Mzee Makamba Pole sana

Mzee Makamba Pole sana

Hizo comments zisikuumize wewe uliyefiwa zije kuniumiza mimi. Mimi kwangu ni furaha tele. Mungu alinishindia na kuwashindia Watanzania wote. Naamini kuna sehemu tulimkosea Mungu so akatupa huyo jiwe kama adhabu. Tulipotubu akatusamehe na kumuondosha.
Wewe jamaa Nimewahi kukwambi Magufuli ataendelea kukuumiza mpaka kufa kwako na kila utakaposkia jina lake utakuwa unaamsha vidonda vya tumbo, ni dhairi tangu JPM avuruge kabisa maisha yako mpaka leo haujakaa sawa na wala akili yako haiko sawa fanya kumuona daktari kabla hali haijawa mbaya zaidi ukaokota na makopo.

Halafu wewe kama nani unawasemea watanzania wote? Uliyemkosea Mungu ni wewe na familia yako kiasi kwamba umeshindwa kupona mpaka leo, unauguza maumivu tu.

Mungu gani huyo anaweza akamuondoa Magufuli kisha akakupa kiongozi aina ya Samia mpuuzi wewe??

Wewe mpumbavv hauna sababu yoyote ya maana inayokufanya kushangilia kifo cha magufuli zaidi ya kuharibiwa ugali wako tu uliokuwa unaupata kwa ujanjanja.. maana kama ni utekaji,mauaji,ukandamizaji wa demokrasia,hofu,ufisadi kwenye awamu hii ndio vimezidi, lakin wala hata hauoneshi kuumizwa, wewe kila kukicha unakuja humu kuwinda comments zinazomuhusu Magufuli tu, kisha uanze kutoa nyongo kama sehemu ya kujipa faraja kwa maumivu yako yasioisha.

Utakufa na kihoro mjinga wewe.
 
Wazee wa vyeti feki mhajaheal bado
 
Tabia ya Chura Kiziwi haitofautiani sana na ya American tyrant Donald Trump. Wote wanathamini sana machawa na wana visasi vya kijinga sana!

Ingawa Makamba naye ni mtu wa ovyo, angeachwa akakabiliane na wapigakura wake. Chura Kiziwi is abusing her position!
Umeacha kusifu na kuabudu lumumba buku 7??
 
Pole mzee ni vyeti feki au?
Huyu mpuuzi inavyoonekana kwenye ukoo wao aliyekuwa anawafanya waende chooni alitumbuliwa na Magufuli, na baada ya hapo ukoo wao mzima ukaparanganyika kiasi kwamba wengi wamekuwa kama vichaa akiwemo yeye.

Yaani mtu alishakufa ila bado anaendelea kukuumiza ni si utahira huo, wajanja woote walisharudi kwenye system wanalamba asali walishamsahau mpaka na Magufuli, ila huyu fala inaonekana mpaka leo amekosa ramani yupo tu anauguza maumivu huku akimwaga nyongo huku kwenye mitandao.
 
Pole mzee ni vyeti feki au?
Wewe kweli hamnazo,kila kitu unawaza cheti. Siyo kila mtu anategemea cheti. Wanyonge akili zenu ni finyu sana na ndiyo maana jiwe aliwaweza na kuwatumia kama mtaji.
 
Wewe jamaa Nimewahi kukwambi Magufuli ataendelea kukuumiza mpaka kufa kwako na kila utakaposkia jina lake utakuwa unaamsha vidonda vya tumbo, ni dhairi tangu JPM avuruge kabisa maisha yako mpaka leo haujakaa sawa na wala akili yako haiko sawa fanya kumuona daktari kabla hali haijawa mbaya zaidi ukaokota na makopo.

Halafu wewe kama nani unawasemea watanzania wote? Uliyemkosea Mungu ni wewe na familia yako kiasi kwamba umeshindwa kupona mpaka leo, unauguza maumivu tu.

Mungu gani huyo anaweza akamuondoa Magufuli kisha akakupa kiongozi aina ya Samia mpuuzi wewe??

Wewe mpumbavv hauna sababu yoyote ya maana inayokufanya kushangilia kifo cha magufuli zaidi ya kuharibiwa ugali wako tu uliokuwa unaupata kwa ujanjanja.. maana kama ni utekaji,mauaji,ukandamizaji wa demokrasia,hofu,ufisadi kwenye awamu hii ndio vimezidi, lakin wala hata hauoneshi kuumizwa, wewe kila kukicha unakuja humu kuwinda comments zinazomuhusu Magufuli tu, kisha uanze kutoa nyongo kama sehemu ya kujipa faraja kwa maumivu yako yasioisha.

Utakufa na kihoro mjinga wewe.
Sasa sikia wewe mnyonge, maovu ya awamu hii hayatoi uhalali wa uhalifu na uovu wa Jiwe. Mimi nina furaha tele baada ya Jiwe kuondolewa na Mungu. Mimi siyo mwanasiasa na wala muajiriwa serikalini. Hivyo sina lolote la kupata kwa awamu yoyote lakini uovu lazima usemwe
 
Wewe kweli hamnazo,kila kitu unawaza cheti. Siyo kila mtu anategemea cheti. Wanyonge akili zenu ni finyu sana na ndiyo maana jiwe aliwaweza na kuwatumia kama mtaji.
Wewe ndo mnyonge wa vyeti trauma uliyoipata baada ya kutumbuliwa ndo maana unalialia mpaka leo
 
Za chini chini watu wanadai Kigogo ni JM na wanaishi nae kwa Tahadhari.Chini ya carpet....
 
Sasa sikia wewe mnyonge, maovu ya awamu hii hayatoi uhalali wa uhalifu na uovu wa Jiwe. Mimi nina furaha tele baada ya Jiwe kuondolewa na Mungu. Mimi siyo mwanasiasa na wala muajiriwa serikalini. Hivyo sina lolote la kupata kwa awamu yoyote lakini uovu lazima usemwe
Wewe kweli akili huna nguruwe pori wewe, ni wapi mimi nimesema au nimejaribu kuhalalisha maovu kwa maovu?

Tatizo hilo fuvu lako limebeba kamasi badala ya ubongo.

Una furaha wapi mbwiga wewe?

Mtu mwenye furaha bado anaumizwa na mfu ambaye amekufa karibu miaka mitano sasa?

Uwe na furaha kila ukija jamiiforum hakuna kingine unachofanya zaidi ya kutafuta comments zinazomuhusu Magufuli kisha uanze kurushiana maneno na watu?

Uwe na furaha kila ukiona comment inayomsifia Magufuli humu unapandisha sukari na kuanza kushusha povu la hasira?

Kila dakika zinaanzishwa mada kibao humu zinazoelezea uozo unaofanywa na serikali ya samia ambao unaliangamiza taifa, lakini wewe wala hunaga muda nazo kazi yako ni kuvizia tu zile comments zinazomuongelea magufuli na kuanza uchokonozi, halafu eti unajiita una furaha?? Furaha gani?

Mwenye furaha uwe wewe? na wakati unaonekana tu unasumbuliwa na vidonda vya tumbo ulivyosababishiwa na awamu ya tano!?!!

Watu ambao wanaoishi kwa furaha ni akina Abduli huko, akina Ridhiwan na akina Mwigulu Nchemba... hao ndio wanufaika sahihi wa kifo cha Magufuli na sio wewe nguchiro mmoja tu hivi ambaye mpaka leo umeshindwa kurudi kwenye njia tangu chuma akuvurugie ugali wako.
 
Mkuu mbona umeandika maneno mengi tenq kwa hasira. Kifupi huyo jiwe wako wakati anawaita nyie kuwa ni wanyonge hata kwenu nchini sikuwepo ila taarifa kupitia jf nilizipata. Kufupisha story je wewe bado ni mnyonge mpaka sasa au akili zimerudi?
 
Wakuu,

Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe

Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri

Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Mwenye ile video yake aliyokua akisema wapinzani watabatizwa kwa moto aiweke tujikumbushe
 
Mkuu mbona umeandika maneno mengi tenq kwa hasira. Kifupi huyo jiwe wako wakati anawaita nyie kuwa ni wanyonge hata kwenu nchini sikuwepo ila taarifa kupitia jf nilizipata. Kufupisha story je wewe bado ni mnyonge mpaka sasa au akili zimerudi?
Huna lolote nguchiro, eti hukuwepo nchini, ungekuwa unatoa mapovu kila ukikutana na comment inayomuhusu magufuli?

Diaspora tunaowajua humu hawakuwa hata na muda na magufuli na tena alivyokufa ndio kabisa huwezi kuskia wakimuongelea na sababu zipo wao hawakuathirika kihivyo... sasa wewe ambaye kwenye kila comment unashusha povu ndio useme eti sio muhanga wa awamu ya tano? Wewe ni mjinga tu mmoja hivi ambaye mpaka leo umeshindwa kurudi kwenye njia tangu magufuli akutoe kwenye reli.
 
Bora walivyomkata alichangia kututungia sheria mbovu ya mitandao..!!
 
Back
Top Bottom