BAK najua unampenda huyu mama, i can tell it from your comments, mimi ni mfatiliani mzuri sana na kama nilvyosema nimemfatilia since 2014She is the one Mkuu. Ngoja ninyamaze Mkuu.
We mwanamke, ncheki tsapp tuongee ishuTobaa😀😀
He is sick in the headHuyo labda alikua mvuta bangi, msamehe bure
Limenivutia toka kitamboLimefanyaje
BAK najua unampenda huyu mama, i can tell it from your comments, mimi ni mfatiliani mzuri sana na kama nilvyosema nimemfatilia since 2014
All the best bana, mimi amenipiga mute na block juu
Unaweza kuta ni wewe! si wanasema ni tokea 2014Mtajen
Mnaongea kwa codes ngumu mno! Salimeti fungueni codes japo kidogo tumtambue super wumani pia🤔, ila popote ulipo hongera zako hizi sifa zinamaanisha msaada wako na hekima zako zinawasaidia watu! Keep it up😍Kwani ulishawahi kuonana naye? Au ni avatar tu na michango yake ndiyo ilikudatisha? Ukija kubahatika kumuona halafu ugundue ni toto moja refu jeupe somi la Kibarbaig umbo mkatiko utafanyeje wakati umeoa na yeye kaolewa?
Nakwambia tena let it go [emoji16][emoji16][emoji16]
Ameniblock sijui hata kama anasoma huu uzi, ningejua na mimi ningemfata PM kwa gia ya msaada labda by this time tungekua pazuriMnaongea kwa codes ngumu mno! Salimeti fungueni codes japo kidogo tumtambue super wumani pia[emoji848], ila popote ulipo hongera zako hizi sifa zinamaanisha msaada wako na hekima zako zinawasaidia watu! Keep it up[emoji7]
Tatizo lako unaringaaHana sifa hizo
Internet bullies...Ni kuwapotezea tu. Na kujifunza tabia za watu wa kuwa nao kwa kuangalia dalili korofi kungali mapema ili kuepuka maumivu kama haya huko mbele ya safari. Na JF hii kwa sasa wengi ni wanafunzi. Kizazi hiki kipya kimekuzwa na mitandao na hakina ethics wala utu kivile. Ni matusi mtindo mmoja, hakuna subira wala kujenga hoja na kuvumiliana. Ni shida sana na inaonekana this bully real hurt you. Pole sana !!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..... Sasa Kama Ni Ex....shida yake Ni Nini?
Mbona Mimi sihangaiki kumporomoshea mitusi.....
He just wakes up and chooses violence
Acha tu mkuu, natamani hata angeonekana kwenye huu uzi japo hata kulike ningesuuzika moyo sana ila ndio kwanza ameniblock kabisa, moyo unaniumaaa
Just imagine mtu aaanze kukutana tu ...after seeing your comments...Internet bullies...Ni kuwapotezea tu. Na kujifunza tabia za watu wa kuwa nao kwa kuangalia dalili korofi kungali mapema ili kuepuka maumivu kama haya huko mbele ya safari. Na JF hii kwa sasa wengi ni wanafunzi. Kizazi hiki kipya kimekuzwa na mitandao na hakina ethics wala utu kivile. Ni matusi mtindo mmoja, hakuna subira wala kujenga hoja na kuvumiliana. Ni shida sana na inaonekana this bully real hurt you. Pole sana !!!
Poa Poa man!Tulia basi man