Sidhani kama nina haja ya kujadili sana utofauti baina ya description and analysis kwani utofauti huu unaonekana wazi and in practice katika
#1 hapo juu; isitoshe, any analysis ya kiwango unachotaka kuweka inahitaki an analytical framework or framework of analysis, je katika hoja yako ya msingi, what's your analytical framework? Supporters wa Mzee Lowassa kushindwa katika chaguzi za chama (ccm)? Nadhani kila mtu anaona jinsi gani upo mtupu katika hili; ushauri wa bure toka kwangu ni kwamba:aidha borrow an analytical framework toka sehemu huku ukitueleza ni wapi then build your arguments au build your own analytical framework from the ground up with details on all assumptions, limitations, parameters and so forth ili ujijengee mazingira ya kuheshimiwa kwamba you are disseminating knowledge kwa kuongezea new knowledge katika bwawa la knowledge ya politics za nchi yetu;
Kwanza unakubali kwamba ulikuwa dereva wa malori makubwa ya mizigo marekani, na ndio maana nikasema kwamba hongera sana iwapo uliamua kusoma baadae; na kama yamekupa degree mbili, hili ni jambo la kheri sana, sasa ni wakati wa kuonyesha tu kwamba you are not only educated but you are also enlightened;
Pili usikimbie ukweli kwamba ulikuwa unaendesha malori tayari by 1995 kwani sio mara moja nimekutana na wewe katika social gatherings mbalimbali new york ukiwa na mke wako mtoto wa marehemu uncle ngwilulupi;
Hapo juu unasema ulichofanya ni "ku analysis", nadhani hii ni typo tu kwani hakuna kitu kama "ku analysisl"bali ni "ku analyse"; that said and done, bado hauwezi kukwepa the fact kwamba what you presented was a political observation or political opinion based on harakati za kusaka urais kuelekea 2015; sijui nini cha kubisha hapa wakati hauna any data set zaidi ya hear say za hapa na pale, lakini mbaya zaidi, kama analysis yako ipo based on a research you did ambayo hujatueleza, such research kwa hakika lacks validity and reliability or replicability kwani any valid research inatakiwa kutoa majibu yale yale hata kama mtu mwingine atarudia kuifanya; kwa kifupi, your so called analysis ina output ambayo haipo guided by intellect, bali its guided by personal experience and emotions;
Pia hii ni zaidi ya mara mbili sasa unahoji nimesoma wapi, kwa kawaida I don't this matters zaidi ya swali umefanyia nini nchi yako au jamii yako na elimu yako, na ni hapa ndipo tofauti ya kuwa educated na kuwa enlightened hujitokeza; lakini kwa vile unataka kujua nimesoma wapi, nimejaliwa haya and mostly kwa migongo ya walipa kodi aidha directly au indirectly:
Bsc in Economics and Information Systems (USA), Msc, Economic Development (London - University College London), MBA (also London), Master of Philosophy in Technology Management and Innovation (sussex university UK) na hivi sasa ni PhD candidate London School of Economics;
But again, they say education is key, question that follows is, pamoja na kusoma kote huku, education has been key to what? Inawezekana ikawa ni key to mlango wa choo; hapa narudia juu ya tofauti ya kuwa educated and kuwa enlightened;
Kuhusu ccm nadhani nimeshajieleza, na tofauti na wewe, sipo huu to kiss ass; isitoshe it is in the records huu kwa ID ya field marshal ES ukimtukana rais kikwete about six years ago kwamba ni janga la taifa n.k;leo unamlamba miguu, kwa lipi tofauti? Acha unafiki!
Usikwepe ukweli kwamba ulikuwa dereva wa malori makubwa ya mizigo USA in mid 1990s, na usikatae kukutana na mimi, au nikutajie baadhi ya sehemu ulizokuwa unakuja na mke wako? Moja wapo ni kwa maafisa ubalozi wetu pale UN (New York) weekends kula lunch na kunywa bia;
Hoja ipi, using "kushindwa chaguzi" kwa viongozi loyal to lowassa as your analytical framework? Kama ni hilo, tafadhali rejea hapo juu nilipojibu nukuu yako namba tatu; na kama ni juu ya Lowassa iwapo anafaa kusimamishwa na ccm, inawezekana wapo wanaofaa zaidi yake lakini so far binafsi bado sijaona mwingine kwani wengine wote wanaotajwa tajwa kwa mfano sitta, ni wale wale ambao walipambana na nyerere 1995 kumkingia kifua Lowassa kama mgombea kwa hoja kwamba anaonewa; mpaka mwalimu anafariki, sitta hakuwa amebadili msimamo wake, now my question to you is: what has changed in Sitta's mind today? Ndio maana katika woooote wanaotajwa tajwa, kura yangu ni kwa lowassa iwapo atasimamishwa lakini itategemea chadema wanamsimamisha nani kwani hata 2010 kura yangu ya urais ilienda Ccm lakini ubunge kwa halima mdee kawe kwani sikuona kama mgombea wa ccm angela kiziga alikuwa anatosha zaidi ya wengi wa ccm waliofanyiwa mizengwe na ccm; vinginevyo, katika nafasi ya mgombea urais, bado kama chama tuna muda wa kufanyia kazi suala hilo, pengine with time atapatikana anayefaa zaidi ya lowassa but so far katika wote wanaotajwa, binafsi sioni nani anafaa zaidi;
Mwisho, inaelekea unaumia sana kuona hoja zangu humu JF kiasi cha kufikia kusema nina agenda maalum;kama hauna taarifa, mimi ni mwanachama humu tangia enzi za jamboforums na agenda yangu ni ile ile - kubadilishana mawazo na watanzania wenzangu katika subjects mbalimbali za kisiasa, kiuchui na kijamii kwa lengo la kubadilishana uzoefu na pia kujifunza zaidi;ndio maana tofauti na wewe ambae kutwa unashinda jukwaa la siasa ukijiita kiongozi wa kitaifa, wenzako pia utatukuta kwenye mijadala ya kiuchumi, technology, utamaduni n.k;
Isitoshe wewe ndiye mwenye agenda ya siri and with time I shall reveal it;
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums