William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #61
Le Mutuz huwa nakuunga mkono sana mkuu,
Ila kwa leo hapana, Katika list ya watu walioongea
juu ya Lowassa wapo Paul Makonda na Pia Mzee wako
mbona hao hujataja madhaifu yao???
Na sisi pia ni viongozi mkuu katika huo mkutano unao utaja.
You need to fair inorder to play fair game!!!
- Kaka hao hawagombea Urais mwenye tatizo ni anayegombea Urais, sasa kweli utapata Urais kwa kuongelewa na watu kama Guninita?
Le Mutuz