MZEE WA HUMMER: Nyundo nyingine

MZEE WA HUMMER: Nyundo nyingine

Status
Not open for further replies.
We Pdidy wewe umesahau jinsi ulivyodadavua kuhusu bosslady Jack Cliff alivyoanza safari yake frm JNIA mpaka alivyokamatwa kule maccau? na nimara kibao umekuwa ukiriport stori za wabeba sembe hapa jukwaani na ile style yako ya kureport matukio kwa kuweweseka?
No wonder u knw everything about drug dealings and yes GWAJIMA is your BOSS!
Leo hii unajipambanua kwa maneno ya Bible kweli?
JF lets connect the dots....
 
Last edited by a moderator:
The bold ameshajulikana na Mzee wa hammer akae kimya au aongee ni hakuna kitachobadilika.....kama kuna maovu yenye ushahidi ni jambo jema ila tusizushe issues zisizo za kweli.
Leteni Ushahidi wa Uchafu wa Mch Gwajima kwa uwazi na Ukweli vinginevyo tunaona munatupotosha na issue za Wizi Tshs 200bls mali ya umma.
Kama Gwajima ni mchafu semeni wazi maana Kikwete alisema ana majina ya wauza unga na kila siku anasingizia wachungaji wakati akina Rostam wanavusha Unga huko Tanga na kuachiwa huru.
Singa Singa anaiba ma billion harafu wasamalia wanapo muhoji Nape wanakamatwa.
Mtu hana haja ya kujificha kama una ushahidi weka hapa vinginevyo CCM ipo Kazini
 
we pdidy wewe umesahau jinsi ulivyodadavua kuhusu bosslady jack cliff alivyoanza safari yake frm jnia mpaka alivyokamatwa kule maccau? Na nimara kibao umekuwa ukiriport stori za wabeba sembe hapa jukwaani na ile style yako ya kureport matukio kwa kuweweseka?
No wonder u knw everything about drug dealings and yes gwajima is your boss!
Leo hii unajipambanua kwa maneno ya bible kweli?
Jf lets connect the dots....

sasa mkuu hapo kama nimekuwa nareport ningearibuje kazi ya boss wangu

na kama anahusika wakati na mimi nigekuwa naponea hapo???kwa nini niripoti

amani ya mungu ikakulinde na mabaya yote
 
Last edited by a moderator:
Duh....yaani nikimsoma The bold nachoka....maelezo yake yanakufanya ushindwe kupinga huku ukiendelea kumpa mchungaji benefit of doubt......Hivi kama serikali ya CCM ingekuwa inajua haya na jinsi huyu mtumishi wa Mungu alivyo kinyume na utawala huu uliopo wangemwacha kweli? Ufanye haya huku ukiponda utawala uliopo waziwazi?
Kwa mtu mjinga anaweza kudanganywa kirahisi tu !!
Kwamba Mch Gwajima anauza Dawa za Kulevya!!
Huu ni upuuzi mkubwa !!!
Mtandao wa Mdawa ya Kulevya una anzia Serikalini !! Upo Ushahidi wa Hivi Karibuni Hapo Uwanja wa ndege ambapo Dkt Mwakyembe ameshuhudia madudu ya drugs na kuweweseka!!
Angalia Wasanii wanavyoshirikiana na vigogo wa serikali kubeba Unga!!!

Sasa Kama Mch Gwajima ana shiriki Drugs na mtu anayesimulia anajifanya anafahamu kila kitu ni kwa nini hamtaji mtu wa serikali anayeshirikiana na Gwajima?? Hapa ni Propaganda za CCM na watawala kututoa na mada za Msingi juu ya wizi serikalini!!
Humu ndani tupo watu wenye uelewa tofauti na taaluma tofauti mimi naomba The Bold alete Ukweli juu ya Drugs kwa Gwajima na si Kuogopa
 
Haahaa alalaaalaa bana mapepo yasikulazebmachowazi ukatuambia umetuota wakat ujalala

Mwachie MUNGU
 
Je una MADENI SUGU
UNAPEPO LA UZINZI
UNAPEPO LA WIVU WA HAMMER

UNA WIVU NA WATUMISHI WA MUNGU

NJO. MLIMA WA MOTO MIKOCHENI B JUMAPILI HIII HEBU THE B.USIKOSE

NJOO NA WENZAKO
 
Wewe Uliyeleta huu uzi hapa, kwanza huna Sera, huna jipya, una unga unga tu taarifa za uongo na uzushi.

Wewe kinachokuzuzua ni hilo hummer 2? Au umasikini wako wa kipato na fikra?

Ungekuwa mchakarikaji wala usingethubutu kumnyooshea kidole masihi wa BWANA.

Laana inayoambatana na watu wote wenye tabia za kuwapaka matope watumishi wa Mungu hapa nchini itakufuata na wewe.

Ninao uhakika kuwa mwaka huu hauishi lazima mambo yako yaharibike, kila utakachoweka mkono wako kutenda hautafanikiwa. Kwa kwa umethubutu kunyoosha mkono wako kinyume na masihi wa BWANA.

Kama Haruni na Miriam walivyopigwa na ukoma ndivyo utakavyokuwa wewe.

Ushahidi kama hayo yote yatakupata ni kuwa utapotea kabisa hapa JF kama alivyopotea mwenzako The Bold. Imetosha kumtukanisha Mungu na kuwadhalilisha watumishi wake.
Yaani gwajima ni Masihi wa Bwana?
yeye mwenyewe alishawahi kuwaambia kuwa yeye ni masihi? au mmeamua tuu kumwita hivyo?
 
Ndugu wapendwa naomba niweke wazi sina shaka na mtu ila siko radhi kumwona mtu wa jf dhambini kwa kunsemea mabaya mtumishi wa mungu

kingine kuwajuza wapowengi waliosema kuhusu madawaya kulevya akiwemo mkubwa tu nananamajina unajua kwanini awpelekwi mahakaman ushahidi

so kama mwenye akilizangu timamu bado najiuliza kwannini kama wana ushahidi ama walikuwa na taarifa hizi before kwa nini tusubiri mbasha abake yaanze kuongelewa kama sio unafiki uleee


sikatai binadamu tunatenda dhambi then walukuwa wapi wenye hizi taarifa....nionavyo kama mbsha angeendelea kulamzigo kwa siri basi huu unafiki wa hammer usingekuwepo humu
 
sasa mkuu hapo kama nimekuwa nareport ningearibuje kazi ya boss wangu

na kama anahusika wakati na mimi nigekuwa naponea hapo???kwa nini niripoti

amani ya mungu ikakulinde na mabaya yote

Hiyo amani ya huyu mungu wako ikakulinde wewe na huyu boss wako Gwajima ila mimi nitalindwa na amani ya MUNGU kupitia kwa mwanae Yesu kristo.
Endelea kumkingia kifua huyo boss wako ila siku ya mwisho mtapoteana!
 
Hiyo amani ya huyu mungu wako ikakulinde wewe na huyu boss wako Gwajima ila mimi nitalindwa na amani ya MUNGU kupitia kwa mwanae Yesu kristo.
Endelea kumkingia kifua huyo boss wako ila siku ya mwisho mtapoteana!

Haya bana KISIMA YETU MACHO TUPO HAPA MAOMBIYANGU TUWEWAZIMA MPAKA UKWELI UDHIHIRIKE UKIWA SHAHIDI

AGAIN KUWENI MAKKINI NA WATUMISHI WA MUNGU SI HUYU TU YOYOTE AIJALISHI ANA SALISHA WAPI
 
Hiyo amani ya huyu mungu wako ikakulinde wewe na huyu boss wako Gwajima ila mimi nitalindwa na amani ya MUNGU kupitia kwa mwanae Yesu kristo.
Endelea kumkingia kifua huyo boss wako ila siku ya mwisho mtapoteana!
Mimi naomba Gwajima asikingiwe kifua ila Suala la Madawa ya Kulevya lina viashiria vya watu serikalini na Gwajima hana serikali sasa kama anajihusisha na madawa ya kulevya ni nani serikalini anashiriki naye??
Mch Gwajima ana ugomvi mkubwa na serikali iliyopo madarakani kwa taarifa hizi ni nani anamlinda??
Mambo ya Zinaa kama anafanya hapo hakuna shaka kwani mtu anaweza kufanya bila hata kigogo serikalini!!
Hiyo taarifa ya drugs hata ungempa Nzowa atakushangaa!!
 
Inaonekana sasa hivi jf ni sehemu ya majungu!

Kama mtu anaweza kuandika maoni yake Na kujifanya anaelewa Au ana ukweli bila ushahidi wowote Au hata kutaja source ya taarifa Na mods wakaona sawa basi ni hatari sana!

Mods mnafanya kazi gani mnaacha topic Kama hizi?

Au Na Nyie mods mmekula Njama?

Mbona topic Kama hizi za majungu huwa mnazipiga chini?

Nimesoma yote ya The Bold Na sasa ya huyu jamaa Na ukweli ni kwamba ni majungu yaliyounganishwa kwa kutumia advantage ya kujua baadhi ya ndugu Wa waneyemuita Mzee Wa hummer. Na advantage chache za kujua baadhi ya safari zake.

Total Hoax and unacceptable humiliating lies!
Plse mods do your work
 
Nakuonea huruma davidm unamtetea mtu unayemuona madhabauni ila hujui maisha yake baada ya kutoka kanisani.wacha watu wanayemjua nje ya kanisa wakupe habari


Mkuu huyu davidm juzi kaimba ngonjera weeee kwenye ile thread yetu pendwa! leo anajifanya malaika kabadili mbinu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom