Alisema kwamba Watanzania wote sasa wanalamba asali. Na sijui anajisikiaje akiona watoto wa wenzake wanalamba asali wakati wa kwake katupwa nje. Wazuri kweli hawafi. Zee la hovyo sana na siku yeye na mshika rimoti wakifa watu watakesha baa.
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar
Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga
2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu
2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro
Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar
3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar
4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar