Ndo mana wanasema wana akili sana, we fikiri kama waliweza ua teknoloji yetu, sasa hapo huoni kama hawa watu wana akili zaidi yetu. Tungekuwa juu yao basi sisi tungeua yaoSayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.