My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Pole sana huku kuna ma stalkers, wao hawana jema na unaloliandika, hapo anakutukana na ID yake,hujui nyingine ngapi anazo tumia kukutukana?,,,,Mimi nataka kuwaomba mods wawe wanafuatilia stalkers , ikigundulika wewe ni stalker unapigwa life ban, we all want to have good time and feel safe while using JF!
Seriously ...why would you insult me out no wherever... Kama anataka matusi SI tukatukanane huko Dm...

Why akiona Comment zangu ndo anaaza kuporomosha mitusi yake
 
Yh! It happened kwa yoyote yule 'in a lifetime!
1. High school, nilikuwa nikimuona napata mpaka mshtuko [emoji3] ila akaja kunitaka kipindi ambacho nishamuona wa kawaida sanaaaaa..

2. Nilim'crush mtu humu ndani, nikiona ameniqoute nitasmile hapo nakuwa sina tofauti na chizi fresh. Mbaya zaidi ilikuwa mpaka akuqoute aisee inachukua muda... Wonders shall never cease, alivyoanza kunilike na kuniqoute zile feelings zimekufa [emoji10] ila bado iko siku nitakayomwambia 'hapo zamani kidogo palikuwa na moja na mbili.

3. Alinipenda yeye, akanifanya nikampenda boom kitumbua kikaingia mchanga.... Ehehe sitaki kukumbuka vile nili'struggle kumsahau na kumuona wa kawaida. Naishukuru akili ilifanikiwa now nimejifunza zile za mguu nje mguu ndani, Mimi kwanza wengine baadaye...Na'enjoy kwa kweli
Vipi kwa Sasa?
 
She is very BEAUTIFUL, NAKAZIA MKUU.
Naam. Madume matatu. Wote tunaongelea na kutoa ushuhuda wa mwanamke mmoja aliyebarikiwa sana na kuwa msaada kwa wengi. Kweli kuna watu waliopewa karama hapa duniani.

Ili kuogopa tusije tukavunja protocol tukaishia hata kumtaja kabisa, mi naomba nijitoe. Ila niseme tu kuwa the lady is very unique na kuna ishu moja hivi bila yeye ingeweza hata kuniua. Lakini alisimama kidete kunisaidia wakati wala hanifahamu. Kuna watu na binadamu hapa duniani. Pengine siku moja nitaweza kulipa fadhila zake japo kidogo tu iwezekanavyo.

Thanks gentlemen [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
She is the one Mkuu. Ngoja ninyamaze Mkuu.

Kumbe ndio maana unanioiga vita, we are on the same race, hapa mnaongea tu kunitia wivu lakini najua hakuna la kweli mnaloongea ni kujibust tu muonekane vidume

Ila nimehisi kama kuchomwa na mshale ulivyo na confidence na unavyomsifia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom