bopwe
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 1,776
- 1,464
Ondoa takata za kumtetea mzee wako au kujitetea wew mwenyewe. Naona umekuja kujiipigia promo. Watanzania hawatak viongoz wabovu tena kwa sasa.
Ubovu wake nini ...Membe for 2020 hakuna jinsi...

Gambo hawezi kutenguliwa uteuzi kwa sababu ya propaganda za bavicha.
Gambo amefanya makubwa Arusha kuliko hii singeli isiyo na maana yoyote tunayojaribu kuimbiwa na chadema.
Gambo alipofika tu Arusha alifumua uozo wote wa chadema ikiwemo madiwani wa chadema kujilipa posho za kifisadi, aliwaamrisha hela zote wazirejeshe na akaamru zikalipe madeni ya walimu..
Kwa mazuri haya, chadema mtasubili Sana uteuzi wa Gambo kutenguliwa.
*Paathetic=Pathetic,Paathetic nini wakati ni ukweli?
Unataka kila mtu awe wa kusifia tu?
Ni nani unayemfikiria kuhangaika na wastaafu? Kipi kinasemwa ambacho hakusema? Kwa akili yako hili kazushiwa siyo? Hakushiriki kumweka madarakani? Leo analaumu nini kuchomwa na mchongoma ulioupanda na kuumwagilia mwenyewe? Ni bora hata wewe ungenyamaza tu naye akae kimya pia.Mmemaliza kwa Kikwete sasa mnataka kuhamia kwa Mzee Mwinyi!
Mbona mnahangaika sana nyie vijana?
Pathetic.
Ubovu wake nini ...Membe for 2020 hakuna jinsi...
Acha utani braza!! Pia EL ni bora hata zaidi ya Tungi!! Hujasoma comparison kule f2!??Mimi nashangaa kuona watu kila kukisha wanalalamika kukatwa kwa EL,mbona hamlalamiki kukatwa kwa Dr,Birali? inamaana lowasa ni bora kuliko Birali?
Ulisikia wakiimbwa hao .... wakulu kibao kwenye serikali hii waliimba wana imani na manviii.... oya oya oyaaa. .... kachukue akili zako Lumumba mkuu...Mleta mada unadhani wote hapa wajinga.
Kwani wangapi walikatwa? Una uhakika unayesema alishinda kama alipigiwa kura yoyote. Kura walipigiwa watu watano tu. We vipi bwana!
Mbona unahukumu wakati na wewe utahukumiwaMwinyi anahangaika sana kuitafuta pepo angali yu humu duniani kwa wingi wa ucha Mungu na kunasihisha lakini
Kwa aliloshiriki mstari wa mbele Dodoma na mateso ,madhila wanayopata watu wengi sasa kwa kutuletea ......
Naamini HATAIONA PEPO
Mwinyi anahangaika sana kuitafuta pepo angali yu humu duniani kwa wingi wa ucha Mungu na kunasihisha lakini
Kwa aliloshiriki mstari wa mbele Dodoma na mateso ,madhila wanayopata watu wengi sasa kwa kutuletea ......
Naamini HATAIONA PEPO
Mkuu umesema ukweli kabisa. Kwa ile dhambi aliyoifanya huyu mzee mwinyi na kusababisha sisi watanzania tuishi kwa taabu, hakika naomba Mungu amchome moto mkali sana.
he is hopeless . ni hovyo hana mwelekeo, hana uwezo. na akama wewe ndo mhusika unakuja kupima upepo ...basi usijidanganye kabisa nchi hii mkifikia hatua kuwapa uongozi watu kama akina membe mi naenda kuchukua uraia wa sudan kusini maana ni bora niwe raia wa sudan,somalia au kongo kule kwenye machafuko kuliko kudhalilika kuwa rais wangu ni huyo uliyemtaja. yaani hilo sahauni haliji kutokea katika tanzania ya sasa ambayo tayari ina watu kama sisi wenye akili hatuwez ruhusu tena kuongozwa na wendawazimu kama huko nyuma.
Haulali njaa Kama wanavyolala njaa wazee wenzako.
•Hujadhulumiwa mafao Kama walivyodhulumiwa wazee wenzako.
•Hauna dhiki yoyote Kama walizonazo wazee wenzako.
•Tunafahamu ya kwamba una uchungu wa dhati na taifa lako ndo maana enzi zako tulikuita mzee wa ruksa, Kwa Sababu uliruhusu watu kufanya biashara zao halali pasi na chuki yoyote ya kisiasa Kama huyu tuliyenaye sasa hivi.
•Enzi zako pesa ilizagaa kila kona mtaani, kuikosa ilikuwa ni uvivu wa hali ya juu.
Huyu bwana tulijua hawezi kutufikisha tunakotaka sisi Kwa Sababu tayari kaonyesha hivyo.
Na wewe umesahau kuwa pale Dodoma ulibariki mamvi kukatwa jina ili hali alikuwa ameshinda Kwa haki kabisa, eti kisa mtu fulani anataka ndugu yake fulani ndo amwachie usukani.
Siku hiyo pale Dodoma ungekataa wazi wazi kuwa hukubaliani na huo usanii uliofanyika, ungekataa Kama alivyokataa Mzee mwenzako hadi na kadi akawarudishia.
Sasa hivi unalalamika ukiwa tayari ulishiriki kuliwasha na kulisukuma gari hilo bovu na ndo lipo barabarani limejaza moshi na hewa safi hakuna, hiyo haitasaidia chochote kabisa mzee wangu.
Uongozi ni hekima Sana na busara Sana, siyo kila mtu anaweza.
writes like a wiseboyHaulali njaa Kama wanavyolala njaa wazee wenzako.

Pepo gani huyu si ndiye alienda Zanzibar na vilafi wenzake wa CCM na kuiua rasmi miiko ya uongozi iliyotufikisha hapa tulipo? Mwinyi hana moral authority ya kumlaumu yeyote yule. Huyu mzee kwanza alitaka kubadilisha katiba aruhusiwe kugombea tena pili alileta vyama vingi huku akituachia katiba ya chama kimoja. Binafsi hua nashangaa sana wanamsifu huyu mzee ama walikuwa wadogo wakati akiwa rais ama wameanza kuyafuatilia mambo ya vyama vingi tangu Lowasa aingie upinzani. Hakuna rais aliyepita kasoro mwalimu pekee angekosa kuuona mlango wa Mahakama kama tungekuwa na Katiba ya Wananchi na siyo katiba inayowalinda weziMwinyi anahangaika sana kuitafuta pepo angali yu humu duniani kwa wingi wa ucha Mungu na kunasihisha lakini
Kwa aliloshiriki mstari wa mbele Dodoma na mateso ,madhila wanayopata watu wengi sasa kwa kutuletea ......
Naamini HATAIONA PEPO
Hapa tunamjadili Mwinyi na wanafiki wenzake ukitaka kujua kama mkwewe Lowasa kapata dhamana nenda kisutu ama ktk thread inayohusu hiyo mada. Hapa tunamjadili matapeli wetu wakuu Mwinyi akiwa mojawapoHivi mkwewe Lowasa alishapata dhamana au bado?
mkuu huyu mbona anaanza kupata adhabu hapa hapa duniani? Kwa unafiki wake ona hadi anachapwa makofi live kwenye media! Huyu ni mnafiki tu naye.
Mimi sikuelewi nini ulitaka kumaanisha ktk huu uzi maana ktk kundi zima la waliotaka tuwape dhamana ya kukaa pale magogoni wote walikua na sifa moja majizi ya ccm akiwemo na huyu Lowasa. Waumini wa dini tunamjua malaika moja aliyetoka ktk kundi la Mungu na kujiunga na la shetani anaitwa Lusufel. CCM ni kundi la mashetani na upinzani tulidhani ni kundi la malaika wema ndivyo tuliaminishwa miaka minane na upinzani. Ilikuwaje Lusufel ahame kundi la shetani ajiunge na kundi la Mungu? Haya mahaba ya Lowasa hua siwaelewi kabisa yana lengo gani. Kwangu mimi sioni kada yeyote wa ccm awe bado yupo ccm au la ni shetani tuHaulali njaa Kama wanavyolala njaa wazee wenzako.