Chadema ya Mzee Freeman Ekael Mbowe unaweza kusema ndio imekuwa Chadema bora ya wakati wote katika Uhai wa Chadema kwa maana ya mafanikio na ukuaji wa Chama cha Siasa hata kama hakikuweza kushika Dola katika nyakati zake!
Kura milioni 6+ za Urais mwaka 2015 mbele ya mgombea wa CCM John Pombe Magufuli aliyekuwa na kura milioni 8+!Unataka nini?
Mwaka 2010 chini ya Katibu Mkuu Mzee Dr Slaa na Mwenyekiti Mzee Freeman Mbowe Chadema ilikuwa na Wabunge, Madiwani kiasi kwamba waliweza kuongoza baadhi ya Halsmashauri NCHINI!Unataka nini?
Ni Chadema hii hii iliweza "kumsulubisha" marehemu Mh Jaji Warema,Waziri Profesa Muhongo na hata "Uwaziri Mkuu" wa Mzee hayati Edward Lowassa ukapotea!Unataka nini?
Chadema ile ingekuja na wimbo huu wa NO REFORMS NO ELECTION ingeweza "kutoboa" kwani ilikuwa na "uwanja" mzuri wa KUSUKUMA mambo yake kwa maana ya Bunge na Mabaraza ya Madiwani katika maeneo fulani fulani ya Nchi!Unataka nini?
NINI NATAKA KUSEMA HAPA?
Mwezi January mwaka 2025 iliingia Chadema ya "wajuaji" Chini ya Ndugu Tundu Lissu na John Heche lakini wasiojua "lolote" wala "chochote" kuhusu jinsi ya kucheza na Siasa kulingana na nyakati(Timing Politics).
Chadema ya Mzee Freeman Mbowe ilikuwa angalau inajua kufanya "tactical positioning" na kufanya "appreciation of the political situation" ya Nchi na kujua jinsi ya kwenda nayo!
Maridhiano this time yangeifanya Chadema kurudi kwenye Enzi zake hasa kuingia Bungeni jijini Dodoma kwanza!Maridhiano haya haya yakammpa Mzee Freeman Mbowe Ruzuku kwanza ya Chama(Noti)Maridhiano haya haya yakampa mzee Mbowe tena "uwanja" wa kufanyia Siasa ambao haukuwepo kwa miaka mitano hivi nyuma!
Maridhiano yakamfutia kesi zote za Viongozi wa juu wa Chama!Unataka nini wakati hapo mwanzo ulikuwa hata haupumuhi?,
NO REFORMS NO ELECTION YA MWENYEKITI TUNDU LISSU INAIRUDISHA "KABURINI" CHADEMA.
"Ubogus" wa Chadema hii upo hapa๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
I.Hakuna mabadiliko hakuna Uchaguzi!No Reforms No Election!๐๐ฟ๐๐ฟ
MSIMAMO UKAWA hakuna Uchaguzi kwa upande wao!Juzi wakaitwa na watu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 wakagomesha!
II.Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kahilima "akawakazia"kwamba kwa mujibu wa Sheria "Majamaa" hawawezi kushiriki Uchaguzi tena mpaka mwaka 2030!
III.Next Morning Majamaa yakastuka ๐คฃ๐คฃ na kuanza kupiga kelele kana kwamba wanautaka Uchaguzi ambao wamesema wenyewe kwenye Mikutano yao Nchi nzima kwamba "haupo-No Election"๐คช๐คช
IV.Leo kaibuka Wakili mmoja "kilaza" kweli kweli(Ntala)ambaye ndio Mwanasheria Mkuu wa Chama,anasema eti inakuwaje kanuni ambazo hazijaanza kutumika ziwe na nguvu kisheria?๐คท๐ปโโ๏ธ๐คท๐ปโโ๏ธ๐คท๐ปโโ๏ธhuyu Wakili wa wapi?
Labda Nimpe Shule kidogo Wakili Ntala๐๐ฟ๐๐ฟIPO HIVI ๐๐ฟ๐๐ฟ
Inawezekana kabla ya kusainiwa kanuni zile zilikuwa "toothless" labda,lakini kitendo cha Vyama vya Siasa 18 kuzisaini kanuni zile za Maadili,uhalali wa kanuni zile(binding)ndio ukaanzia hapo!Sijui Wakili ananielewa!
Ndio maana Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kahilima hakutangaza kufuta Ushiriki wa Chadema kwenye Uchaguzi Mkuu kabla ya kanuni zile za Maadili ya Uchaguzi hazijasainiwa!
Uhalali wa kanuni zile(Binding Docs) ulianza soon after ACT -Wazalendo,CCM,UDP, NCCR-MAGEUZI na Vyama vingine "vilipoanguka Saini"๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Eti Wakili Ntala leo anamtisha "Poti" Jaji Gwiji Mwambegele na Mkurugenzi Kahilima kwamba "Waombe"radhi Chadema!Aseee!Aseee!
Mzee Freeman Ekael Mbowe huko aliko ATAKUWA anacheka sana!Mwanaharakati yule kwa sasa yupo "sehemu" salama zaidi ya home kwake!
NILISEMA kuwa Chadema kabla ya January 2026 itakuwa imekufa!Nipo pale ๐๐ฟ๐๐ฟ