kwanza kabisa niseme nimekuwa very dissappointed na huyu mkuu The Bold kwa uoga aliouonyesha kukaa kimya kwasababu ya mikwara ya kitoto aliyopigwa!! hivi inakuwaje mtu info muhimu kusaidia taofa lako lakini unakubali kufungwa mdomo kirahisi namna hii? kama kila mtu angekuwa muoga kama The Bold hivi hii nchi ingekuwa wapi? tufahamu kuwa hata wanasiasa wanaofichua ufisadi nao huwa wanarisk maisha yao kama wewe The Bold lakini wanapiga moyo konde!! huwa tunapenda kushangilia tu lakini sisi tukiwa na taarifa muhimu tunaufyata mkia kuhofia kuuawa!!! watu kama The Bold hamfai kuishi hapa Tanzania, tafuteni nnchi nyingine mkaishi.....
turudi kwenye nyundo!
NAMNA MZEE WA HUMMER ANAVYOSAFISHA PESA HARAMU
nimefuatilia kwa makini sana post zilizokuwa zikiwekwa na The Bold, na baada ya kujiridhisha na usahihi wa taarifa zake na baada ya kumuona ameingia mitini nimeona ni bora na mimi nifunguke kueleza yale ninayoyafahamu juu ya mzee wa hummer, katika bandiko hili nitajikita zaidi kueleza namna ambavyo huyu mtu anasafisha pesa zake...
baada ya jamaa kutibuana katika ile CARTEL yao inaonekana kuwa jamaa akapania kuunda mtandao wake mwenyewe yeye binafsi!! The bold alitaja mambo kadhaa ambayo jamaa aliyafanya lakini kuna moja nahisi The Bold bado hajalifahamu ni kuwa jamaa alitafuta watu maalumu kwa ajili ya kumsaidia kusafisha fedha na hapa ndipo hasa alipowahitaji yule dada yetu muimbaji, mumewe na Bwana Mdogo mmoja anaishi moro ambaye kwa kipindi kile alikuwa amemchumbia mdogo wake mzee wa hummer!! master Mind katika hii ishu alikuwa ni huyo Bwana Mdogo wa moro ambaye ni shemejiye Mzee wa Hummer... (naomba nilisitiri jina lake) ila nitaeleza kwa ufupi wasifu wake na wasifu wa mchumba wake (mdogo wake mzee wa hummer) ili tuweze kuelewa vizuri nitakachokiandika...
MDOGO WA MZEE WA HUMMER -- binti mwenye umri wa miaka 26, amewahi kuajiriwa katika mashirika makubwa tya misaada yakiwemo International Rescue Committee, UNHCR na sasa anafanya kazi katika shirika lingine kubwa lenye makazi yake nchini marekani.
MCHUMBA WAKE -- huyu dogo ana miaka 28, amesoma kibaha enzi zile za vipaji maalumu, A-level alichaguliwa tambaza ila hakumaliza akacha akaenda kupiga mishe mishe marekani, baadaye alirudi akaenda kumalizia masomo yake Chuo kikuu Mzumbe
post hajiaingia yote wakuu! najitahidi niilete yote...