My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

Du! kumbe Star TV huwa wanaamrishwa cha kusema na chakutokusema? kwa hiyo issue ya Zitto na Mwigulu ilipangwa kwa makusudi na walihisi utavuruga mpango wao?
Asante sana Mkuu kwa kututonya issue zilivokuwa BEHIND THE SCENE. Akina Kitila na Zitto hawakutetea demokrasia siku hiyo au wao wanataka demokrasia ya kumuita mbowe hajasoma kama wao?

Aiseeh mkuu uki-connect dots unapata kitu hapa, hakika CDM wapo sahihi kwa maamuz yao
 
Sio wote tunaomkubali EL ni timu yake!. Mimi ni mmoja wao, siko timu yake, sijawahi kufika Monduli, sijawahi kuhudhuria press conference yake yotote, sijawahi kupokea senti tano yake!.
Lakini namkubali na kumtetea!.
Pasco

- ha! ha! ha! ha! ha! hillarious!!

Le Mutuz
 
The fact kwamba kuna watu wananinyooshea vidole wakikuambia mchambuzi yule pale maana yake ni kwamba wananijua hivyo wana fursa ya kunisalimia lakini pia kuniumiza wakiamua hivyo ingawa humu natumia "mchambuzi";

The fact kwamba nimeweka picha yangu halisi hivyo kujulikana kwa wengi kwamba mimi ni nani inatosha kunipa real identity;isitoshe kama utambulisho duniani ungekuwa ni majina tu ya abdalah, selemani, paulo au rose, basi ingekuwa vigumu sana kutofautisha watu kwa majina, hakuna utambulisho wa maana zaidi ya sura au DNA ya mtu;

The fact kwamba mwana ccm anayeendesha twitter ya ccm huwa ananijadili mimi ni nani kwa ufasaha huku akiumizwa na hoja zangu maana yake kujiita mchambuzi hakujazuia watu kujua my actual identity hata kama natumia "mchambuzi";

The fact kwamba baadhi ya makada wa CCM Lumumba from time to time huwa wananipigia simu kunipa hongera kwa makala nzuri huku pia wakiomba niwasaidie kuweka papers hizi na zile vizuri for presentation maana yake ni kwamba najulikana ni nani hata kama natumia "mchambuzi";

The fact kwamba jumuiya ya wachumi nchini walitafuta namba yangu na kunipigia kuniomba niwasaidie na draft yao iliyochambua uchumi wa taifa kuelekea bajeti ya 2013-14 na pia kunialika blue pearl ubungo kuwa mmoja wa keynote speakers maana yake ni kwamba najulikana ni nani hata kama humu natumia "mchambuzi";

The fact kwamba gazeti la citizen linanitafutaga kwa simu kuomba wachukua some of my material kwa ajili ya makala zao maana yake ni kwamba najulikana ni nani hata kama humu natumia "mchambuzi";

The fact kwamba StarTv walitafuta simu yangu na kunialika kwenye kipindi chao cha asubuhi nikajumuike na zitto, mwigulu, mtatiro na dr mkumbo katika kipindi kile cha star tv cha asubuhi maana yake ni kwamba tayari najulikana ni nani;nilikuwa chumba kimoja siku ile na wahusika hapo juu kasoro kitila ambae alikuwa mapokezi, siku ambayo mwigulu alitoa habari kwamba ana mkanda unaoonyesha mipango ya utekaji etc chadema; katika kipindi kile niliitwa pembeni na mtu mmoja wa star tv na kuambia imetolewa amri kwamba mchambuzi asizungumze;

Last but not least nikiri kwamba mwanzoni: nilianza kwa kuficha sura huku jina nikiweka as mchambuzi lakini baadae nikaona ni unafiki usio na kifani;katika hilo naomba nikupongeze pia wewe kwa kujianika wazi;that said and done - niliwahi jadiliana na Invisible juu ya uwezekano wa kubadili jina na kuweka jina langu halisi lakini baada ya kushauriana na watu kadhaa nikaona nitapoteza rekodi zangu zote humu kwa kuja na ID mpya, kwahiyo nipo tayari kujibu maswali juu ya jina langu nani ikibidi lakini kubadili jina ni suala ambalo sitafanya kwa hoja hii;

Mwisho - nashukuru kwamba you never bother to talk to me ukiniona in public kwani sidhani kama you will have substance zaidi ya nonsense katika kujadili mustakabali wa taifa, hasa juu ya hatima ya watanzania walio wengi miaka 50 ya uhuru;

Usikatae kwamba wewe sio field marshall es, sio mara moja au mbili huwa unajisahau na kuandika "le mutuz" baada ya kutoa hoja as field marshall es then quickly go back to edit kufuta neno "le mutuz"; habari zisizo njema pengine kwako ni kwamba at least once nili save post yako kabla ya ku edit na zipo kwenye my desktop;




Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

- ha! ha! kaka mada ni Lowassa mbona umeigeuza kuwa wewe tena, kama kweli mwanaume kama mimi tumia jina lako la kweli kaka otherwise endelea kujificha na maneno mengi hewa, lets say uliitwa kweli hizo sehemu ulizosema ni ipi kaka unaijua sijawahi kuitwa mkuu? Ni TV gani au Radio gani sijawahi kuitwa mkuu, iso hoja hoja yangu ya msingi ni kwamba Lowassa wasemaji wake hawana credibility,

- Na wewe pia kwa kutumia jina la bandia huna credibility ya anything na waliokuita watakuwa ni wajinga kama wewe maana unaitaje mtu anayetumia jina la bandia? ha! ha! ha! hapa jina langu ni William J Malecela picha ile pale na wala sina wasi wasi wowowte kwa sababu I am clean kaka sitishiki na wewe wala hilo kundi lako la Lowassa,

- Naomba kukumbusha tena kwamba hoja yangu hapa ya msingi ni Kwamba Lowassa so far waliojitokeza kumsemea hawana credibility na wewe kwa kutumia jina la bandia na picha ya bandia ndio kabisa huna afadhali hata Guninita anayejulikana ni nani, so back off kaka kama unataka ligi na mimi jitoe kama ulivyo kama unaweza kweli otherwise tuliza boli kaka, ha1 ha1

- Halafu ngoja nikupe siri kaka mpaka Usalama wa Taifa wanamjua FMES ni nani so wacha kusmbuka bure unapoteza muda wako bure mada hapa ni Wasemaji wa Lowassa hawana credibility kama wewe unayetumia jina la bandia huna any credibility kaka!! tuliza boli tu hapa kwangu ngoma ni nzito huwezi mkuu sana endelea kuhangaika ila mimi hunitishi na aanything.

Le big show
 
Mchumia tumbo kama kawaida yako, umepigwa mkwara na Le Mutuz tayari umeanza kujipendekeza kwake,

Unaanza kumshambulia Mchambuzi ili Willy akusamehe? Kasema hakutaki tena,

Mwanaume mzima huna msimamo? Shame on you!

- Kaka afadhali msaidie huyo mimi huwa sihitaji kuonewa huruma na yoyote yule I stand on my own ninasema tena na tena kwamba wasemaji wa Lowassa so far hawana credibility ni bora akawabadili now na mimi ni mpiga kura ya Rais ninamuangalia sana na sitishiki na lolote!!

Le Mutuz
 
Mkuu Le Mutuz, you made what you call your "analysis" of "The ndoto Ya Lowassa"' lakini naona utakuwa umesahau kutujuza "its syndrome!!". Sijui ulikuwa unamaanisha nini na hilo la pili?

- Ok mambo yote ni Jumapili kaka nilikuwa nakutayarisha kwa mchezo mzima Jumapili kaka, usikose kununua gazeti la Jumapili kaka kitakuwa kaiama kule! ha! ha!

Le Mutuz
 
Nimecheka sana baada ya kusoma hii so called "Political Analysis"
Le Mutuz, hivi vyuo vya Mamtoni particularly in New York ndiyo wanafundisha ku-analyze issue(s) kama ulivyoteleza hapa!!?? Mie sina hata hako kabachala lakini sioni analysis yoyote hapo. Labda nikikapata hako kabachala ndipo nitaweza hata ku-analyze analysis. Ngoja nitafute ka-skolashipu ka New York.

- Kaka kama huna shule kama ulivyosema sio rahisi utaishia kusahngilia CCM maana Chadema huu mchezo hamuuwezi so kaa pembeni subiri Jumapili kaka kimbunga kinakija live!!

Le Mutuz
 
ImageUploadedByJamiiForums1391716371.896942.jpg
Somewhere in New York.. Mid 90s
 
Umeshakunywa viroba vyako salsa hv unaropoka....foolish Dereva malori

- Hapana kaka nilienda kuapta dinner na wazungu wawekezaji wapo toka USA ninafanya nao kazi za kutafuta uwekezaji sekta ya viwanda so sijawahi kunywa viroba toka nizaliwwe wala pombe au sigara, kaka nipo clean clean! ha1 ha!

- Kaka ogopa malori kama sio malori nisingesoma mkuu wangu unajua elimu ilivyo expensive kule USA, namjua waziri mmoja alikuwa ansambaza piza mitaani sasa ni waziri so tuliza boli kaka, ha1 ha!

Le Big Show
 
- Kaka kama huna shule kama ulivyosema sio rahisi utaishia kusahngilia CCM maana Chadema huu mchezo hamuuwezi so kaa pembeni subiri Jumapili kaka kimbunga kinakija live!!

Le Mutuz

Heri yenu mliyo na elimu na kuonyesha uwezo wa ku-analyze issues like the way you did. Niko mbioni kuipata but trust me nitaweza ku-scrutinize and evaluate issues way better than you did.
 
- Kaka hao hawagombea Urais mwenye tatizo ni anayegombea Urais, sasa kweli utapata Urais kwa kuongelewa na watu kama Guninita?

Le Mutuz
Mkuu Le Mutuz unataka kutuambia kuwa kama hata wewe ukiamua kugombea uraisi na ukaongelewa na JK,Dr Salim A.S. Mzee Butiku, Jaji Warioba, Mzee C.D. Msuya,baba yako Mzee J.S Malecela na wengineo,kweli utaupata huo uraisi kwa kuongelewa na hao tu?
 
- Kaka kasome kichwa cha mada kwanza, jina langu humu unalijua ni William j. Malecela anyejamba jamba unamjua kaka ni wewe jaribu kuweka jina lako la kweli hapa kama mimi uone, kuna mbunge mmoja wa Chadema mwanamke anakujua sana huwa nakuangalia tu unavyojifanya unajua sana na huku uliwahi kuuza kata ya Chadema kwa Mahanga au sio wewe kaka? ha! ha! ha!

- Kuna Mbunge mmoja wa kike wa Chadema siku moja alinionyesha wewe ninakupotezea kaka au nasema uongo? ha1 ha!

Le Mutuz

Kula like mkuu...kwanza uyo mnafiki hapo alipo ana kadi za vyama vyote.
 
Heri yenu mliyo na elimu na kuonyesha uwezo wa ku-analyze issues like the way you did. Niko mbioni kuipata but trust me nitaweza ku-scrutinize and evaluate issues way better than you did.

- Kaka the ishu ipo wazo na very clear ninasema hivi wasemaji wa Lowassa hawana credibility so is you huna credibility maana unatumia jina la bandia, kaka which part of my analysis huelewi? ha1 ha
! ha!

Le Big Show
 
Wewe unataraji U-RWEYEMAMU uwe unamsomea RAIS E-MAIL IKULU ila LOWASSA HAWEZI KUWA RAIS nchi hii.Bora ukimbilie kambi ya USINGIZI WASSIRA..ETI hujawahi pokea bahasha ya kaki toka kwake! Wakti wewe,na LIONGO ndo PR wa mamvi.
Dalai, Abou tulikuwa nae chuo, tukilala room moja enzi za ujana, tena hatukuhitaji kupigana PI, whoever atakae import it had to be pair !, tukaanza nae kazi, tukaishi nyumba moja enzi za ujana, tukatengana tulipooa!, hivyo wengi wanatuchanganya!. Mimi I'm on my own 12 years now!, situmwi na mtu, simtumikii mtu, situmikishiki, siajiriki wala sihitaji favour ya mtu yoyote!.

Nilipoanza kumpigania Lowassa, nilimdhamiria atumike kama "pace maker" hadi nilipojua kumbe zigo la Richmond sii lake, lina mwenyewe, nikaamua kusimama nae ila sio PR wake!.
Pasco
 
Le mutuz a k a field marshal es anajuuuta kumfahamu mchambuzi, Kama vipi u know mambelez mtasubiri sana mganga wenu kasafiri mjipange upya ha1 ha1
 
Mkuu Le Mutuz unataka kutuambia kuwa kama hata wewe ukiamua kugombea uraisi na ukaongelewa na JK,Dr Salim A.S. Mzee Butiku, Jaji Warioba, Mzee C.D. Msuya,baba yako Mzee J.S Malecela na wengineo,kweli utaupata huo uraisi kwa kuongelewa na hao tu?

- Kaka tizama Rais wa sasa alikuwa anaongelewa na watu kama Kawawa, Kisumo, Kingunge je utawalinganisha hawa na Mwenyekiti wa CCJ? Guninita? ha! ha! jamani msaline mtume kaka watu wenye akili wanawaangalia marafiki zako kwanza, sasa wewe kweli Urais wa Tanzania unaweza kwenda kuongelewa na Mgeja au Msindai? Kaka you cant be serious!!

Le Mutuz
 
- Kaka unasema kusema kwamba wasemaji wa Lowassa waliojitokeza hawana credibility unasema ni makosa?

Le Mutuz

kwa ufafanuzi tu, hoja yangu ilikuwa tusiishie kusema ya Mhe. Lowasa na watu wake, bali tuwachambue watu wote ambao wametangaza nia ya kuwania urais kupitia vyama vyao. Ukiishia kumjadili Mhe. Lowasa wengine wanaweza kutafsiri kuwa una chuki binafsi na Mhe. huyu ilihali inaweza kuwa tofauti kabisa. Hivyo tuanzie chama tawala kisha tumalizie vyama vya upinzani. kwa mfano mm nackia ccm waliotangaza nia kwa vitendo sio kwa kutoa matamako katika vyombo vya habari na ninaosikia wakitajwa sana na wengine wanapita katika nyumba za ibada kutafuta kuungwa mkono ni hawa-
1. Mhe. Membe
2. Mhe. Dk. Asha migiro
3. Mhe. E Nchimbi
4.Mhe. Dk Mwakyembe
5. Mhe. Mwandosya, naona bado iko nia fulani
6. Mhe. Ngeleja
7. Mhe. S. Sitta
8. Mhe. Sumaye- huyu ana nia na kuna matamko ambayo naona yanaashiria mwisho wake anataka nini
9. Mhe. Magufuli ingawa hajatamka bayana lakini tunasikia anatajwa
10. Mhe. Lowasa, naye matamshi yake wengi wametafsiri ana nia ya dhati kugombea urais
11. ongeza...................

Kwa kuwa mwenzangu uko chunguni hebu tupe uchambuzi mujarabu kisha nasi tuchangie na kupiga kura hapa jamii forum

natumaini utakuwa umenielewa
 
Le mutuz a k a field marshal es anajuuuta kumfahamu mchambuzi, Kama vipi u know mambelez mtasubiri sana mganga wenu kasafiri mjipange upya ha1 ha1

- Kaka unajua hapa nimekuwepo kwa miaka mingi sana nimewaona majabli hapa lakini hakuna aliyenitisha kaka ninaweza kutishika kidogo sana na mtu anayetumia ID ya kweli, lakini wengine wote hamna lolote kelele za mlango kama Mchambuzi ni mwanaume wa kweli si ajitokeze jina lake kamili hapa tuone kama na ubavu huo kama wangu, nakwambia hivi FMES mpaka Mkuu wa Usalama wa Taifa anamjua nyie mnahangaika hapa kurusha majina ya bandia unafikir mimi ni kama wewe kunguru kunguru,

- Jina langu hapa ninaitwa:- William J. Malecela aka Le Mutuz Le big Show La baharia ha! ha! ukinitaka zaidi njoo kule Super Blog!! kwa le wakareeeezzz!! ha! ha!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom