Chato kwa Jiwe 🤣🤣🤣🤣🤣
Jiwe ilikuwa laana kwa Taifa lenu
January ni katibu mkuu wa CCM baada ya mzee Nchimbi, itunze hiiiKikwete akiwasilina na katibu wake mkuu wa chama enzi hizo Senior Makamba anamwambiaje, anajiteteaje?
'Mamake una maatatizo ya kiakili, unamuonea huruma Mze Makamba ili iweje? Huyu mtu hastahili huruma yeyote, ni mpuuzi mno na mnafiki aliyeshindikana. Ni bora arudie tu taaluma yake ya uimbaji taarab kama awali.Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Anabatizwa kwa MOTO.Wakuu,

Maumivu ya nini tena? Na toka lini mimi nikawa mjane? Mimi nina furaha baada ya lile jibwana kuuliwa na MunguMjane pole kwa maumivu
Uovu wote ule alioufanya kwa Taifa ni nani atamsahau. Hata huko alipo ikibidi afe tena. Kama kuna mtu alihusika kwenye kifo chake basi huyo inabidi awe shujaa wa TaifaJiwe alilolikataa Makamba naona limekuwa laana kwa familia yake sasa.
Lazima unabii wa jiwe utakumbukwa tu.
Wa kukumbukwa kwa mema na wala si kwa mabaya,
Amina.
Mimba kivip? Mimi wa kiume kama ulikuwa hujui, au hujui hata unachoandika. Mungu fundi sana. Sukuma gang hamtokuja kuongoza tena nchii hiiAlikuacha na mimba ya miezi mingapi mkuu?
Kabisa,maana alikuwa bingwa wa kutengeneza sinema,leo hii naskia huko Pwani magari yameandaliwa kila kata na vijiji ili waende kwenye uzinduzi wa bandari kavu.Lengo ni kuonyesha kiongozi anapendwa saana.Kuna saa unaanza kuamini hata upuuzi tunaupenda.Mambo ya nyakati....
ALisema wapinzani watabatizwa kwa moto sasa mwanae nae kabatizwa kwa moto.Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Mwenyekiti ni mkubwa kuliko chama kanushaWakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
CCM chama dume, hakuna mkubwa kuliko chama. Siondoki CCM kumpotea January ni zaidi ya ushindi. Yule ni tapeli, mpenda makuu, msaliti, hana adabu, hongera chama languWakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Kajifungue hiyo mimbaMimba kivip? Mimi wa kiume kama ulikuwa hujui, au hujui hata unachoandika. Mungu fundi sana. Sukuma gang hamtokuja kuongoza tena nchii hii
Huijui CCM. Weka akiba ya maneno.Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Ha ha wewe ccm huijui,january makamba ashaandalia nafasi kubwa sana kwenye chama,yeye ndio anachukua nafasi ya nchimbi,sio kwamba ametupwa ike imefanywa makusudiWakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
😂😂😂😂😂😂😂Kajifungue hiyo mimba
Kama ipo ipo tu, muda bado upoUpande wa Pili kule mama na mwana wanapita majimboni bila Kupigwa, Makamba amezidiwa kete
Nsio tumezika ndoto za Urais