Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Wekeni hapa huyo mzee wa hama wengine ni wageni hata hatumjui ni nan
mzee wa hummer humjui
aloset mchezo wote wa mbasha kubaka ili akae na kiburudisho fresh
Wekeni hapa huyo mzee wa hama wengine ni wageni hata hatumjui ni nan
Wewe Uliyeleta huu uzi hapa, kwanza huna Sera, huna jipya, una unga unga tu taarifa za uongo na uzushi.
Wewe kinachokuzuzua ni hilo hummer 2? Au umasikini wako wa kipato na fikra?
Ungekuwa mchakarikaji wala usingethubutu kumnyooshea kidole masihi wa BWANA.
Laana inayoambatana na watu wote wenye tabia za kuwapaka matope watumishi wa Mungu hapa nchini itakufuata na wewe.
Ninao uhakika kuwa mwaka huu hauishi lazima mambo yako yaharibike, kila utakachoweka mkono wako kutenda hautafanikiwa. Kwa kwa umethubutu kunyoosha mkono wako kinyume na masihi wa BWANA.
Kama Haruni na Miriam walivyopigwa na ukoma ndivyo utakavyokuwa wewe.
Ushahidi kama hayo yote yatakupata ni kuwa utapotea kabisa hapa JF kama alivyopotea mwenzako The Bold. Imetosha kumtukanisha Mungu na kuwadhalilisha watumishi wake.
We Hamna Kitu Umekopi Umbea Ukaja Nao Huku Hata Huusoma,USIANDIKE USIJOJUA WEWE KIJANA, UMEKALIA MAJUNGU TU
Watu wote tuliokua tunakesha tukiomba The bold arudi..sasa maombi yamejibu.. huyu hapa.. da ndugu yetu ulipotelea wapi.. nondo zako nimezisambaza kwa maelfu ya watu huku kanda ya ziwa.. leta nyingine.. hakika ndani ya masaa 10 watu elfu 1 watalala na taarifa zako mkuu.. nipe kazi.. shusha nondo hapa..here we go..
Mwambie mchungaji wenu amfufue Amina Chifupa kama alivyoahidi.
Mleta mada kashaliwa kichwa na mashujaa wa Daudi.
Gwajima ni masihi????
mzee wa hummer nakusalimia..
watu wote tuliokua tunakesha tukiomba the bold arudi..sasa maombi yamejibu.. Huyu hapa.. Da ndugu yetu ulipotelea wapi.. Nondo zako nimezisambaza kwa maelfu ya watu huku kanda ya ziwa.. Leta nyingine.. Hakika ndani ya masaa 10 watu elfu 1 watalala na taarifa zako mkuu.. Nipe kazi.. Shusha nondo hapa..here we go..
Anhaaa kumbeeeee unajua huku idugumbi info zinachelewa haya wekeni hapa ili nikawasimulie wanakijiji wenzangumzee wa hummer humjui
aloset mchezo wote wa mbasha kubaka ili akae na kiburudisho fresh
Mwambie mchungaji wenu amfufue Amina Chifupa kama alivyoahidi.
Daaaahh!! Mkuu capitrait umenipa mzuka wa kukataa kuwa mpole!!! Ngoja nipekue makabrasha alafu nije nifunguke kiduchu kuhusu huyo dogo... huyo dogo ni mastermind kwenye vitu vingi sana!!! Wenyewe code name yake wanamuita champion'!!!
Kumbe wakuu mpo wenye nyundo za maana tu ila mko kimya???
Capitrait endelea kufungua na mimi nakuja!! (Only kuhusu huyu dogo')
Anhaaa kumbeeeee unajua huku idugumbi info zinachelewa haya wekeni hapa ili nikawasimulie wanakijiji wenzangu
NDIO.
maana ya Masihi ni mpaka mafuta wa Bwana, simpl ni mtu aliyechaguliwa na Mungu wa Israel for special purpose kwa mfano kipindi cha agano la kale ambapo mtumishi Samweli alitumwa na Mungu wa Israel kwenda kumpakaa mafuta kijana mdogo kutoka katika nyumba ya Yesse aliyeitwa Daudi.
Mkuu pastor Gwajima nilimsikia kwenye mkutano wake pale morogoro mwezi mwezi dec mwaka jana, akisema kwamba alitaka kumfufua Amina ila mama yake amina Chifupa hakuwa tayari simply alikataa hivyo pastor Gwajma akaacha kufanya yake.