Mzimu wa Magufuli unavyotesa watu

Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?

Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
kamfufue uzikwe wewe ili mchele na petrol vishuke sasa
 
Kinachofanyika sasa, lile kundi la watu walionufaika namitindo haramu ya maisha na kushughulikiwa kipindi cha JPM wamewekeza nguvu kubwa kuhakikisha hatokei JPM mwingine hata wa kufanana nae hata kidogo, wanasahau kwamba vyeti feki ndo hivyo havirudi tena, labda wafanyakazi hewa na upigaji mwingine kwa kuwa ubadhirifu hautajwi kama ktk kipindi cha JPM.
 
Kinachofanyika sasa, lile kundi la watu walionufaika namitindo haramu ya maisha na kushuhhulikiwa kipindi cha JPM wamewekeza nguvu kubwa kuhakikisha hatokei JPM mwingine hata wa kufanana nae hata kidogo, wanasahau kwamba vyeti feki ndo hivyo havirudi tena, labda wafanyakazi hewa na upigaji mwingine kwa kuwa ubadhirifu hautajwi kama ktk kipindi cha JPM.
Yule Dokta feki yuko Chato kapumzika.
 
Haikusaidii, jifariji tu lakini mlianikwa na mnaonekana vizuri sasa kuliko wakati mwingine kabla.
Hainisaidii wakati bado nadunda!Sina kinyongo tena kuwa tunatawaliwa na dikteta.Sina mashaka na maisha yangu kwa vile mimi ni mtu wa kukosoa pale ninapoona hapako sawa na ndiyo maana hata Lema namkosoa sana ingawa hana meno kama vile alivyokuwa Mwendazake.Kila nikimwona Tundu Lissu nafarijika ile mbaya kwani historia ile iliuchafua moyo wangu na Watanzania wengi wapenda maendeleo.Sina kinyongo na Rais aliyepo madarakani kwa sababu kwa asilimia 60% anajitahidi sana.Pia nipende tu kumshukuru Mungu kwa kutuondolea mhalifu katika nchi yetu huru.
 
Sikupenda aina ya siasa alizokuwa anazifanya Lissu hususani kipindi cha zogo la makinikia, kwangu ni dhahiri aligeuka adui wa harakati za kurejesha heshima ya nchi dhidi ya wachimbaji wakubwa wa madini hapa nchini.
Kilichotokea kwa Lissu ilikuwa ni ishara ya wazi kuwa aliyokuwa anafanya yalikuwa hayavumiliki.
Alitokea kuonekana kuwa mtu ambaye alikuwa tayari kuhujumu jitihada za serikali za kutetea rasilimali zake ili tu ionekane kuwa ushauri wake aliokuwa akiutoa kuhusu serikali kuachana na jitihada hizo ulikuwa sahihi.
Lakini pia serikali ilihitai kuwaonyesha watu wake kuwa haikuwa ina masihara katika swala hilo na haikuwa tayari kuvumilia watu wake yenyewe wakienda kinyume nayo.
Rejea hotuba ya JPM akipokea report ya makinikia ikulu.
Zingatia, simaanishi kuwa serikali ilihusika katika kushambuliwa kwa Lissu.
Ninachoongelea hapa ni kuwa serikali ilikuwa na haki ya kufanya jambo juu ya watu wake waliokuwa wanaihujumu.
Tukiwa hapa Tanzania, kilichompata Lissu kilituacha na sintofahamu.
Tukiwa Urusi au China inaeleweka vizuri.
 
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?

Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
Mnateseka nyie vibaka wake
 
Jpm alikuwa na mazuri mengi kuliko mapungufu,ukiwasikiliza sana vyeti feki utaweza dhania kuwa kwenye uongozi wa jpm tulilazimishwa nchi nzima kulala saa 12 jioni sababu ya udikteta wake.
huu mkoa ninao ishi enzi za jpm mchele wakutumia familia yangu nilikuwa nanunua 2kg sawa 2400 maharage nusu kg sawa na 1000 kwa ujumla nikiwa na 5000 nafanya bajeti lakini leo ukiwa na 10000 hufanyi bajet inayoeleweka. Mpumbavu mmoja anasena eti tukalime mvua zinanyesha

rip my president.

Makosa aliyoyafanya JIKONO JANDAMA ni:-

-Kuwadhibiti watu aliowaona kama tishio kwake eg Lissu ,Ben saanane
-Kuwafilisi wafanyabiashara na kupora pesa zao.
-Ubabe hadharani kwa seniors staffs
-Kuwabeba kina Bashite,Mnyeti,Sabaya kuongoza Magenge ya uhalifu
 
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?

Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
Sisi watanzania kipaumbele chetu ni amani na amani kweli tunayo hatuoni tena wale wasiojulikana lakini pia gharama ya maisha iko juu lakini pesa mtaani inaonekana tunaona mama anatoa ajira kila siku na wale ambao hawajapata ajira anatengeneza mazingira wezeshi waweze kujiajiri lakini kipindi cha Mwenda zake aisee mchele elfu 1500 lakini kuipata ilikua kisanga lakini kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu pesa ipo mtaani
 
Wapi Saanane, Azory, Mawazo ,viroba vya maiti pale CoCo beach,Ruvu etc ,elewa ni binadamu wenzetu wale, huyu rais alikua muuaji, katili wa kiwango cha juu nchi imewahi kushughudia, wewe unalalama humu kwa sababu familia yako ipo around, je umewahi kujiuliza familia ya Azory inauspicious vipi?,je lini watapata closure?,LNG ipo njiani kwenda ile black address
Mbona unawataja wanasiasa taja familia yako yupi ameuliwa
 
Mbona unawataja wanasiasa taja familia yako yupi ameuliwa
Acha upumbavu, Azory alikua ni journalist, Saanane alikua msaidizi wa Mr.Mbowe (sio politicians),na vile viroba vya CoCo beach ni binadamu wenzetu sio nguruwe wale,familia yangu kwa katili kama wewe it's a NO kukutajia
 
Unaingiza unazi wako wa uchadema ndio maana unamwita Magu ni katili
 
Back
Top Bottom