Mzee Mwinyi Usilalamike, Hii Dhambi Uliishiriki Dodoma

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Haulali njaa Kama wanavyolala njaa wazee wenzako.
•Hujadhulumiwa mafao Kama walivyodhulumiwa wazee wenzako.
•Hauna dhiki yoyote Kama walizonazo wazee wenzako.
•Tunafahamu ya kwamba una uchungu wa dhati na taifa lako ndo maana enzi zako tulikuita mzee wa ruksa, Kwa Sababu uliruhusu watu kufanya biashara zao halali pasi na chuki yoyote ya kisiasa Kama huyu tuliyenaye sasa hivi.
•Enzi zako pesa ilizagaa kila kona mtaani, kuikosa ilikuwa ni uvivu wa hali ya juu.
Huyu bwana tulijua hawezi kutufikisha tunakotaka sisi Kwa Sababu tayari kaonyesha hivyo.
Na wewe umesahau kuwa pale Dodoma ulibariki mamvi kukatwa jina ili hali alikuwa ameshinda Kwa haki kabisa, eti kisa mtu fulani anataka ndugu yake fulani ndo amwachie usukani.
Siku hiyo pale Dodoma ungekataa wazi wazi kuwa hukubaliani na huo usanii uliofanyika, ungekataa Kama alivyokataa Mzee mwenzako hadi na kadi akawarudishia.
Sasa hivi unalalamika ukiwa tayari ulishiriki kuliwasha na kulisukuma gari hilo bovu na ndo lipo barabarani limejaza moshi na hewa safi hakuna, hiyo haitasaidia chochote kabisa mzee wangu.
Uongozi ni hekima Sana na busara Sana, siyo kila mtu anaweza.
 
Mimi nashangaa kuona watu kila kukisha wanalalamika kukatwa kwa EL,mbona hamlalamiki kukatwa kwa Dr,Birali? inamaana lowasa ni bora kuliko Birali?
 
Haulali njaa Kama wanavyolala njaa wazee wenzako.
•Hujadhulumiwa mafao Kama walivyodhulumiwa wazee wenzako.
•Hauna dhiki yoyote Kama walizonazo wazee wenzako.
•Tunafahamu ya kwamba una uchungu wa dhati na taifa lako ndo maana enzi zako tulikuita mzee wa ruksa, Kwa Sababu uliruhusu watu kufanya biashara zao halali pasi na chuki yoyote ya kisiasa Kama huyu tuliyenaye sasa hivi.
•Enzi zako pesa ilizagaa kila kona mtaani, kuikosa ilikuwa ni uvivu wa hali ya juu.
Huyu bwana tulijua hawezi kutufikisha tunakotaka sisi Kwa Sababu tayari kaonyesha hivyo.
Na wewe umesahau kuwa pale Dodoma ulibariki mamvi kukatwa jina ili hali alikuwa ameshinda Kwa haki kabisa, eti kisa mtu fulani anataka ndugu yake fulani ndo amwachie usukani.
Siku hiyo pale Dodoma ungekataa wazi wazi kuwa hukubaliani na huo usanii uliofanyika, ungekataa Kama alivyokataa Mzee mwenzako hadi na kadi akawarudishia.
Sasa hivi unalalamika ukiwa tayari ulishiriki kuliwasha na kulisukuma gari hilo bovu na ndo lipo barabarani limejaza moshi na hewa safi hakuna, hiyo haitasaidia chochote kabisa mzee wangu.
Uongozi ni hekima Sana na busara Sana, siyo kila mtu anaweza.
.....SASA who is MAMVIII???? hivi kwa akili yako ndogo uliyobakia nayo UNAFIKIRI mamvii angekuwa RAIS,TANZANIA ingekuwa ni full of asali???? NA kingne kwa akili yako ndogo hiyo UNAFIKIRI MAGUFULI ana kipi cha kupoteza mpaka sasa??mpka ifikie asiwe na uchungu na nchii,....WAKATI MWINGNE MUACHE KULALAMIKA KWENYE MAMABO YA KIIPUUUZI.......Mamviii he has been on the system kwa miongo kadhaa na hakuna cha maana alichoifanya hata hapo MONDULI.....
 
Mwinyi anahangaika sana kuitafuta pepo angali yu humu duniani kwa wingi wa ucha Mungu na kunasihisha lakini
Kwa aliloshiriki mstari wa mbele Dodoma na mateso ,madhila wanayopata watu wengi sasa kwa kutuletea ......
Naamini HATAIONA PEPO
 
......SASA who is MAMVIII???? hivi kwa akili yako ndogo uliyobakia nayo UNAFIKIRI mamvii angekuwa RAIS,TANZANIA ingekuwa ni full of asali???? NA kingne kwa akili yako ndogo hiyo UNAFIKIRI MAGUFULI ana kipi cha kupoteza mpaka sasa??mpka ifikie asiwe na uchungu na nchii,....WAKATI MWINGNE MUACHE KULALAMIKA KWENYE MAMABO YA KIIPUUUZI.......Mamviii he has been on the system kwa miongo kadhaa na hakuna cha maana alichoifanya hata hapo MONDULI.....
unadhani waziri mkuu ana uwezo wa kuamua jambo na likawa bila ruhusa ya rais?
Wewe umesom wapi mjinga namba moja kabisa.
Nchi huwa haiongozwi Kwa kutamka maneno mengi pamoja na chuki Kwa wanasisa, nchi huongozwa Kwa mikakati kabambe.
Badala ya kujibu hoja nilizoandika hapo juu wewe umerukia Kwa mihemko ya ushabiki wa ki ccm.
By the way ccm haikushinda Uchaguzi mkuu, mkitaka kujua kuwa, you guys are deeply hated by wananchi, katiba ibadilishwe na kuwe na tume huru ya uchaguzi, ndo mtajua kiasi gani nyie ni kinyesi kibichi
 
Haulali njaa Kama wanavyolala njaa wazee wenzako.
•Hujadhulumiwa mafao Kama walivyodhulumiwa wazee wenzako.
•Hauna dhiki yoyote Kama walizonazo wazee wenzako.
•Tunafahamu ya kwamba una uchungu wa dhati na taifa lako ndo maana enzi zako tulikuita mzee wa ruksa, Kwa Sababu uliruhusu watu kufanya biashara zao halali pasi na chuki yoyote ya kisiasa Kama huyu tuliyenaye sasa hivi.
•Enzi zako pesa ilizagaa kila kona mtaani, kuikosa ilikuwa ni uvivu wa hali ya juu.
Huyu bwana tulijua hawezi kutufikisha tunakotaka sisi Kwa Sababu tayari kaonyesha hivyo.
Na wewe umesahau kuwa pale Dodoma ulibariki mamvi kukatwa jina ili hali alikuwa ameshinda Kwa haki kabisa, eti kisa mtu fulani anataka ndugu yake fulani ndo amwachie usukani.
Siku hiyo pale Dodoma ungekataa wazi wazi kuwa hukubaliani na huo usanii uliofanyika, ungekataa Kama alivyokataa Mzee mwenzako hadi na kadi akawarudishia.
Sasa hivi unalalamika ukiwa tayari ulishiriki kuliwasha na kulisukuma gari hilo bovu na ndo lipo barabarani limejaza moshi na hewa safi hakuna, hiyo haitasaidia chochote kabisa mzee wangu.
Uongozi ni hekima Sana na busara Sana, siyo kila mtu anaweza.
Mzee anatafuta kiki tu wanawe wtatu wako serikali ya wamu ya tano anajidanganya kudhani tutamuamini asemacho ukweli tunamuheshimu kwa sababu si mtu wa fitina lakini hasemi ukweli
 
Mwinyi anahangaika sana kuitafuta pepo angali yu humu duniani kwa wingi wa ucha Mungu na kunasihisha lakini
Kwa aliloshiriki mstari wa mbele Dodoma na mateso ,madhila wanayopata watu wengi sasa kwa kutuletea ......
Naamini HATAIONA PEPO

mkuu huyu mbona anaanza kupata adhabu hapa hapa duniani? Kwa unafiki wake ona hadi anachapwa makofi live kwenye media! Huyu ni mnafiki tu naye.
 
.....SASA who is MAMVIII???? hivi kwa akili yako ndogo uliyobakia nayo UNAFIKIRI mamvii angekuwa RAIS,TANZANIA ingekuwa ni full of asali???? NA kingne kwa akili yako ndogo hiyo UNAFIKIRI MAGUFULI ana kipi cha kupoteza mpaka sasa??mpka ifikie asiwe na uchungu na nchii,....WAKATI MWINGNE MUACHE KULALAMIKA KWENYE MAMABO YA KIIPUUUZI.......Mamviii he has been on the system kwa miongo kadhaa na hakuna cha maana alichoifanya hata hapo MONDULI.....
Ulienda monduli ukaona kupoje
 
Mleta mada unadhani wote hapa wajinga.
Kwani wangapi walikatwa? Una uhakika unayesema alishinda kama alipigiwa kura yoyote. Kura walipigiwa watu watano tu. We vipi bwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom