Wewe mshenzi akili yako iko tumboni tu ndiyo maana unafikilia kula tu kujaza tumbo. Wenye akili wanafikiria mambo makubwa.
Mzimu wa Magufuli ni nini? Kwangu ni kwamba watu wana furaha baada ya Magufuli kufa. Magufuli alikuwa ni DIKTETA aliyetawala nchi kwa maamuzi binafsi bila kufuata katiba. Alilitawala bunge kwa remote, alitisha Mahakama isiamue kinyume na Serikali na akavitisha kuvifungia vyombo vya habari vitakavyotangaza habari asizopenda.
Magufuli aliua wakosoaji, aliteka na kuwatesa wapinzani, alisomamisha shughulu za vyama vya siasa. Alimiliki kundi maalum la WASIOJULIKANA likiwa chini ya Makonda na Sabaya kwa ajili ya kutesa na kuua
Huku akijuwa kuwa 90% ya Watanzania ni wajinga na hawana uwezo wa kutafuta taarifa mbadala, akawajaza propaganda zake za uwongo kuhusu Tanzania kuwa donor country, vita vya uchumi na wivu wa mabeberu. Wenye akili wachache wameanza kugundua uwongo wake baada ya kuona mabadiliko na ukweli kwenye awamu ya Samia.
Aliwadanganya kuwa anachukia mafisadi kumbe anataka afanye ufisadi yeye peke yake na wateule wake wachache akina Makonda, Sabaya, Dotto James, Biswalo Mganga, Bashiru Ally, Kijazi, Mfugale, Kabudi nk
Mtoa mada
Njegele ni kiwakilishi cha Watanzania wajinga ambao bado wako indoctrinated na propaganda za uwongo za Magufuli.
Jiulize kwa nini hakuna nyuzi nyingi zinazowaandika kuwaponda akina Benjamin Mkapa ambaye wamepishana miezi tu na huyo HAYAWANI wa Chato kufa, au JK Nyerere aliyetawala miala 25 tokea uhuru.
Kwani wanaomponda Magufuli wanakutana wapi kupanga kuandika hizo nyuzi? Ni kwamba aisifuye mvua imemnyea. Wala usihangaike kuzipiga vita