housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
CaucasianMzungu ndo nani?
CaucasianMzungu ndo nani?
hahaaa comment kama zipi mkuu?
Mungu ametupa akili na utashi sawa. Lakini kuna vitu vinatukwamisha na kuna Issue za kihistoria ambazo sitazitaja kwa kuwa natumia simu lakini kikubwa ni kuwa sisi hatutumii akili wenzetu wanatumia zao. Sisi mabingwa wa kulalamika wakati wao wanatafuta suluhisho. Sisi ni watu wa kujidharau wao wanajiamini. Hata hivyo hiyo misemo ni ya mtu aliyekata tamaa na si lazima awe mwafrika. Wazungu nao kuna mambo mengi wako shallow au nyuma hivyo basi topic hii ni tata na si rahisi kama inavyodhaniwa.
Tuache kulalama, tutumie akili tulizopewa na Mungu pamoja na maliasili zetu. Tujifunze kutatua matatizo yetu badala ya kulalamika na tuache utapeli na ujanja ujanja.
kama upo hohehahe hujielewi usisubirie upondwe, hii ndio inauma na mbaya zaidi unaweza ukanywa hata sumu, jitafakari kasoro zako ujishangae kisha uchukue hatua, usijipe moyo upo vizuri wakati una hali mbaya mnoComment za kujiponda sisi wenyewe!!
hahaaa comment kama zipi mkuu?
Huu ukweli unauma sanaaMzungu kapendelewa kila kitu.
Hii kitu inaniumiza sana. Hivi kwanini sisi tunapenda kuharibiana hata ugenini?Yani sisi miafrika hadi huku ulaya we are completely disorganised. Mwafrika mwenzako tena subsaharan anakuhujumu hadi kwenye kazi ya kubeba boksi. Tabia zetu ni mbaya sana zakurudishana nyuma. Hata kwenye kazi hizi azihitaji elimu low skilled or unskilled labour( kubeba boksi) mwafrika inamuwia vigumu kufanya Yani work ethics ni zero. Ndio maana manepali mabangladeshi wanakuwa favoured sana kwenye hizi kazi za kubeba boksi
Nyambaff zetu
hivi kuzaliwa mwanadamu burundi, somalia, africa ya kati, au drc halafu ukawa una kipato cha kawaida, na mbwa aliyezaliwa labda uingereza ni nani ambaye atakua anatendewa ubinadamu?
Ok, kabla ya wazungu kuja afrika, kwa nini waafrika hamukwenda kutawala ulaya kabla kama kweli mlikuwa juu kimaendeleo zaidi ya wazungu enzi hizo. Mimi ni mwafrika, lakini kukiri ukweli sio kosa.Kabla ya Hawa makatili (wazungu) kuja afrika, sayansi ya afrika ilikua juu sana gunduzi mbalimbali ziliendelea, fikiria pyramids zilivyojengwa, uhunzi mbalimbali, ugunduzi wa kalenda, Viwanda vya chuma..... Kuna mambo mengi yanafichwa kwenye historia... Kama mnavyomficha joh okello...
OPEN YOUR MIND.
Hahaha acha uongo mkuu....kitendo cha wazungu kuja Africa ni wazi kuwa walikua tayari washatuzidi Sayansi mzeeeSayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.
Ukimchunguza mwanamke wa kizungu na mwanake wa kiafrika utapata jibu kuwa mzungu na mwafrika wanatofauti kubwa....ushawahi kuona mwanamke wa kizungu kabenua domo? Au wakisutana?
Jipe moyo drhawan tofouti na sisi sema tu psychology yetu juu yao ndio mbaya.
kama upo hohehahe hujielewi usisubirie upondwe, hii ndio inauma na mbaya zaidi unaweza ukanywa hata sumu, jitafakari kasoro zako ujishangae kisha uchukue hatua, usijipe moyo upo vizuri wakati una hali mbaya mno