MZEE WA HUMMER: Nyundo nyingine

MZEE WA HUMMER: Nyundo nyingine

Status
Not open for further replies.
@Piddy laana inakuzunguka ndiyo maana uandikacho hapa jamvini siku zote hamna anayekielewa! Usiniambie kama huko kanisani hupewa wasaa hata wa kuanzisha kapambio au kusoma maandiko matakatifu make lugha yako ni haieleweki duniani pote! Kaunde taifa lako mkuu makabila tuliyonayo tz na lugha yetu ya taifa vinatosha sana hatuhtaji nyingine mkuu!
 
Duh....yaani nikimsoma The bold nachoka....maelezo yake yanakufanya ushindwe kupinga huku ukiendelea kumpa mchungaji benefit of doubt......Hivi kama serikali ya CCM ingekuwa inajua haya na jinsi huyu mtumishi wa Mungu alivyo kinyume na utawala huu uliopo wangemwacha kweli? Ufanye haya huku ukiponda utawala uliopo waziwazi?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Uliyeleta huu uzi hapa, kwanza huna Sera, huna jipya, una unga unga tu taarifa za uongo na uzushi.

Wewe kinachokuzuzua ni hilo hummer 2? Au umasikini wako wa kipato na fikra?

Ungekuwa mchakarikaji wala usingethubutu kumnyooshea kidole masihi wa BWANA.

Laana inayoambatana na watu wote wenye tabia za kuwapaka matope watumishi wa Mungu hapa nchini itakufuata na wewe.

Ninao uhakika kuwa mwaka huu hauishi lazima mambo yako yaharibike, kila utakachoweka mkono wako kutenda hautafanikiwa. Kwa kwa umethubutu kunyoosha mkono wako kinyume na masihi wa BWANA.

Kama Haruni na Miriam walivyopigwa na ukoma ndivyo utakavyokuwa wewe.

Ushahidi kama hayo yote yatakupata ni kuwa utapotea kabisa hapa JF kama alivyopotea mwenzako The Bold. Imetosha kumtukanisha Mungu na kuwadhalilisha watumishi wake.

Mkuu .....kwanini mnakuwa hivyo?....mbona unatumia Maandiko kuogopesha watu....kwani aliyoandika hapa yana uhusiano gani na Biblia????Tambua hata siku moja ungu anajitetea Mwenyewe...mara ngapi wana wa Israel walimkana na kumkataa????mara ngapi walimwacha Mungu wao( Mungu wa Ibrahim, Isaaka na Yacob) waaakaenda kuabudu masanam....si Mungu mwenyewe alijitetea na kujidhihirisha kwao.....Umepata wapi mamlaka ya Kumlaani mwenzako tena kwa kutumia maandiko???????ukweli ni upi sasa????mbona Mbasha hafikishwi kwenye vyombo vya sheria kama kweli alibaka??????au na yeye yuko juu ya sheria?????naamini jeshi la Polisi si wasafi lakini hawajawa wachafu kiasi hicho....wasingeweza kukaa kimya kama hizo tuhuma wangekuwa wameshazidhibitisha........PLZ PLZ PLZ msitumia MAANDIKO HATA SIKU MOJA KUOGOPESHA WATU ILI TU WASI QUSTION MIENENDO YA HAWA WANAOJIITA WAMETUMWA NA MUNGUWANAOJIITA WAMETUMWA NA MUNGU...TAMBUA HATA MITUME WA YESTU WALISHTAKIWA NA WENGINE WALIUWAWA........HAWA MANABII WA HIZI NYAKATI ZA MWISHO WANAUTAKATIFU GANI TUSIHOJI MIENENDO YAO NA MATENDO YAOOO?????????????
 
Watumishi na waumini wa dhehebu hili yapasa muunganishe dots za hiki kisemwacho sio kulaza mbongo zenu kama makondoo huku mwenzenu akipiga dili za hela ndefu tena zisizo halali zenye kuliangamiza taifa kisha kila j2 anasunda mfukoni vijisadaka vyenu!
 
Nondo anazoshusha The bold ni moto kwa vijana wa hummer.
Endelea kututoa tongotongo mkuu The Bold.
 
Last edited by a moderator:
The bold nakufananisha na SUPERSUB umeingia tu umechangamsha mchezo Leo hakuna kulala tiririka
 
MBAYA ZAIDI KIJANA WA MIAKA ATA 40 AJAFIKA AN ZUZUKA NA
HAMMER NAAMINI. KWA MUNGU NA MIAKA YAKO WAWEZAPATA HATA TATU

KAMMA NDUGU MARAFIKI NIMEONA WATU WAKIPOTEA KABISA ULIMWENGU WA KIMWILI NA KIROHO NAMANISHA AWAPO DUNIAN KISA KUSEMA WATUMISHI WA MUNGU
NARUDIA TENA SISALI KWA GWAJIMA ILA KAMA UNANAKILU NENDA. THREAD ZINAZOMSEMA MZEE WA UPAKO NASISITIZA HILI NENO PIA

DON'T TOUCH MY ANNOINTING


MWOMBE MUNGU ASIKUPE HATA NAFASI YA KUONA UCHAFU KAMA HUU UNAOENDELEA HUKU JF NA WENYENDEGREE ZA LONG DISTANCE WAKIMTUKANA MUNGU SO SAD


Neno LA MSALABA KWA WANOPOTEA KWETU NI UPUUZI ......BALI......

WAYAHUDI WANATAKA ISHARA WAYUNANI WANATAKA .......

ANGALIENI SI WENGI WENYE HEKIMA YA MWILINI BALI MUNGU ALICHAG UA VINYONGE VYA DUNIA ILI AVIBATLISHE VILIVYOKO

MUNGU AKAWAPE HEKIMA NA HIKI KIKAWE CHOMBO TU CHA KUMTUKUZA MUNGU SI HABA NIKISEMA

KAMA SI KWELI YAONGELEWAYO JUU YA MTUMISHI WA MUNGU BASI MUNGU AKAWASAMEHE NA KUWATIA AIBU DUNIANI AKIWAKUMBUSHA MLIYOYAANDIKA HUMU MKAJUE MLIKUWA MKICHAMFUA MUNGU NA SI BINADAMU KAMA WAAMINIVYO

MIMI NILIPANDA APOLO AKATIA MAJI BALI APANDAYE NI MUNGU

NINYI NI SHAMBA LA MUNGU
HAMJUI YAKUWANNINYI NI HEKALU LA MUNGU ??

Mungu AWABARIKI

kama asemayo si kweli kwanini the bold atishiwe maisha?????
 
du kuna mtu anakufuru...anamuita gwajima masihi...kha!
 
hiki kitabu cha waisraeli mbona mnakitumia kutishana wakuu?? mnaacha vitabu vyetu vya kiafrika kama "chopeko na mnofu" au "kibanga kampiga mkoloni" nadhani binafsi vingenitisha zaidi kuliko hiking cha "waisraeli"
 
Ukimpiga chura teke wamwongezea mwendo
 
Huyu capitrait mbona ni kama the @Bold himself?
Tushushie nondo mkuu ni vipi wanatakatisha huo mchuzi kama mna inside info mwageni madini hapa jamani.
 
Last edited by a moderator:
The bold keshafanya yake! Kumbe Gwajima ni zaidi ya hummer? Jamani someni hiyo kitu ya The Bold hapo juu muwajue wanaohujumu uchumi wetu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nasikia dada yetu ana a/c humu jf na anamtetea sana mkulu wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom