My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

Mkuu pamoja na kuongelewa ba hao wote uliowataja na wengineo.uwajibikaji wake uko vipi?je uko sawa na walivyokuwa wanawajibika hao waliokuwa wanamuongelea kweli? je,unafikia hata moja ya nane (1/8) ya uwajibikaji wa hao wazee wetu?

- Kaka nimetoa analysis yangu ya toka siku alipotangaza ndoto yake na wasemaji wake mengine sijayagusa kaka, one thing at one time!!

Le Mutuz
 
Hahahaha........
Ni suala la muda tu, hao CCM ulio side nao watakukera tu kwa mambo na maamuzi yao wanayoyafanya kila kukicha yanayodhuru ustawi wa nchi yetu.
Inawezekana kabisa moyo wako umeshakubali kwamba watu wako wa CCM hawafai, na moyo wako unasononeka, lakini mdomoni hutaki kukubali. Siku moja utalipuka tu na kueleza machungu yako mbele ya umma, tuombe uzima tu kaka.

- he! he! kaka yamekuwa haya yaani unasema Mwenyekiti wa CCJ atampa urais Lowassa? please kaka kumbe humpendi!!

Le Mutuz
 
- Kaka huo ukuta walianza kukushikisha wewe mkuu sana ndio maana hata unayajua maana si huwezi kusema njia ambayo hujaipitia? ha1 ha! by the way vipi kuhusu wasemaji wa Lowasa huna hoja au?

Le Mutuz

Subiri, utanielewa tu, ni mimi au ni wewe.
 
- Kwenye maisha yangu ya binafsi nina marafiki wengi sana kaka lakini sio wanafiki nikijua tu kuwa ni mnafiki nakutema na kujiepusha na wewe ndio imetoka iyo kaka hutakaa unione tena anga zako ndio tabia yangu unaweza kutafsiri anything you want ila sina marafiki wanafiki kaka ningekwua nao ningeshakufa kaka!!

Le Mutuz

ww laana ya kutembea na ndugu yako ndio inayokutesa
 
- Baada tu ya Mh. Lowassa kutangaza ndoto yake kwenye Sherehe za Mwaka Mpya huko jimboni kwake, kukaaanza malumbano yakiongozwa na watu wake wa karibu sana wa kwanza alikuwa Msindai, Mgeja, Guninita, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar na Mwenyekiti wa CCJ chama kilichokufa kabla hakijaanza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha. Hawa ndio kweli Mh. Lowassa anayetaka Urais wa Jamhuri hii ndio aliowaona credible Leaders wa kumzungumzia kwa huu umma na kama sikosei kwa maneno mengine anatuambia kwamba akishika Urais wa Jamhuri hii hawa ndio tuwategemee kama Viongozi wakuu wa Taifa.

- Msindai aligombea Ubunge akashindwa, Mgeja chini ya uongozi wake Mkoa wa Shinyanga CCM imepoteza viti vingi vya ubunge kuliko mikoa yote huku Bara, Guninita amegombea Uenyekiti wa Mkoa wa Dar akashindwa na chini ya uongozi wake Majimbo mawili muhimu sana yameenda Upinzani, lakini kweli Lowassa anaamini kwamba hawa wanaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana kama alivyosema mwenyewe.

- Well, simchukii wala simuungi mkono na mbio zake, lakini kwa hayo machache niliyokwisha yaona na kuyasikia maana yake ni moja kwamba sitapata shida ya kuamua kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa kuamua mgombea ambao mimi ni mjumbe kama nimpe kura yangu au hapana, iwapo jina lake litkuwepo!!

- MAKALA YANGU NZIMA YA HII HABARI ITAKUWA KWENYE GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI.

Le Mutuz

Raisi Mzuri wa Tanzania anapashwa mwaka 2015 awe na umri wa miaka kati ya 42 na 47. Itashangaza sana kama tutakuwa na rais mwenye miaka zaidi ya hapo kwani tutaumia sana. Marais wote vijana ndo wenye kufanya kazi kwa weledi na mafanikio
 
Subiri, utanielewa tu, ni mimi au ni wewe.

- Kaka wacha vitisho ongea hoja hapa, ninasema hivi wasemaji wa Lowassa wote hawana credibility na wewe pia maana unatumia jina la bandia, wasp with that wacha vitisho hunitishi kaka ha! ha!

Le Big Show
 
- Kaka nimetoa analysis yangu ya toka siku alipotangaza ndoto yake na wasemaji wake mengine sijayagusa kaka, one thing at one time!!

Le Mutuz
Mkuu naomba nikushauri kitu kimoja kidogo sana,lakini kitakachokujengea heshima walau kidogo katika jamii. Acha kumchafua na kumpinga EL,weaka hadharani upande uliopo wewe na anza kumpigia debe yule unayemuona anafaa bila ya kumchafua au kuwachafua wapinzani wake. Jenga hoja juu ya huyo unayemuunga mkono mkuu ili uwaaminishe watanzania (na hasa wajumbe wanaopiga kura wa CCM) ili wampitishe kama wataridhika na hoja zake na zenu nyie wapiga debe wake.
 
[h=2]Lissu amshukia Lowassa[/h]
Na Grace Macha

KADA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi, Edward Lowassa anadaiwa kutumia kigezo cha udini kutaka kuungwa mkono kwenye harakati za kukimbilia Ikulu jambo linalohatarisha amani ya nchi.

Aidha Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuweka hadharani majina ya watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya ambayo aliwahi kulitangazia Taifa kuwa anayo vinginevyo itakuwa ni vigumu kuondoa mashaka kuwa si mshirika wao.

Hayo yalisemwa juzi na Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu na wakati akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Sombetini, Ally Bananga kwenye viwanja vya Ngusero.

Lissu alisema kuwa baada ya Lowassa kuona hana sifa za uongozi kutokana na kuwa si muadilifu wala safi kulingana na tuhuma za ufisadi zinazomwandama ameamua kukimbilia makanisani akiwashawishi viongozi wa dini wamuuunge mkono kwa kigezo cha kuwa ni Mkristo mwenzao.

"Kuna makada wengine wa CCM nao wanazunguka huko misikitini wakisema hii ni zamu yetu sisi Waislam hivyo anashawishi wamchague kwa kigezo cha Uislam tu .Hawa watu wanasahau dini si kigezo wala sifa ya uongozi tuwakataeni, sijui wanalipeleka wapi hili Taifa zaidi wanatutafutia machafuko hawatufai wote hawa," alisema Lissu.

Akizungumzia muswada wa madiliko ya katiba, Lissu alisema kuwa katiba inasema kuwa nchi ni moja lakini kwa sasa kuna Maamiri Jeshi wawili ambao mmoja ni Mwenyekiti wa CCM, Kikwete na mwingine ni Makamu wake, Dk Mohamed Shein jambo alilosema kuwa ni hatari sana hasa ikitokea wakitofautiana na kupishana kauli ilihali wote wanamajeshi.

JUHUDI ZA KUMPATA LOWASSA KUZUNGUMZIA MADAI HAYA ZILIGONGA MWAMBA BAADA YA SIMU YAKE YA KIGANJANI KUPOKEWA NA MTU MWINGINE AKIDAI MBUNGE HUYO WA MONDULI YUKO KIKAONI AMBAPO ALITAKA APIGIWE BAADA YA SAA MOJA.

ALIPOPIGIWA TENA SIMU HIYO ILIITA BILA KUPOKELEWA
​
 
Mkuu naomba nikushauri kitu kimoja kidogo sana,lakini kitakachokujengea heshima walau kidogo katika jamii. Acha kumchafua na kumpinga EL,weaka hadharani upande uliopo wewe na anza kumpigia debe yule unayemuona anafaa bila ya kumchafua au kuwachafua wapinzani wake. Jenga hoja juu ya huyo unayemuunga mkono mkuu ili uwaaminishe watanzania (na hasa wajumbe wanaopiga kura wa CCM) ili wampitishe kama wataridhika na hoja zake na zenu nyie wapiga debe wake.

- Kaka please sihitaji ushauri wako mwanzo nilikuwa sijakuelewa sasa nimeanza, sihitaji usahuri wako nimetoa hoja zangu na wewe toa zako hoja yangu ni kwamba wasemaji alionao Lowassa kama ndio hawa hana wengine hawezi kupata urais kwa sababu hawana credibility, eti what is your point on that mengine baki nayo mwenyewe kaka!!

Le Mutuz
 
- Kaka niligombea nafasi ndani ya chama nikapata by the way wewe una nafasi gani kama mimi za Taifa au ndio wale wale mburulazzzz? ha! ha!

Le Mutuz

Nani kakwambia mi ni kaka? alafu mbona unajichekesha chekesha hovyo kama bwabwa?
 
Nani kakwambia mi ni kaka? alafu mbona unajichekesha chekesha hovyo kama bwabwa?

[h=2]Lissu amshukia Lowassa[/h]
Na Grace Macha

KADA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi, Edward Lowassa anadaiwa kutumia kigezo cha udini kutaka kuungwa mkono kwenye harakati za kukimbilia Ikulu jambo linalohatarisha amani ya nchi.

Aidha Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuweka hadharani majina ya watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya ambayo aliwahi kulitangazia Taifa kuwa anayo vinginevyo itakuwa ni vigumu kuondoa mashaka kuwa si mshirika wao.

Hayo yalisemwa juzi na Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu na wakati akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Sombetini, Ally Bananga kwenye viwanja vya Ngusero.

Lissu alisema kuwa baada ya Lowassa kuona hana sifa za uongozi kutokana na kuwa si muadilifu wala safi kulingana na tuhuma za ufisadi zinazomwandama ameamua kukimbilia makanisani akiwashawishi viongozi wa dini wamuuunge mkono kwa kigezo cha kuwa ni Mkristo mwenzao.

"Kuna makada wengine wa CCM nao wanazunguka huko misikitini wakisema hii ni zamu yetu sisi Waislam hivyo anashawishi wamchague kwa kigezo cha Uislam tu .Hawa watu wanasahau dini si kigezo wala sifa ya uongozi tuwakataeni, sijui wanalipeleka wapi hili Taifa zaidi wanatutafutia machafuko hawatufai wote hawa," alisema Lissu.

Akizungumzia muswada wa madiliko ya katiba, Lissu alisema kuwa katiba inasema kuwa nchi ni moja lakini kwa sasa kuna Maamiri Jeshi wawili ambao mmoja ni Mwenyekiti wa CCM, Kikwete na mwingine ni Makamu wake, Dk Mohamed Shein jambo alilosema kuwa ni hatari sana hasa ikitokea wakitofautiana na kupishana kauli ilihali wote wanamajeshi.

JUHUDI ZA KUMPATA LOWASSA KUZUNGUMZIA MADAI HAYA ZILIGONGA MWAMBA BAADA YA SIMU YAKE YA KIGANJANI KUPOKEWA NA MTU MWINGINE AKIDAI MBUNGE HUYO WA MONDULI YUKO KIKAONI AMBAPO ALITAKA APIGIWE BAADA YA SAA MOJA.

ALIPOPIGIWA TENA SIMU HIYO ILIITA BILA KUPOKELEWA​
 
- Kaka wacha vitisho ongea hoja hapa, ninasema hivi wasemaji wa Lowassa wote hawana credibility na wewe pia maana unatumia jina la bandia, wasp with that wacha vitisho hunitishi kaka ha! ha!

Le Big Show

Dah nimepitia posts zote za field marshal nimekuvulia kofia, yaani una mitusi sijapata kuona, nimegundua wewe ni mnafiki aw kiwango cha juu, as field marshal unamtukana Mkuu afu unamlambalamba kwa kutumia W. J. Malecela, wewe kweli kabambe.
 
- Wanaomsemea Lowassaz hawana credibility kaka so is you maana unatumia ID ya bandia vipi hapo?

Le Mutuz
 
- Ni kawaida ya mabwabwa kujisema yenyewe kama ulivyofanya bila hivyo wengine tutajuaje mkuu sana? ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Nadhani Nyerere alifanya la maana sana kumuengua mzee wako kwenye kinyang'anyilo cha urais, japo mzee wako hakuwa mropokaji hivi lakini uharo alioutoa ni kithibitisho kuwa naye ni heterozygote mentally unfit coz uwehu unarithiwa biologically sasa kwako kuna homozygous recessive genes ndio maana umejitokeza.
 
- Wanaomsemea Lowassaz hawana credibility kaka so is you maana unatumia ID ya bandia vipi hapo?

Le Mutuz

Ni kama wewe unavotumia id ya field marshal es, na mimi kuna wakati natumia id yenye jina na picha yangu, ila tofauti na wewe Mimi nikitumia id fake huwa simtukani mkuu wa nchi au yoyote,.... Nasikia sikia yanayotokea mabwepande
 
Le.mutuz ni janga la kitaifa
Ni wa kuogopwa ka ukoma
Ni wa kuogopwa ka ukimwi
Damn le baharia
#team lowasa
 
Ni kama wewe unavotumia id ya field marshal es, na mimi kuna wakati natumia id yenye jina na picha yangu, ila tofauti na wewe Mimi nikitumia id fake huwa simtukani mkuu wa nchi au yoyote,.... Nasikia sikia yanayotokea mabwepande

- oK VIPIkuhusu credibility ya wanaomsemea Lowassa kaka maana mengine hayo ni waste of time la msingi ni hoja ayngu kwamba wanaomsememea pamoja na wewe wote hamna credibility!!

Le Mutuz
 
Nadhani Nyerere alifanya la maana sana kumuengua mzee wako kwenye kinyang'anyilo cha urais, japo mzee wako hakuwa mropokaji hivi lakini uharo alioutoa ni kithibitisho kuwa naye ni heterozygote mentally unfit coz uwehu unarithiwa biologically sasa kwako kuna homozygous recessive genes ndio maana umejitokeza.

- Wewe sasa unaharibu kabisaa Nyerere ametokea wapi hapa? ha! ha1

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom