Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,662
hahaha dady J Gwajima hajaongea chochote j2 na watu walikuwa wengi sana kanisani ..sasa mimi niongee nn mkuu
Dady!!?? unamtusi mama yako aliyekuzaa kwa kumtetea huyo masihi wako.
hahaha dady J Gwajima hajaongea chochote j2 na watu walikuwa wengi sana kanisani ..sasa mimi niongee nn mkuu
Tena sio ndege moja. Naona hiyo hummer inawapasua nyongo. Mtakufa na wivu wabongo hamna dogo! Fanyeni kazi acheni majungu!
Dady!!?? unamtusi mama yako aliyekuzaa kwa kumtetea huyo masihi wako.
Duh full chenga hapa...
Naomba kama kuna mtu wa Ufufuo na Uzima anaona hii comment yangu au post hii! usiandike chochote, waache waseme wakichoka watapumzika. daddy J. Gwajima hakuongelea chochote jumapili. Tuwapuuze maana hawana madhara yoyote kwetu!!!
Hee Gwajima ni daddy yenu eeh?
Kijana mbona unaweweseka?? Nani anayemzungumzia gwajima hapa!! Mi naona watu wanaamjadili mzee wa hummer wewe unakurupuka kumtaja gwajima? Umerogwa?
Una Uhakika? Umbea Utakupeleka Jehanum
Huyo dogo ana NGOs zake mbili! Moja iko kule moro nyingine iko hapa dar ambayo wanaimiliki pamoja na mshkaji wake flani hivi yupo anasoma US, walisomaga wote kibaha!! Kwa ninavyofahamu ni kwamba dogo aliendaga kumtolea mahali mdogo wake mzee wa Hama, na baada ya hapo mzee wa hama akamuita aende dar ili wafahamiane!!! Basi unaambiwa baada ya kupiga piga stori nini mzee wa hama akagundua dogo ni genius afu anajuana sana na watu!!! Basi mzee wa hama akapropose awe anamsaidia kufanya hayo mambo ya kutakatisha michuzi!! Dogo kwa kuwa na yeye ni mtu wa mipango basi akasema poa, kazi ataiweza!! Na dogo yuko poa si kitoto katika kusuka mipango, maana anajuana sana na watu wa taasisi za fedha, huwa anawasaidia hadi wafanyabiashara wakubwa pale moro kuchukua mikopo mikubwa mikubwa benki... wenyewe huwa wanamuita champion!!! Nenda moro pale sehemu yao ya starehe panaitwa BIMA (samaki samaki) wanamjua vilivyo...
Inasemekana baada ya dogo kupewa mchongo huo ikabidi aimarishe mtandao wake! Alikuwaga na demu wake flani hivi walisoma wote mzumbe, kwa sasa yupo BOT (before that alikuwa STAMICCO)! Basi dogo akarirutubisha tena mapenzi yao ya enzi zileeee ili awe anamsaidia kwenye ishu za kutakatisha! Sasa kivumbi kilikuja ndoa na mdogo wake mzee wa hama ilipokaribia bibie akagundua kuwa dogo anauhusiano wa kimapenzi na huyo bibie wa BOT!! Basi palikuwa hapatoshi, mpaka wazazi wakaitwa wakaja kusuluhisha ila dogo akawa bado anakinyongo moyoni, akawa anasema bibie amemdhalilisha sana kumtuhumu kuwa ni mzinzi!!
Basi ikafika siku ya harusi ilikuwa novemba 2013, dogo haonekani na simu amezima!!!! Ilikuwa ni aibu ya mwaka unaambiwa... harusi ikahairishwa! Likapita
Sasa ndugu wakashangaa urafiki na ukaribu kati ya dogo na mzee wa hama haukufa hata baada ya lile tukio, basi mzee wa hama aliwekwa hadi vikao asiwe karibu na dogo maana ameidhalilisha sana familia, lakini wapiiii!!! Kumbe wenzao wanabiashara zao...
Sasa ikafika mwaka jana December mzee wa hama akaanza mkutano wa injili moro, na tofauti na mikoa mingine moro akaja na dada yetu muimbaji pamoja na mme wake!! Wanasema lengo lilikuwa ni kuwakutanisha na dogo ili hawape mpango mzima kuhusu part watakayokuwa wanaplay katika utakatishaji... naskia kikao kilifanyika Nashera Hotel, jumamosi tarehe 18, December!!
Baada ya kile kikao mume wa dada yetu muimbaji akawa anafanya kazi direct na pamoja na dogo kusaidia kutakatisha maprosoo ya muheshimiwa!! Wakapiga kazi fresh tu mpaka kufikia mwezi march mwaka huu, ambapo mume wa dada yetu muimbaji alipovurunda ishu flani hivi mpaka kupelekea Dogo kufunguliwa kesi ya madai ya MILIONI 90 (hii kesi mpaka sasa bado inaunguruma mahakama ya hakimu mkazi, Morogoro)!!!
Hapo ndipo mume wa dada yetu muimbaji alipoanza kuonja joto la jiwe mpaka sakata hili la kubaka.....
Wakuu, nisimalize uhondo wote maana mtaacha kunimiss na kuniombea!!
Tudadavue hii kwanza, alafu tutaendelea...
Naomba kama kuna mtu wa Ufufuo na Uzima anaona hii comment yangu au post hii! usiandike chochote, waache waseme wakichoka watapumzika. daddy J. Gwajima hakuongelea chochote jumapili. Tuwapuuze maana hawana madhara yoyote kwetu!!!
Duh full chenga hapa...