Mzimu wa Magufuli unavyotesa watu

Wewe mshenzi akili yako iko tumboni tu ndiyo maana unafikilia kula tu kujaza tumbo. Wenye akili wanafikiria mambo makubwa.

Mzimu wa Magufuli ni nini? Kwangu ni kwamba watu wana furaha baada ya Magufuli kufa. Magufuli alikuwa ni DIKTETA aliyetawala nchi kwa maamuzi binafsi bila kufuata katiba...
Ufafanuzi mzuri kama ni mtu wa kuelewa ataelewa ila kama ana mapenzi na hayati jiwe asubiri afufuke ili aje amletee maendeleo maana kwake bila Magufuri hakuna maendeleo Tanzania.
 
Hapo ndio jk alisema utawala wake tajiri anaweza kufanywa lolote. Alikua na maana wale fisadi kama singa na rwakatare wa iptl. Hayo ya eti kuteka kupora na kuua ni uzushi tu ila fisadi mlikiona cha mtema kuni. Matokeo wananchi waliyaona kwa uchumi kukua na kuwepo fedha nyingi za miradi kutokana na fisadi na wazembe kufyata mikia yenu.
Aliyemteka Zacharia Tarime nani kama siyo JPM?
 
Wapi Saanane, Azory, Mawazo ,viroba vya maiti pale CoCo beach,Ruvu etc ,elewa ni binadamu wenzetu wale, huyu rais alikua muuaji, katili wa kiwango cha juu nchi imewahi kushughudia, wewe unalalama humu kwa sababu familia yako ipo around, je umewahi kujiuliza familia ya Azory inauspicious vipi?,je lini watapata closure?,LNG ipo njiani kwenda ile black address
Muulize Mwenyekiti Mbowe Mkuu
 
..walioshirikiana na Jpm ktk kuteka, kutesa, kupora fedha na mali, na kuua, nao wanateseka na mzimu wake kila siku.
Wanaoshiriki wizi na kukandamiza haki za wananchi siku yao ya kujibu ipo.
 
Back
Top Bottom