MZEE WA HUMMER: Nyundo nyingine

MZEE WA HUMMER: Nyundo nyingine

Status
Not open for further replies.
Mtaaibika Wote, VITA VYETU SI JUU YA DAMU NA NYAMA BALI NI JUU YA FALME,MAMLAKA NA WAKUU WA GIZA.
*OUR LORD IS AWESOME*
 
Wewe mleta mada, usitutanie ujue!!!!!! Tupo tunasubiri nondo na ukijaribu kuishia njiani unakula ban ya mwaka mzima. Hebu endelea na hiyo story ya utakatishaji wa michuzi.

Tiba
 
Jitaidi Ila Kumbuka Iwe Ni Kweli Kama Ni UONGO Laana Itakufuatilia Mpaka Kizazi Cha 4, Kuwa Makini Sana Unapogusa Watumishi Wa Mungu

Fake pastors wanawakalilisha maandiko na nyinyi bila kupambanua mnakubali!! Kwanza biblia inasema “...mtoto hatahukumiwa kwa dhambi ya baba, na baba hatahukumiwa kwa dhambi ya mtoto.."! Fake pastors wanawakalilisha andiko la kulaaniwa mara kwa mara ili muogope kuwacritisize pale wanapokosea, wakati hata mtume Paulo ansema “... msiiamini kila roho bali zipimeni kama kweli roho hizo zimetoka kwa Mungu!!
 
Unamkashifu Pastor Gwajima, Mizuka Yote Tunaitoa Kwa Jina La Yesu Na Ukitaka Kunijua Picha Yangu Iyo Apo Kwa Profile, Okoka Uache Uhuni Kijana

Kijana mbona unaweweseka?? Nani anayemzungumzia gwajima hapa!! Mi naona watu wanaamjadili mzee wa hummer wewe unakurupuka kumtaja gwajima? Umerogwa?
 
Sasa Kama Una Mizuka Wewe Ni Mfuasi Wa Ibilisi Na Ndio Maana Unamkashifu Pastor Gwajima, Mizuka Yote Tunaitoa Kwa Jina La Yesu Na Ukitaka Kunijua Picha Yangu Iyo Apo Kwa Profile, Okoka Uache Uhuni Kijana

mbona umeshupalia kumtetea mzee wa hummer
 
fake pastors wanawakalilisha maandiko na nyinyi bila kupambanua mnakubali!! Kwanza biblia inasema “...mtoto hatahukumiwa kwa dhambi ya baba, na baba hatahukumiwa kwa dhambi ya mtoto.."! Fake pastors wanawakalilisha andiko la kulaaniwa mara kwa mara ili muogope kuwacritisize pale wanapokosea, wakati hata mtume paulo ansema “... Msiiamini kila roho bali zipimeni kama kweli roho hizo zimetoka kwa mungu!!

nimeshakueleza, mimi si mtu wa porojo sana,endelea..
 
kijana mbona unaweweseka?? Nani anayemzungumzia gwajima hapa!! Mi naona watu wanaamjadili mzee wa hummer wewe unakurupuka kumtaja gwajima? Umerogwa?

acha unafiki kijana kama umeamua kusema kitu we sema na jina kabisa mr
 
We bana kama unajijua huwezi kushika nafasi ya The bold mwachie mwenyewe arudi amalizie,

Hovyoooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Mbinguni kunamakaaooo mazuriii sana mbinguniii kweliio kuna Makao mazuriisana


HALELLUYA TUTAONANAAAAALELUYAA TUTAONANA TUTAONANA MBINGUNI KWA BABA ALELUYA TUTAONANA NAE

CAPITRIT TUTAMWONAAABTUKIFIKA ....KWA.......NAE THE BOLD TUTAMWONA

DONT TOUCH MY ANNOINTING

mzee wa hummer nakusalimia..
 
Wekeni hapa huyo mzee wa hama wengine ni wageni hata hatumjui ni nan
 
Kijana mbona unaweweseka?? Nani anayemzungumzia gwajima hapa!! Mi naona watu wanaamjadili mzee wa hummer wewe unakurupuka kumtaja gwajima? Umerogwa?

Watu wote tuliokua tunakesha tukiomba The bold arudi..sasa maombi yamejibu.. huyu hapa.. da ndugu yetu ulipotelea wapi.. nondo zako nimezisambaza kwa maelfu ya watu huku kanda ya ziwa.. leta nyingine.. hakika ndani ya masaa 10 watu elfu 1 watalala na taarifa zako mkuu.. nipe kazi.. shusha nondo hapa..here we go..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom