My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

Hawana ufuasi mkubwa wakawa wenyeviti wa Mkoa?! Tena kwa miaka nenda miaka rudi?!!!

Hawana ufuasi mkubwa wakawa wenyeviti wa wenyeviti wote Tanzania???!!!

Just give us a credit man, we deserve more!!!

- Kaka si umeona the backlash mpaka kutoka kwa mkuu wa nchi ina maana credbility haipo kaka, Kuwa Mwenyekiti baada ya kushindwa ubunge wa wananchi wote, au kupoteza majimbo y kwa upinzani na wewe ni mwenyekiti inajisema wazi kwamba huna nguvu kabisaa!! kwenye mkoa sasa utaweza taifa?

Le Mutuz
 
Alibadili jina mwaka 1994 ili apate msaada wa pesa za Waarabu ili zimsaidie katika kampeni za urais mwaka 1995. Hivi wewe ni after 1992?

Hakuna mkuu. Mi ni wa kitambo sana mkuu.
Mwanzoni kabisa mwa 1980's
Yaani before that time, I was
tehe tehe tehe
 
Mkuu wapo wengi sana Japokuwa jamaa amekosea majina yao,Malecela yeye alibadili jina na kujiita Ustaadh Jummane na Lowasa yeye anaitwa Ustaadh Abdalah.

Hii ya Lowassa sidhani kama naiafiki.
Rudi upya aisee.
 
- Kaka naona unataka kuniepeleka kwingine kabisa huko siko fungua thread nyingine hapa ninaongelea waliomsemea so far na wala sio siri amewatuma mwenyewe yaani unasema Mwenyekiti wa CCJ ambaye hatujawahi hata kumsikia majuzi aliamua tu mwenyewe na kuanza kuwachafua wasiomtaka Lowassa kweli kaka? ha1 ha1 ha!

- Ninarudia tena nilichosema kwamba Lowassa atafute wasahuri credible amejaza watu wengi sana ambao wapo huko kutokana na kushindwa saisa za sasa sio kwa sababu wanampenda na ndio maana wanamharibia sana!!

Le Mutuz
na mzee malelela katumwa na nani kumshambulia lowasa??
 
W. J. Malecela Baba yako kamshindwa,

Sembuse wewe??

Hivi Mdingi wake alishindwa na nani vile? Aliyemshinda ana degree ngapi vile? Kama Dingi kagaragazwa na Standrd 7, huyu Kubwajinga si atatolewa Mgolo na EL!
 
Last edited by a moderator:
na mzee malelela katumwa na nani kumshambulia lowasa??
kuna habari zinafichwa hapa kuhusu Mzee Malecela siamini hizi hadithi hapa juu . Akija mtu mwingine tofauti na ES akaja na hadithi tofauti ninaweza ku rethink lakini hadi sasa tumesha ona hapa kwamba ES wale wote ana maslahi nao yuko tayari hata kukutukana ili akuzibe ukweli usisemwe. Nikiunganisha hadithi hii inazua mambo mengi na maswali mengi sana juu ya Malecela na hata uwezo wake ambao tumekuwa tunaimbiwa kila siku hapa . Tuendelee mengi yatasikika .

Nb; hayo ni maneno ya Field Marshal Es mwaka 2006. Usininukuru.

Adios.
 
Kwa kura halali za wananchi Lowasa hawezi kuwa rais wa nchi hii ila, kwa Kura halali za Mabaraza na sekretarieti zote za ccm, lowasa hawezi kushindwa na yeyote CCM! mchana mwema le Mutuz.
 
Mkuu Mtoboa siri, kwanza Pasco wa jf, sio CCM, pili hana chama, tatu ni mkweli daima no matter what!.

Ni ukweli usiopingika, CCM na serikali yake, hawapendi kuambiwa ukweli, na hawawapendi watu wanaosimama kwenye kweli au kusimamia ukweli!. Nape aliopusema ule ukweli wa ukodishaji jengo la UVCCM, alitaka kufukuzwa CCM. Kwenye Richmond, mwenye zigo sio EL, hivyo EL alijiuzulu ili kumkingia kifua mwenye zigo lake na kuiokoa CCM!. CCM kimehodhiwa na matajiri, mafisadi na wala rushwa wakuu, mwenye afadhani ni EL angalau anarudisha kidogo kwenye jamii!. Siasa za CCM ni rushwa, majungu, fitna, zengwe na uongo mwiingi!. Ukijifanya mkweli, CCM itakushinda!. Mkuu Mchambuzi ni mkweli mon, niliisha mwambia yuko on a wrong party!. Huyu jamaa yangu na baadhi ya makala zake, anataka kujidai kuiambia CCM ukweli!, they'll not like it, and kwa kujifanya mkweli, he'll soon end up a looser!. Ili kuweza kusurvive CCM, lazima uwe
  1. Muongo, au muongo muongo.
  2. Mtu wa fitna
  3. Uwe mpika majungu mzuri.
  4. Uwe mnafiki, kwa kusema hili huku you don't mean ti, na kushangilia hata lisiloshangillika.
  5. Mla rushwa na ukiutaka uongozi, uwe mtoa rushwa mzuri, hata ile pilau tuu, au t=shirt na kofia hadi rushwa kubwa kubwa!.
  6. Uwe mtu wa kujikomba komba kwa sana!.
Pasco.


Kamata LIKE yako mkuu!
 
Back
Top Bottom