Mzee Makamba Pole sana

Mzee Makamba Pole sana

Alisema kwamba Watanzania wote sasa wanalamba asali. Na sijui anajisikiaje akiona watoto wa wenzake wanalamba asali wakati wa kwake katupwa nje. Wazuri kweli hawafi. Zee la hovyo sana na siku yeye na mshika rimoti wakifa watu watakesha baa.
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN

1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar

Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE

1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga

2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze

Wote wamepita bila kupingwa maana hawana mpinzani! 😳😳😳🚮

Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda

1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu

2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro

Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini

Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )

1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar

2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar

3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar

4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
 
Wakuu,

Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe

Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri

Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Hakuna masika za kudumu
 
Comments zinazomhusu jiwe huwa zinakutekenya sana mjane
1. Vyeti feki/lifanyakazi hewa

2. Fisadi

3. Liuza unga

4. Ponjoro uchwara/lihujumu uchumi

5. Likiongozi lizembe

Hawa wakisikia tu Jiwe presha inapanda. Mwamba bado anaendesha maisha yao japo kalala zake huko baada ya kumaliza kilichomleta hapa duniani na kutuonyesha kwamba kumbe tukiwa siriazi tunaweza. Umasikini wetu huu ni wa kujitakia tu!

Na nikionaga majitu manafiki na mabinafsi kama haya huwa nasikitika sana.
 
Comments zinazomhusu jiwe huwa zinakutekenya sana mjane
Hizo comments zisikuumize wewe uliyefiwa zije kuniumiza mimi. Mimi kwangu ni furaha tele. Mungu alinishindia na kuwashindia Watanzania wote. Naamini kuna sehemu tulimkosea Mungu so akatupa huyo jiwe kama adhabu. Tulipotubu akatusamehe na kumuondosha.
 
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Hivi shosti yake wa msoga kashindwa kumpigia debe?
 
1. Vyeti feki/lifanyakazi hewa

2. Fisadi

3. Liuza unga

4. Ponjoro uchwara/lihujumu uchumi

5. Likiongozi lizembe

Hawa wakisikia tu Jiwe presha inapanda. Mwamba bado anaendesha maisha yao japo kalala zake huko baada ya kumaliza kilichomleta hapa duniani na kutuonyesha kwamba kumbe tukiwa siriazi tunaweza. Umasikini wetu huu ni wa kujitakia tu!
Watu kama nyie ndiyo jiwe aliwatumia kama mtaji wake. Eti unaitwa mnyonge na wewe unafurahi na kubinuka. Jiulize baada ya kukuita mnyonge umepata faida ipi na je huo unyonge wako umeisha au bado upo?
 
Mjane punguza kunikurupukia kwa mapovu. Unanifata fata sana kila nikikoment kuhusu JPM,hio mimba kaitoe tu ishaharibika tangu march ile hadi leo haujajifungua tu pole sana
Hizo comments zisikuumize wewe uliyefiwa zije kuniumiza mimi. Mimi kwangu ni furaha tele. Mungu alinishindia na kuwashindia Watanzania wote. Naamini kuna sehemu tulimkosea Mungu so akatupa huyo jiwe kama adhabu. Tulipotubu akatusamehe na kumuondosha.
 
Naunga mkono hoja Mkuu. Hasa huyo jamaa kila kona yupo kila comments za JPM yeye analia lia tu
1. Vyeti feki/lifanyakazi hewa

2. Fisadi

3. Liuza unga

4. Ponjoro uchwara/lihujumu uchumi

5. Likiongozi lizembe

Hawa wakisikia tu Jiwe presha inapanda. Mwamba bado anaendesha maisha yao japo kalala zake huko baada ya kumaliza kilichomleta hapa duniani na kutuonyesha kwamba kumbe tukiwa siriazi tunaweza. Umasikini wetu huu ni wa kujitakia tu!

Na nikionaga majitu manafiki na mabinafsi kama haya huwa nasikitika sana. Tunastahili hata tunayopitia kwa sasa. Acha kila kitu cha Tanganyika kiuzwe mpaka akili zitukae sawa. Hopulesi kabisa!
 
Mjane punguza kunikurupukia kwa mapovu. Unanifata fata sana kila nikikoment kuhusu JPM,hio mimba kaitoe tu ishaharibika tangu march ile hadi leo haujajifungua tu pole sana
In maana huna hoja nyingine zaidi ya mimba? Mungu aliwapiga na kitu kizito sana nyie Sukuma gang. Moaka leo bado mko na maumivu. Poleni na msonge mbele. Ile ilikuwa laana kwa Taifa
 
Naunga mkono hoja Mkuu. Hasa huyo jamaa kila kona yupo kila comments za JPM yeye analia lia tu
😂😂😂😂😂😂
Hii ajabu sana. Mfiwe nyie alafu nilie mimi 🤣🤣🤣🤣
 
Watu kama nyie ndiyo jiwe aliwatumia kama mtaji wake. Eti unaitwa mnyonge na wewe unafurahi na kubinuka. Jiulize baada ya kukuita mnyonge umepata faida ipi na je huo unyonge wako umeisha au bado upo?
Acha shobo. Sijakukwoti wewe wala sina muda wa kujibishana
 
Mjane punguza kunikurupukia kwa mapovu. Unanifata fata sana kila nikikoment kuhusu JPM,hio mimba kaitoe tu ishaharibika tangu march ile hadi leo haujajifungua tu pole sana
Fisadi vyeti feki liuza unga lizembe...
 
Back
Top Bottom