The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,130
- 102,771
mimi najituma kaka, na kuna baadhi ya waafrica wengi wanajituma pia, maana kuna waafrica wengi tu wana mafanikio na akili zaidi ya wazungu, na mimi ni mmoja wao
Wewe hiyo brilliance yako umeipima kwa criteria gani? I meant umejuaje kama wewe ni brilliant?