Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Hivi ni kweli gwajima atakuwa anamiliki hammer tena mbili? Ngoja na mm niwe mshamba ktk hili
anamiliki tena kuna kipind alikuwa anaweka msafara kabisa ka wafanyavyo viongozi
Hivi ni kweli gwajima atakuwa anamiliki hammer tena mbili? Ngoja na mm niwe mshamba ktk hili
Wewe Uliyeleta huu uzi hapa, kwanza huna Sera, huna jipya, una unga unga tu taarifa za uongo na uzushi.
Wewe kinachokuzuzua ni hilo hummer 2? Au umasikini wako wa kipato na fikra?
Ungekuwa mchakarikaji wala usingethubutu kumnyooshea kidole masihi wa BWANA.
Laana inayoambatana na watu wote wenye tabia za kuwapaka matope watumishi wa Mungu hapa nchini itakufuata na wewe.
Ninao uhakika kuwa mwaka huu hauishi lazima mambo yako yaharibike, kila utakachoweka mkono wako kutenda hautafanikiwa. Kwa kwa umethubutu kunyoosha mkono wako kinyume na masihi wa BWANA.
Kama Haruni na Miriam walivyopigwa na ukoma ndivyo utakavyokuwa wewe.
Ushahidi kama hayo yote yatakupata ni kuwa utapotea kabisa hapa JF kama alivyopotea mwenzako The Bold. Imetosha kumtukanisha Mungu na kuwadhalilisha watumishi wake.
Njoo tukae pale kwenye michongoma unipe habari inaonyesha uko nondo hakuna wakutuona paleishu iko huku nikianza kutiririka wasije kuanza kunitumia pm za vitisho na kutrace nilipo
usijichimbie kijijin wapitwa na mengi
NDIO.
maana ya Masihi ni mpaka mafuta wa Bwana, simpl ni mtu aliyechaguliwa na Mungu wa Israel for special purpose kwa mfano kipindi cha agano la kale ambapo mtumishi Samweli alitumwa na Mungu wa Israel kwenda kumpakaa mafuta kijana mdogo kutoka katika nyumba ya Yesse aliyeitwa Daudi.
Mtumishi naona unanena kwa lugha kumsafisha mzee wa hammer!
Sasa nasema hivi;
POKEA UPONYAJI KWA JIIINA LA YESU!
Mtumishi naona unanena kwa lugha kumsafisha mzee wa hammer!
Sasa nasema hivi;
POKEA UPONYAJI KWA JIIINA LA YESU!
Naomba kama kuna mtu wa Ufufuo na Uzima anaona hii comment yangu au post hii! usiandike chochote, waache waseme wakichoka watapumzika. daddy J. Gwajima hakuongelea chochote jumapili. Tuwapuuze maana hawana madhara yoyote kwetu!!!

ukiona unakerwa na thread, jst soma piga kimya