Mzimu wa Magufuli unavyotesa watu

Wapi Saanane, Azory, Mawazo ,viroba vya maiti pale CoCo beach,Ruvu etc ,elewa ni binadamu wenzetu wale, huyu rais alikua muuaji, katili wa kiwango cha juu nchi imewahi kushughudia, wewe unalalama humu kwa sababu familia yako ipo around, je umewahi kujiuliza familia ya Azory inauspicious vipi?,je lini watapata closure?,LNG ipo njiani kwenda ile black address
Mambo hayo hata wakati wa kikwete yalitokea.
 
Mambo hayo hata wakati wa kikwete yalitokea.
Mjadala unamhusu Magufuri Kikwete anaingiaje hapa?Kuna mtu amekukataza kuanzisha uzi utakaosema mabaya na mazuri ya Kikwete?Anzisha uzi wako halafu uone mwitikio wa wananchi ndipo utakapjua kumbe uko sahihi au hauko sahihi.
 
Kama Kwa JPM mlinunua mchele 1500, dizel 1700 bado mlipigwa bei kubwa, mwaka 87 wakati wa mwinyi petrol ilikuwa ni 200, Debe la mpunga lenye kutoa kilo 9 za mchele tulilipata Kwa shingi 700
 
Hapo ndio jpm alisema utawala wake tajiri anaweza kufanywa lolote. Alikua na maana wale fisadi kama singa na yule muhaya patna wake iptl. Hayo ya eti kuteka kupora na kuua ni uzushi tu ila fisadi mlikiona cha mtema kuni. Matokeo wananchi waliyaona kwa uchumi kukua na kuwepo fedha nyingi za miradi kutokana na fisadi na wazembe kufyata mikia yenu.

..akwilina, ben saanane, azory gwanda, kanguye, alphonce mawazo, ambao wameuawa walikuwa matajiri?
 
Povu lote hili linaonesha ni jinsi gani yule mtu alikutesa, anakutesa na ataendelea kukutesa.

Dada mzimu wa Magufuli utawatesa sana. Ushahidi ni hili povu ulilotoa hapa
Huo mzimu kama upo unawatesa nyinyi mliokuwa wanufaika. Hivi na akili zako kama zipo mimi ambaye presumably labda alinisweka ndani, then nimetoka niko huru na yeye yuko amekuwa mbolea kwenye ardhi ya Chato, nitateseka kwa kitu gani?
Kwanza kwa taarifa yako siku ya tarehe 17/03/21 kwa wiki zima tulikunywa bia bure Moshi na Arusha bila kulipa
 
Mambo hayo hata wakati wa kikwete yalitokea.
Yes ila hatuwezi ku normalize mkuu, hizi familia zinaishi vipi bila wapendwa na bread winners wao?,tusiwe selfish kisa mimi ,watoto wangu tupo ok fikiria watoto wa Mr. SAANANE wanaishi vipi, chakula, shule na upendo wa baba yao, familia ya Magufuli wanajua kazikwa wapi, but Saanane family hawajui mkuu na hii inaleta trauma kubwa kwao, pls fikiria in that angle
 
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?

Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
1678763565859.png
 
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?

Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
Huyo jamaa ni shughuli nyingine. Muda utafika watamweka kwenye rejea zao, subiri muda Usonge na mchele muununue kwa 5,000
 
As long as alihusisha aliyoyafanya na KUUA WATU/KUPOTEZA WATU/KUWAFUNGA WATU GEREZANI KWA KESI ZA KUSINGIZIWA-KISIASA basi wote ubageuka kuwa upouuzi. Acha ninunue kilo ya maharage elfu 4 , petrol elfu 3 etc etc lakini nina uhakika kuwa kesho yangu nitaiona! Sitatekwa, sitauawa , sitapotezwa. Ni bora niwe masikini kwenye UHURU
Kwaiyo tulivyosikia kibiti ilikuwa ni alari wa endelea na ugaidi wao?
 
MAGUFULI ana MABAYA MENGI kuliko MAZURI Dhambi ya Kuua inazima mazuri yote
Dhambi ya Chuki
Dhambi ya Wizi wa Kura na Fedha za Masikini
Dhambi y kubambikizia Wananchi wako Kesi nzito za Ugaidi Mauaji Uhujumu uchumi Utakatishaji
Dhambi ya Utekaji
VYOTE hivyo ni CHUKIZO Machoni pa MUNGI
Inaelekea nyie ndio wakibiti kama ndio nyie mwamba,chuma aliwanyoosha RIP MWAMBA JPM
 
Back
Top Bottom