My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

mkuu umeingia chaka sana, halafu mjumbe kama wewe a public criticism na kuonyesha interest mapema kunatuonyesha kua hufai hata huo ujumbe...

- ha! ha! ha! yupi anyefaaa kaka yule anayepokea hela za Rostam na Mkono kaka? ha! ha!

Le Mutuz
 
Sidhani kama una umuhimu sana katika kuamua nani agombee upande wa CCM! Hiki ni kilio cha jinsi jamaa alivyomliza baba yako ndo maana una kinyongo naye. Lakini ukweli utabaki wazi kuwa kwenye chama lenu hamna mgombea anayeuza single kama EL hata wewe ni shahidi katika hili. Hebu msikilize Nepi kama anaendelea kupiga kelele tena? Mzee Mangu.la yuko wapi mpaka sasa hivi? KIMYAAAAAAAAAAAAAAA!!!

Hivyo na nyie hapo nyumbani kwenu kaeni kimya mkiomboleza na mzee wenu!! Hivi mtaficha wapi mikia yenu siku EL akienda Ikulu au akipitishwa tu na chama chenu? Hivi hamtalazimika kumpigia kampeni kweli ninyi? Nawahurumieni sana kuanzia kwa mzee wenu mpaka kwa Nepi!!!!

- Ningekuwa sina umuhimu usingekuja kuporomosha pumba zako kaka, nenda shule kidogo uelimike maana elimu ndio tatizo lako tizama juu yako wenye elimu kaka, ungekuwa na elimu usingechanganya pumba na mchele maana uliyoyaandika hayana anything to do na mada hii!!

Le Mutuz
 
- ha! ha! ha! yupi anyefaaa kaka yule anayepokea hela za Rostam na Mkono kaka? ha! ha!

Le Mutuz
wewe kazi yako ni kupiga kura na si kupost humu, jaribu kutenganisha interest binafsi na wajibu wako, kama huwezi basi jiuzulu nafasi yako kwa maslahi ya chama, well tusiendeleze mjadala usiokua na manufaa, kwa kua i know where you stand and i can not change that zaidi sana kushauri tu kuwa no one i mean no one can stand and claim being a SAINT, nyakati za manabii na mitume zimepita, hatuhitaji kiongozi nabii wala mtume, we are all humans and we can never live by our past forever..
 
- Ningekuwa sina umuhimu usingekuja kuporomosha pumba zako kaka, nenda shule kidogo uelimike maana elimu ndio tatizo lako tizama juu yako wenye elimu kaka, ungekuwa na elimu usingechanganya pumba na mchele maana uliyoyaandika hayana anything to do na mada hii!!

Le Mutuz

Mtasubiri sanaaaaaaaa!!

Mjumbe wa mkutano mkuu unaonesha waziwazi kabla hata kura hazijapigwa? Ndivyo chama chenu kinafanya hivyo? Wewe na timu yako tayari mmeshashindwa!! Sasa hivi kila mkisikia jina la EL familia nzima inatetemeka, mtahara mwaka huu!!
 
Mbona sioni analysis yoyote uliyofanya kwenye hiyo post yako?

Ningependa kuongeza mambo mawili:

Moja, mtoa mada ameshindwa tofautisha baina ya analysis and description; basically, anatuelezea the "WHAT" akidhania anatuelezea the "WHY"; we are more interested with the later (WHY) of which he unfortunately lacks substance;

Pili, mtoa mada anajadili uwezo wa kiuongozi kwa wahusika kwa kutumia kigezo cha kushindwa chaguzi wakati yeye mwenyewe ameshindwa chaguzi nyingi tu ndani ya chama lakini for some reasons, kushindwa kwake aliona ni kukomaa kisiasa, lakini kwa wenzake, it was a political failure; kwa maana hii, moja kwa moja he lacks the moral authority kujadili wahusika kwa suala husika kwa kigezo cha kushindwa katika chaguzi;

Mwisho, his so called analysis is full of "value judgment" i.e subjective evaluation of the phenomenon/personal opinion of how "good" one side is and how "bad" the other side is; kwa njia hii, sio rahisi kufanikisha the objective objectively;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
- Lowassa atapewa Urais na Msindai? Guninita? Mgeja? kweli kaka unaaamini hawa watampa Urais mgombea wako?

Le Mutuz
W. J. Malecela hebu nikuulize.. Kama Lowassa ndo anasemwa alikuwa a "kingmaker" 2005 na alitengeneza mtandao uliomwingiza madarakani JK.. Ni nani ambae ataweza kumzuia Lowassa huyo huyo kupata nafasi ya kuchaguliwa na kuwa mgombea uraisi kupitia chama chenu..? Naona unawataja watu wachache lakini kule Arumeru tuliambiwa kulikuwa na karibia viongozi 4000 wa chama chenu toka katika kila kona ya Tanzania.. Na hata wale ambao mwanzo walikuwa against Lowassa now wamegeuka na kuingia kwenye kambi yake.. Hudhani JK atalazimika kufanya kile alichofanya mtangulizi wake Mkapa pale alipozidiwa na mitandano na kumuachia JK apite bila ya kujadiliwa madudu yake ambayo yamefanana na haya ya Lowassa..?
 
Last edited by a moderator:
wewe kazi yako ni kupiga kura na si kupost humu, jaribu kutenganisha interest binafsi na wajibu wako, kama huwezi basi jiuzulu nafasi yako kwa maslahi ya chama, well tusiendeleze mjadala usiokua na manufaa, kwa kua i know where you stand and i can not change that zaidi sana kushauri tu kuwa no one i mean no one can stand and claim being a SAINT, nyakati za manabii na mitume zimepita, hatuhitaji kiongozi nabii wala mtume, we are all humans and we can never live by our past forever..

- Hapana kazi yangu ni kusema maoni yangu on anything ninakiona nimesema hivi wasemaji wa Lowassa hawana credibility kisiasa za Taifa hili, eti wewe msimamo wako ni nini on that?

Le Mutuz
 
- Duh! Pasco kabla sijakujibu naomba unihakikishie kwamba aliyeandika ni wewe cause bado siamini kwamba unaweza kwenda this low kaka kwa mtu tunayeheshimiana kama wewe, anyways huwa nina utu all the times so sitakujibu ila nimeshitushwa kwa mtu kama tunayekutana all the times unaweza kwenda this low kisa nini siasa tu kaka? Kama ni wewe basi nilikuwa sikufahamu vizuri now I do!!

- Pasco si unajua kwamba ninaweza kukujibu tena vizuri sana na kwa lugha unayoonakena kuielewa sana and then tukikutana tena kesho what? Duh yaani sikujua kwamba upo Lowassa this close maana hata Freddy mwenyewe mtoto wake rafiki yangu sijawahi kumuona akienda this low, duh!
Le Mutuz
Mkuu Le Mutus, we know one another and we are friends, and always friends kwenye social, ila kwenye siasa tuko tofauti sana!. Wewe ni kada, mimi sina chama, kitendo cha kuutumia huo ukada wake kutaka kutishia nyau, ndicho ninachopingana nacho!.

Mbona nimekujibu kwa heshima sana tuu,
Si nimeanza hivi
Mkuu Le Mutus, with due respect!,
, hii ni heshima kwako!,

Lowassa, haihitaji kabisa kura yako!,
, huu ni ukweli!.
Pia si nimekusifu kwa kuwa mkweli
nashukuru at least this time umekuwa mkweli kuwa "humchukii!",
Tena nakupa ushauri wa bure, ukiwa mwana CCM, usijifanye kuwa mkweli saana kivile!. CCM haiwapendi wakweli wa type yako!.
Au huu ni uongo?.

Hapa nimekuuliza
Kama kuanzia Mwenyekiti wako, JK, Katibu wako Mkuu, Kinana, mabosi wenu wa jumuiya za Chama, Wazazi, Wanawake na Vijana, wenyeviti wa CCM karibu wote ni watu wa Lowassa, who are you, hata usipomuunga mkono?!,
hili ni swali tuu, kweli kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa is a very big post!, hivyo kura yako might be decisive determinant?!.

Nakushauri just keep on the good job you do kwenye blog yako, I think as of now, that is the best you can do, and make a lot money!, please make them more and more, ilihata 2015 ukiamua kujaribu tena, angalau utakuwa nazo za kutosha kuchagulika
Hapa pia nimetoa ushauri wa ukweli kuwa CCM ya sara, imehodhiwa na wenye nazo, ili uchagulike ni lazima use nazo!, JK alizitumia zile za EPA saw hizi ndio hugo anamalizia nngwe take!. EL anazo na ndizo hizo anazigawa!, kwa vile you have a political ambition na uligombea ukashindwa kwa vile ulizokuwa nazo, hazikutosha!, sasa you are making them big, then ni ushauri mzuri kuwa 2015 is another chance this ti me ukiwa nazo, its not to try but to play!.

hilo la kumuunga mkono sio issue sana kwa sababu ndani ya CCM, kwa sababu, kwa maoni yako, nadhani ndani ya CCM, wewe utakuwa huna impact yoyote ya maana kufikia kiwango cha kuitishia kasi yake au hata kuipunguza kasi!, kama aliyewahi kuwa Makamo Mwenyekiti amelonga na kapuuzwa, itakuwa wewe?!, nakushauri endelea tuu ku symphasize na Mzee wako ili angalau mmalize salama!.
Labda hapa kukuambia huna impact yoyote, nitakuwa ndio nimekwenda too low, please don't make your impact felt ukatukoseshea chaguo letu!,
Mengine yote ni normal jf politics.

No harm, keep friendship!

Pasco
 
Nimeikubali thread yako mkuu imefikia wakati watz tutumie vyema akili zetu lowassa huyuhuyu si ndo tumemtuhumu kwa Richmond na wengine tulidiriki kusema anyongwe ubora wa lowassa leo hii umetoka wapi tuache unafiki
 
- baada tu ya mh. Lowassa kutangaza ndoto yake kwenye sherehe za mwaka mpya huko jimboni kwake, kukaaanza malumbano yakiongozwa na watu wake wa karibu sana wa kwanza alikuwa msindai, mgeja, guninita, sheikh mkuu wa mkoa wa dar na mwenyekiti wa ccj chama kilichokufa kabla hakijaanza na mwenyekiti wa ccm mkoa wa arusha. Hawa ndio kweli mh. Lowassa anayetaka urais wa jamhuri hii ndio aliowaona credible leaders wa kumzungumzia kwa huu umma na kama sikosei kwa maneno mengine anatuambia kwamba akishika urais wa jamhuri hii hawa ndio tuwategemee kama viongozi wakuu wa taifa.

- msindai aligombea ubunge akashindwa, mgeja chini ya uongozi wake mkoa wa shinyanga ccm imepoteza viti vingi vya ubunge kuliko mikoa yote huku bara, guninita amegombea uenyekiti wa mkoa wa dar akashindwa na chini ya uongozi wake majimbo mawili muhimu sana yameenda upinzani, lakini kweli lowassa anaamini kwamba hawa wanaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana kama alivyosema mwenyewe.

- well, simchukii wala simuungi mkono na mbio zake, lakini kwa hayo machache niliyokwisha yaona na kuyasikia maana yake ni moja kwamba sitapata shida ya kuamua kwenye mkutano mkuu wa ccm taifa wa kuamua mgombea ambao mimi ni mjumbe kama nimpe kura yangu au hapana, iwapo jina lake litkuwepo!!

- makala yangu nzima ya hii habari itakuwa kwenye gazeti la jambo leo jumapili.

Le mutuz

kaka unapigana vita kubwa ilizidi bunduki zote ulizonazo,kama cc itafanya maamuzi ya kupitisha jina la lowasa na ukatakiwa kutokupiga kura bado utakuwa umejitendea haki kwani si lazima kumpigia kura kumgombea,unaweza hata iharibu pia ni haki yako.
Wachina wanasema,kama wewe unaona haiwezekani basi waache wanoweza kufanya iwezekane
 
PAsco leo nimekusoma kuwa uko kwenye mfuko wa mgawa pesa kwenye misikiti na makanisa kisa Urais!! Huyu lowasa wako ni mtoa mlungula maarufu!
 
Wewe Pasco unayemwambia mwingine aachane na Lowassa unamaanisha? Wewe ni nani umzuie mtu aliye na haki ya kutoa maoni juu ya watu wanaotafuta uongozi wa nchi? Wewe ni nani unayesimama kumsemea Lowassa? Lini na wapi huyo mzee Malecela amesema anamtu anayemuunga mkono kwenye mbio za urais 2015? Kukosoa vitendo vya rushwa na kuanza kampeni mapema mambo yanayofanywa na mafisadi wanaotaka urais kwa nguvu, kinyume cha Katiba na Kanuni za CCM ni kuunga mkono kundi gani katika mbio hizo? Kama kuna kundi linalotaka au linaloendesha harakati zake kwa mtindo huo, Malecela, JK au mwana CCM akiliunga mkono kuna kosa gani? Leo wote wanaomkosoa Lowassa kwa mbinu chafu anazotumia kuisaka Ikulu, wananyoshewa kidole na wapambe au makuwadi wake waliotapakaa kwenye mitandao ya kijamii, vyombo vya habari, taasisi za dini, waganga wa jadi nk. Haya yote yaashiria nini? anasema kwenye harambee za mamilioni anazotoa anachangiwa na watu ambao anajivuna kuwa nao wa kumwaga. Swali, hao marafiki zake ni kina nani? lazima tuwajue maana inawezekana mtu wa aina hii akaingia Ikulu kwa michango ya wauza unga, majambazi au majangiri. Wanapotoa pesa hizo, Lowassa atazirejeshaje? Kama Ikulu hakuna biashara, atazirejeshaje? kwa nini tusihofie kuwa huenda kukawa na Richmond nyingine? Kwa nini tusihofie kuwepo kwa magenge ya wapiga madeal kwenye serikali au kwa kuitumia serikali ili warejeshe pesa zao? Mwalimu Nyerere alionya kuwa Lowassa si mwadilifu hivyo hafai kuongoza nchi. Unabii wa Nyerere ulitimia alipoingiza nchi kwenye mkataba wa kitapeli wa Richmond. Madhara ya mkataba huo yanalitafuna Taifa hadi sasa. Mara mvua za Thailand. Kama huo ulikuwa mpango wa Serikali, kwa nini haukuendelezwa baada ya kujiuzuru uwaziri Mkuu? Haya yote yote kwenu akina pasco na wapiga debe wengine mnaona ni mafuta matamu sana kwa watanzania. Kama Lowassa akiwa rais nakunya barabarani mchana kweupe.
 
Ningependa kuongeza mambo mawili:

Moja, mtoa mada ameshindwa tofautisha baina ya analysis and description; basically, anatuelezea the "WHAT" akidhania anatuelezea the "WHY"; we are more interested with the later (WHY) of which he unfortunately lacks substance;

Pili, mtoa mada anajadili uwezo wa kiuongozi kwa wahusika kwa kutumia kigezo cha kushindwa chaguzi wakati yeye mwenyewe ameshindwa chaguzi nyingi tu ndani ya chama lakini for some reasons, kushindwa kwake aliona ni kukomaa kisiasa, lakini kwa wenzake, it was a political failure; kwa maana hii, moja kwa moja he lacks the moral authority kujadili wahusika kwa suala husika kwa kigezo cha kushindwa katika chaguzi;

Mwisho, his so called analysis is full of "value judgment" i.e subjective evaluation of the phenomenon/personal opinion of how "good" one side is and how "bad" the other side is; kwa njia hii, sio rahisi kufanikisha the objective objectively;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

1. Kaka naona hatujakutana siku nyingi sana, ok naona ulichotaka hapa ni kuonyesha umeenda Shule lakini hata na wewe analysis hujui maana yake, ungejua usingeandika habari za Description nilichofanya ambacho umeshindwa kukielewa nimechambua analytically credibility za wale wanaomsemea Lowasa kuwa Rais, which has nothing to do Description kama unavyosema inaonyesha na wewe umegundua siku nyingi sana kwamba humu hamna wasomi so ukaamini ukiandika maneno maneno ya English basi utaonekana una shule kumbe hujaandika lolote zaidi ya pumba kaka. Huwezi kutumia Description kwenye ku-analyze credibility za watu kama nilivyofanya.

2. Kaka niligombea Ubunge wa Afrika Mashariki nikashindwa and then nikagombea Ujumbe wa Baraza kuu la Taifa Wazazi nikashinda, and nikashinda nafasi zingine na sasa mimi ni:-1. MJUMBE MKUTANO MKUU CCM TAIFA 2. MJUMBE BARAZA KUU LA TAIFA WAZAZI/CCM 3. MJUMBE BARAZA KUU LA TAIFA UVCCM, unasema all these hazinipi Moral authority ya kuongea na kuchambua kama nilivyofanya? Are u serious au unabahatisha kaka au ulikuwa hujui? Ungeuliza kwanza kaka kuliko kujiabisha kama ulivyofanya mnaandika andika tu hovyo hovyo bila kujua unashindana na nani kaka kweli unafikiri mimi na wewe kisiasa tupo level moja? please!!

3. HA! ha! hili la mwisho ndio kabisaa sasa naamini huna elimu kabisa kaka, maana Full of judgement huwezi kuifanya bila FACTS, kwanza nimewataja wasemaji wake na nikatoa na FACTS kwamba ni kwa nini naamini kwa kutumia zile FACTS kwamba hawawezi kumsaidia kuwa Rais maana hawana credibility,

- I understand kaka una elimu ila ni ndogo sana kulinganisha na niliyonayo pamoja na exposure, nakuona mara nyingi sana ukijifanya CCM kwa kuweka picha umevaa shati la Kijani, binafsi sijawahi kuwa -impressed na anything of you humu maana nilishagundua siku nyingi sana kwamba huna elimu ya kutosha na huna exposure, na wewe ulishagundua kwamba humu wasomi sio wengi so unaweza kuruka na ujinga ujinga kama huu ulioandika na kuonekana una elimu sana hasa ukinadika maneno kwa English kumbe umenandika pumba tupu kaka pole sana, next time ukiona mtu aliyendika kama mimi ameenda shule tuliza boli maana utishia kuaibika kama hapa leo hii aibu kaka!!

Le Mutuz
 
kaka unapigana vita kubwa ilizidi bunduki zote ulizonazo,kama cc itafanya maamuzi ya kupitisha jina la lowasa na ukatakiwa kutokupiga kura bado utakuwa umejitendea haki kwani si lazima kumpigia kura kumgombea,unaweza hata iharibu pia ni haki yako.
Wachina wanasema,kama wewe unaona haiwezekani basi waache wanoweza kufanya iwezekane

- Well, good kama mnajiamini kiasi hiki ni safi sana, unajua mgombea Urais ni lazima ujiaminishe sana kwamba umechaguliwa kuwa Rais hata kama bado, nawatakia heri sana na this attitude kaka!!

Le Mutuz
 
Hii habari ya Lowassa imeniduwaza sana. Mtu kaeleza marafiki zake kwenye tafrija binafsi kwamba ndio "anaianza safari ya matumaini ya kutimiza ndoto yake" halafu zinaitishwa "press conference" rasmi kibao kumjia juu kwa kukiuka taratibu kwa "kutangaza kugombea u-Rais ilhali muda bado"! Something is very wrong here. Inaelekea huyu mheshimiwa hata akikohoa au kupiga chafya tu ikanaswa kwenye kipaza sauti, atadaiwa "katangaza kugombea kiaina! On a very serious note, kama chama tawala na Watanzania kwa ujumla wetu tumeishia kuona kuwa mtu kuingia Ikulu ndio mwisho wa yote katika harakati zetu za kisiasa basi tumekuwa mazuzu tusio na kifani. Tunastahili madhila yote yanayotusibu.

Tuvute subra basi, EL atangaze rasmi nia yake rasmi tujue cha kufanya. Ninachokiona hapa ni washirika wake katika "madhambi" (his partners in crime) na mashabiki wao wakijigawa makundi mawili; linalomuunga mkono na linalomkandia - kwa sababu zao binafsi zisizotuhusu wananchi tusiomo kwenye mitandao hiyo.
 
- Kaka nilichofanya ni kusemea yaliyokwisha fanyika mengine siyajui, na hayanihusu!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom