume tumefanana kweli na kana tabasamu zuri katoto kangu ka miezi 3
Nilikuja uku nikalima ekr 1 nikapata gunia 19 saiv nimenunua aset za ndani na mimepanga chumba na seble japo ni kijijin ila umeme na maji vpo tumejiwekea chakula cha kutosha misimu miwili na akiba ya pesa tujitibie tukiumwa.
Saivi na watch movie na familia yangu tukiwa wenye furaha tele uku nikisubiri masika nilime tena
We unataka kujiua shauri yako
Nb, nimetimuliwa chuo kwa kukosa ada mwaka jana (ningekuwa mwaka wa pili) na mwaka jana huo huo nikaondokewa na mama yangu mzazi.
Anataka umdekeze,,mbona hawaend kutangaza Facebook ama Twitter kuwa wanataka kujiua?Nisemeje?
Hamia Yanga wewe! Huko uliko utaishi na stress maisha yako yote.Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi