My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

kwa ufafanuzi tu, hoja yangu ilikuwa tusiishie kusema ya Mhe. Lowasa na watu wake, bali tuwachambue watu wote ambao wametangaza nia ya kuwania urais kupitia vyama vyao. Ukiishia kumjadili Mhe. Lowasa wengine wanaweza kutafsiri kuwa una chuki binafsi na Mhe. huyu ilihali inaweza kuwa tofauti kabisa. Hivyo tuanzie chama tawala kisha tumalizie vyama vya upinzani. kwa mfano mm nackia ccm waliotangaza nia kwa vitendo sio kwa kutoa matamako katika vyombo vya habari na ninaosikia wakitajwa sana na wengine wanapita katika nyumba za ibada kutafuta kuungwa mkono ni hawa-
1. Mhe. Membe
2. Mhe. Dk. Asha migiro
3. Mhe. E Nchimbi
4.Mhe. Dk Mwakyembe
5. Mhe. Mwandosya, naona bado iko nia fulani
6. Mhe. Ngeleja
7. Mhe. S. Sitta
8. Mhe. Sumaye- huyu ana nia na kuna matamko ambayo naona yanaashiria mwisho wake anataka nini
9. Mhe. Magufuli ingawa hajatamka bayana lakini tunasikia anatajwa
10. Mhe. Lowasa, naye matamshi yake wengi wametafsiri ana nia ya dhati kugombea urais
11. ongeza...................

Kwa kuwa mwenzangu uko chunguni hebu tupe uchambuzi mujarabu kisha nasi tuchangie na kupiga kura hapa jamii forum

natumaini utakuwa umenielewa

- Kaka mimi siamuliwi na mtu wa kumjadili kwenye siasa za bongo si unajua kila wakati ninavyomtwanga MWenyekiti wa Chadema leo nimeanza na Lowassa siku nyingine nikiona mgombea mwingine anapiga kelelele hewa nitamtwangaz tu mimi sichagui na wala sina kambi, nimesema majuzi mgombea urais atakayenihakikishia kurudisha nyumba za Serikali nitampa kura yangu na nitampigia kampeni kufa na kupona!!

- Na sitishiki na yoyote I mean wasap mtanimwamgia tindikali ot what? ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
- Kaka unajua hapa nimekuwepo kwa miaka mingi sana nimewaona majabli hapa lakini hakuna aliyenitisha kaka ninaweza kutishika kidogo sana na mtu anayetumia ID ya kweli, lakini wengine wote hamna lolote kelele za mlango kama Mchambuzi ni mwanaume wa kweli si ajitokeze jina lake kamili hapa tuone kama na ubavu huo kama wangu, nakwambia hivi FMES mpaka Mkuu wa Usalama wa Taifa anamjua nyie mnahangaika hapa kurusha majina ya bandia unafikir mimi ni kama wewe kunguru kunguru,

- Jina langu hapa ninaitwa:- William J. Malecela aka Le Mutuz Le big Show La baharia ha! ha! ukinitaka zaidi njoo kule Super Blog!! kwa le wakareeeezzz!! ha! ha!

Le Mutuz

Wewe rukaruka tu, watu tunajua tangu zamani wewe ndio field marshal na ushamtukana sana Mkuu wa nchi nae analijua Hilo kuwa ulikuwa unamtukana . Saivi unalamba viatu vya rizmoko ili akapendekeze jina lako kwa babake ili akuingize kwenye system, utabaki huko huko kushinda sport lounge na kulala sebuleni kwa mdingi wako
 
- HA! HA! HA! kaka wacha umbeya wewe si mwanaume hayo mambo ynayoyafanya saa wachie kina dada kaka, wewe mwanaume kazana kaka mwanaume mzima unakaa unalialia wanaume wengine wasap maan? simama jibu hoja hapa ninasema hivi Lowassa anasemewa na watu wasio na credibility kabisa watamzamisha maana hawakubaliki na jamii unasemaje on that kaka? ha1 ha!

Le Mutuz
 
- Kaka mimi siamuliwi na mtu wa kumjadili kwenye siasa za bongo si unajua kila wakati ninavyomtwanga MWenyekiti wa Chadema leo nimeanza na Lowassa siku nyingine nikiona mgombea mwingine anapiga kelelele hewa nitamtwangaz tu mimi sichagui na wala sina kambi, nimesema majuzi mgombea urais atakayenihakikishia kurudisha nyumba za Serikali nitampa kura yangu na nitampigia kampeni kufa na kupona!!

- Na sitishiki na yoyote I mean wasap mtanimwamgia tindikali ot what? ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Sikubariani nawe kwamba unadharau timu ya Lowassa sababu kuna waliowahi kugombea nafasi furani wakashindwa, kushindwa uchaguzi hakumaanishi ufinyu wa kufikiri kumbuka hata Kikwete alishindwa 1995 lakini sasa ni rais, Magufuri alishindwa Biharamulo lakini sasa ni mbunge wa mfano, wewe mwenyewe umeshagalagazwa chaguzi mbalimbali lkn uwezo wako wa kufikiri haujaathilika baba yako naye alishindwa uchaguzi lkn hukumpuuza wala kumnyima shikamoo, tafuta hoja zenye mashiko nasi tukuelewe japo nami simkubari huyo jamaa.
 
Hapa umejipendekeza kwa Le Mutuz, lakini jibu lako amekuita Nonsense.

Hii ndio zawadi ya kujipendekeza. Mkubwa mzima huna msimamo wewe kati ya ban na kumtukana JK unadhani kipi kinaimpact?

Alichoongea Mchambuzi ni kitu cha kweli na hata wewe huwa unajichanganya hadi unakiongelea kipindi chako cha kiti moto na ushaidi ninao ukitaka nikuwekee hapa kama hiyo ndio name calling.

Mtu mkubwa na na familia yako hupaswi kuwa mnafki, hata Jamal Malinzi alishawahi kujichanganya pia kwa ID yake nyingine.
Mkuu Matola, unless hunijui who is real me!, sijipendekezagi kwa mtu yoyote, bali ni mtetezi tuu wa haki, name calling ni kosa, hata likifanywa na nani bado ni kosa!. I belong to the group la masikini jeuri, I never bow down to anybody unless I have to!.
Pasco
 
Wewe boya unatafuta bwana? Angalia baharia huyo asijekukuchana marinda bure.

Unabisha hauna kadi ya ccm na ya chadema we bwenga?? Alafu mkikaa umu mnaita wengine wanafiki...
 
- Kaka tizama Rais wa sasa alikuwa anaongelewa na watu kama Kawawa, Kisumo, Kingunge je utawalinganisha hawa na Mwenyekiti wa CCJ? Guninita? ha! ha! jamani msaline mtume kaka watu wenye akili wanawaangalia marafiki zako kwanza, sasa wewe kweli Urais wa Tanzania unaweza kwenda kuongelewa na Mgeja au Msindai? Kaka you cant be serious!!

Le Mutuz
Mkuu pamoja na kuongelewa ba hao wote uliowataja na wengineo.uwajibikaji wake uko vipi?je uko sawa na walivyokuwa wanawajibika hao waliokuwa wanamuongelea kweli? je,unafikia hata moja ya nane (1/8) ya uwajibikaji wa hao wazee wetu?
 
- Kaka nimesikia sana ila umeamua mwenyewe sio mimi, kwa kawaida huwa sina marafiki wa aina hii kaka ambao tunaweza tuka kaa chini na kuongea mambo mengi serious na muhimu kwenye maisha yetu halafu wakaja kwenye mitandao like the way you came leo, great kaka nimekusikia sana ila aliyeamua ni wewe mwenyewe kaka sio mimi understand that kwamba Mlango umeufunga mwenyewe sio mimi ni kweli nimeufunga kaka kama ulivyotaka.

- Naomba kukukumbusha kwamba hata wakati tuliposafiri pamoja ningejua kwamba this is how you think of me nisingethubutu kupanda gari lako kaka, ila ninashukuru sana kwamba nimekuelewa na kama kawaida yangu huwa sina tatizo kufanya maamuzi magumu sana unaweza kuwauliza wanaonijua kwa karibu zaidi yako kaka.

Le Mutuz

mkuu kumbe uko hivyo, kisa cha kumtisha mwenzio ni nini? kwa sababu za kusema ukweli au sababu za kumuunga mkono lowassa?..
Nakumbuka moja ya thread na michango yako umewai kusema mbowe ni rafiki yako sana nje ya siasa lakini kila kukicha una muattack sana tena kwa maisha yake binafsi tena ya familiya yake na ndoa yake as if wewe ni msafi sana katika hilo, bt still yeye ni rafiki yako, iweje Pasco umnunie kisa nini? ufai kuwa kiongozi kama jambo dogo kama ili tena lipo wazi lime kutoa nishai na kususa kama upo vidudu sasa maswala ya kitaifa uta yaweza?....
 
- HA! HA! HA! kaka wacha umbeya wewe si mwanaume hayo mambo ynayoyafanya saa wachie kina dada kaka, wewe mwanaume kazana kaka mwanaume mzima unakaa unalialia wanaume wengine wasap maan? simama jibu hoja hapa ninasema hivi Lowassa anasemewa na watu wasio na credibility kabisa watamzamisha maana hawakubaliki na jamii unasemaje on that kaka? ha1 ha!

Le Mutuz

Ngoja niandae ushahidi wa dereva mmoja wa malori new York in mid 90s alikuwa anashikishwa ukuta
 
Ur rit mbaba mwambie huyooo...na amini Lowassa ndio Rais 2015 kunapo majaliwaaaaaa....
anae bana abane tu ila habari ndio hiyooooo...
 
- Mtajibeba kaka nyie si ndio mnataka urais wa kupewa na MWenyekiti wa CCJ! ha! ha! ha!

Le Big Show

Hahahaha........
Ni suala la muda tu, hao CCM ulio side nao watakukera tu kwa mambo na maamuzi yao wanayoyafanya kila kukicha yanayodhuru ustawi wa nchi yetu.
Inawezekana kabisa moyo wako umeshakubali kwamba watu wako wa CCM hawafai, na moyo wako unasononeka, lakini mdomoni hutaki kukubali. Siku moja utalipuka tu na kueleza machungu yako mbele ya umma, tuombe uzima tu kaka.
 
mkuu kumbe uko hivyo, kisa cha kumtisha mwenzio ni nini? kwa sababu za kusema ukweli au sababu za kumuunga mkono lowassa?..
Nakumbuka moja ya thread na michango yako umewai kusema mbowe ni rafiki yako sana nje ya siasa lakini kila kukicha una muattack sana tena kwa maisha yake binafsi tena ya familiya yake na ndoa yake as if wewe ni msafi sana katika hilo, bt still yeye ni rafiki yako, iweje Pasco umnunie kisa nini? ufai kuwa kiongozi kama jambo dogo kama ili tena lipo wazi lime kutoa nishai na kususa kama upo vidudu sasa maswala ya kitaifa uta yaweza?....

Huyu jamaa alipokuwa anagombea nafasi za kichama na kupigwa chini niliona ccm hawako fair kwa kushindwa kumpa uongozi japo kwa heshima ya baba yake lkn kupitia uzi huu nimegundua walikuwa sahihi kabisa, jitu kubwa linapoongea utumbo hadharani na kujichekesha chekesha kama katekenywa hafai hata kuwa class monitor.
 
- Kaka niligombea nafasi ndani ya chama nikapata by the way wewe una nafasi gani kama mimi za Taifa au ndio wale wale mburulazzzz? ha! ha!

Le Mutuz
 
Ngoja niandae ushahidi wa dereva mmoja wa malori new York in mid 90s alikuwa anashikishwa ukuta

- Kaka huo ukuta walianza kukushikisha wewe mkuu sana ndio maana hata unayajua maana si huwezi kusema njia ambayo hujaipitia? ha1 ha! by the way vipi kuhusu wasemaji wa Lowasa huna hoja au?

Le Mutuz
 
mkuu kumbe uko hivyo, kisa cha kumtisha mwenzio ni nini? kwa sababu za kusema ukweli au sababu za kumuunga mkono lowassa?..
Nakumbuka moja ya thread na michango yako umewai kusema mbowe ni rafiki yako sana nje ya siasa lakini kila kukicha una muattack sana tena kwa maisha yake binafsi tena ya familiya yake na ndoa yake as if wewe ni msafi sana katika hilo, bt still yeye ni rafiki yako, iweje Pasco umnunie kisa nini? ufai kuwa kiongozi kama jambo dogo kama ili tena lipo wazi lime kutoa nishai na kususa kama upo vidudu sasa maswala ya kitaifa uta yaweza?....

- Kwenye maisha yangu ya binafsi nina marafiki wengi sana kaka lakini sio wanafiki nikijua tu kuwa ni mnafiki nakutema na kujiepusha na wewe ndio imetoka iyo kaka hutakaa unione tena anga zako ndio tabia yangu unaweza kutafsiri anything you want ila sina marafiki wanafiki kaka ningekwua nao ningeshakufa kaka!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom