mimi najituma kaka, na kuna baadhi ya waafrica wengi wanajituma pia, maana kuna waafrica wengi tu wana mafanikio na akili zaidi ya wazungu, na mimi ni mmoja waoWewe ni Mzungu? Kama sio umechukua hatua gani ili iwe fundisho kwa wengine? Au ndio unajitutumua tu?!!
Hatari kaka....sijui tuna laana gani!!!Wazungu ni wazungui tuu! Waafrika ni waafrika,wazungu wantuzidi maarifa,ustaarabu n.k. Si unaona jamaa wa burundi hapo! Mzungu ukimpa bunduki/madaraka anaua adui,mwafrika na mwarabu ukiwapa bunduki/madaraka wanaua wenzao!
Sayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.
Umesahau ARVmtu anatumia simu ya mzungu, intaneti ya mzungu, umeme wa mzungu, gari ya mzungu, mafuta yaliyo fanyiwa process na mzungu, lami, nguo alizovaa n.k zote mzungu anahusika hapo alafu anakuja kuleta maswali ya kipuuzi kama haya, labda angeuliza wa africa tufanyeje ili angalau utegemezi wetu kwa wazungu upungue ningemuona wa maana
Mwambie huyo, ebola imewatesa hapa watu wakafungiwa kama mbuzi huko Mali wakisubiri research za wazungu. Wasomi wengi wanafanya tafiti marudio, copy and paste halafu mnategemea waafrica tugundue nini?Sisi weusi ni mashetani angalia hata viongozi wetu ni mashetani kweli we fikiria tu tuna rasimali kibao lakin hazitunufaishi,tunategemea misaada kuna liraisi lililopita liliulizwa kwanini nchi yako maskini na ina rasilimali nyingi likasema halijui
Bora tungewaacha wakoloni wakatutengenezea miji,sie hovyo sana hata akili zetu zinaweza kufanya mambo mepesi mepesi tu aaarghhhhhhhhhhhh
Huko nchini Ghana kulikua na usemi usemao hivi , ukiwa unaenda kwenye nyumba ya ibada, ukakutana na mzungu njiani basi rudi nyumbani kwa kuwa umekutana na MunguSalaam..
Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.
1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
2. mzungu hazoei njaa.
3. mzungu ukitoa 'z' unapata Mungu.
4. Ulaya hakuna masikini.
5. Ahadi ya kizungu.
Na wengine inafika kipindi mpaka wanasema mzungu akija Afrika hapimi ukimwi lakini waafrika hupimwa maradhi yote, hili mimi siliafiki.
.Daaah kwa hiyo unataka kuniambia haya yote ninayoyaona ni kwamba hayapo ila tu nimefanywa kuyaona hivyo? Hapana! Waafrika tupo nyuma kwenye kila kitu. Najaribu kutazama juhudi zilizotumika wakati wa kudai uhuru na yake yaliyofanywa na viongozi mara baada ya kupata uhuru. Natazama rasilimali tulizo nazo na umasikini tulio nao. WAAFRIKA ni tatizo hapa dunianiHata wewe uneaminishwa hivyo, ndiyo maana una amini hivyo. Lakini siyo kweli. Tatizo ni mfumo.
tatizo haswa.Daaah kwa hiyo unataka kuniambia haya yote ninayoyaona ni kwamba hayapo ila tu nimefanywa kuyaona hivyo? Hapana! Waafrika tupo nyuma kwenye kila kitu. Najaribu kutazama juhudi zilizotumika wakati wa kudai uhuru na yake yaliyofanywa na viongozi mara baada ya kupata uhuru. Natazama rasilimali tulizo nazo na umasikini tulio nao. WAAFRIKA ni tatizo hapa duniani
tutaishia kusema hivyo na kulalamika. Hebu tazama Marekani ilitawaliwa na UK, India ilitawaliwa na UK ila leo inauchumi mkubwa, China ilitawaliwa na Japan lakini leo Japan imepitwa mbali Sana, Korea ilitawaliwa na Japan lakini leo ina uchumi mkubwa.Walituibia sana wakati wa ukoloni na sasa wana maisha mazuri that's all
Kama ni hivyo mbona wao (wazungu) waliweza kuja afrika ila sisi tulishindwa kwenda kwao? tena walitufanya watumwa Kama tulikuwa mbele yao kimaendeleo ya kiuchumi,kijamii,,kisiasa mbona hatukuweza kuwafanya watumwa?Acheni fikra finyu zisizo na mantiki kabisa ,kabala ya kuja hao washenzi Afrika ilikuwa na maendeleo makubwa Sana , Kielimu, sayansi na hata technologia, afrika ilikuwa na chuo cha kwanza duniani , had I wenywewe wanalikubali hill, na technologies nyingi wametoa afrika na bila sisi wao wasingelifikia hapo walipo maendeleo yao yametokana na. Black
Sema tuu kilichotuponza Africa hasaa Tanzania in tuliambiwa na nyerere " Tusichimbe madini mpaka tuwe na elimu that's why hawa jamaa wakatuzidii