BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Na wanawake mliowahi lala na wazungu Embu share experience tujue utofauti zaid kati yetu na wao"
Salaam..
Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.
1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
2. mzungu hazoei njaa.
3. mzungu ukitoa 'z' unapata Mungu.
4. Ulaya hakuna masikini.
5. Ahadi ya kizungu.
Na wengine inafika kipindi mpaka wanasema mzungu akija Afrika hapimi ukimwi lakini waafrika hupimwa maradhi yote, hili mimi siliafiki.
.Salaam..
Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.
1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
.
Salaam..
Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.
1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
2. mzungu hazoei njaa.
3. mzungu ukitoa 'z' unapata Mungu.
4. Ulaya hakuna masikini.
5. Ahadi ya kizungu.
Na wengine inafika kipindi mpaka wanasema mzungu akija Afrika hapimi ukimwi lakini waafrika hupimwa maradhi yote, hili mimi siliafiki.
They do not look down on women.Na wanawake mliowahi lala na wazungu Embu share experience tujue utofauti zaid kati yetu na wao"
MmmmhThey do not look down on women.
They are good lovers. *wink * sio wanaume wa jf eti siridhishi tena mwanamke kumbe hajui game maskini
Acha kukufuru yaani bora uzaliwe mbwa ulaya? Ila usijali kuna watu wanadai kuna reincarnation basi ukifa utazaliwa mbwa huko ulaya. Kila la heri mbwa wa ulaya.
Nakumbuka jirani yetu (very poor people) waliiba mbwa ili wamuuze. Mbwa kakaa hapo kakondeana kaisha na kupata kupe. Wakaona wamtupe. Lakin alikuwa anarudi. Mwishowe wakaamua wamuue. Imagine anambeba mmbwa juu na kumpigiza kwenye sakafu. Nilitoka ndani nikawafwata nikawaambie nipeni huyu mbwa. Nikampigia rafiki yangu ana hobby ya mbwa amchukue. Tukachanga Vet akaenda kumtibu maskini. Kambwa kakaanza na kucheza. Kumbe alikuwa kavunjika uti wa mgongo akafa.
Baadae napewa umbea na housegirl, jirani ananisema nitatoaje 20,000 kumpandisha mbwa Bajaj badala ya kuwapa wao wale. Eti me ni mchawi!!
Unajua kadri muda unavyoenda binadamu anaendelea kukua kifikra. Tukubali tu ukweli kuwa wazungu wametuacha.
Tena hii ya kutreat wanyama ndo wametuacha mbali kabisaa.
Not only wana sheria kali dhidi ya ukatili kwa wanyama, but also wanathamini uhai na uwezo wa wanyama.
Wanaishi na wanyama nyumbani na kuwatunza.
Wana hospitali na foster homes za wanyama.
Imagine kuna madaktari wa upasuaji kwa ajili ya wanyama jamani!
Wakipata mnyama alieumia porini wanamchukua, wanamtibu, wanamrudisha. Sio huku bongo ukiokota kipaka kimeumia unaambiwa "subiri akuongeleshe, embu tupa huo uchawi".
Wana sheria za kutunza species za wanyama.
Wanajifunza tabia za wanyama hadi wanyama tuliowaogopa sasa wanaweza ishi nao peacefully (mf. simba)
Bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko maskini Africa
A
Acha kukufuru yaani bora uzaliwe mbwa ulaya? Ila usijali kuna watu wanadai kuna reincarnation basi ukifa utazaliwa mbwa huko ulaya. Kila la heri mbwa wa ulaya
That z Romanticism mdau,we r back coz we r foolKabla ya Hawa makatili (wazungu) kuja afrika, sayansi ya afrika ilikua juu sana gunduzi mbalimbali ziliendelea, fikiria pyramids zilivyojengwa, uhunzi mbalimbali, ugunduzi wa kalenda, Viwanda vya chuma..... Kuna mambo mengi yanafichwa kwenye historia... Kama mnavyomficha joh okello...
OPEN YOUR MIND.
Yaani ww hujikubali kabisa thamani ya utu wako ni bora kuliko huyo mbwa anaekula bure haijalishi upo kwenye mazingira yapi.Haha. Me nilikuwa najaribu kutetea hiyo point. Kwani unabisha lakini. You get free food, free hugs and pets and kisses. Toys. A nice home. Medical care. No work. Yani raha.
Hao hao ndio wametuletea dini kisha watu kuacha dini zao za asili na kuwa mfuasi wa hizo dini zao UISLAM waarabu na UKRISTO kwa huyo m(z)ungu.Mzungu ndiye binadamu halisi
Wa asia vichwa maji
wa afrika tunaongeza idadi tu duniani
Hebu fikiria bila wazungu kingegunduliwa nini ?
Pekuwa kuna thread mmoja watu wanaongelea na kuamini eti Morogoro kuna wanyonya damu wanaokumulika na kioo unadonda chini halafu wanakunyonya damu yako wanakwenda kuuza ndio utagundua mzungu ana tofauti gani na mwaafrika!Salaam..
Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.
1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
2. mzungu hazoei njaa.
3. mzungu ukitoa 'z' unapata Mungu.
4. Ulaya hakuna masikini.
5. Ahadi ya kizungu.
Na wengine inafika kipindi mpaka wanasema mzungu akija Afrika hapimi ukimwi lakini waafrika hupimwa maradhi yote, hili mimi siliafiki.