Mzee Makamba Pole sana

Mzee Makamba Pole sana

Huna lolote nguchiro, eti hukuwepo nchini, ungekuwa unatoa mapovu kila ukikutana na comment inayomuhusu magufuli?

Diaspora tunaowajua humu hawakuwa hata na muda na magufuli na tena alivyokufa ndio kabisa huwezi kuskia wakimuongelea na sababu zipo wao hawakuathirika kihivyo... sasa wewe ambaye kwenye kila comment unashusha povu ndio useme eti sio muhanga wa awamu ya tano? Wewe ni mjinga tu mmoja hivi ambaye mpaka leo umeshindwa kurudi kwenye njia tangu magufuli akutoe kwenye reli.
😂😂😂😂😂😂
Mkuu acha makasiriko ya kijinga. Pole sana kwa jiwe wenu kuuliwa na Mungu kwa kuiponya Tanzania. Kubali ukweli na songa mbele pia acha kujiita mnyonge kwani ni tusi hata kwa wazazi wako.
 
Uovu wote ule alioufanya kwa Taifa ni nani atamsahau. Hata huko alipo ikibidi afe tena. Kama kuna mtu alihusika kwenye kifo chake basi huyo inabidi awe shujaa wa Taifa
we ni fala
 
Mzee kautaaaa

Mzee kautaaaaa

Mzee kautaaaaaaa...



Naombaaaaaa majiiiii.......
 
Back
Top Bottom