NishamjuaHata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.
Mpaka sasa hajawahi kujua na hatokuja kujua....usikute ni mbabu wa watu hukoo😀😃😃🤔🤔🤔🤔
mkuu, we na uyo jamaa mnamgombania Madame S au ?Bora unyamaze mkuu kama huna cha kusema
Mimi Kuna mtu Alikuja PM...hatukufikia MAKUBALIANO...Ni mwendo wa matusi tu kila Akiona comment zangu...Mara naliwa kimasihara...Mara kahaba...Mara najiuza buguruni...Mara na bwawa la mtera ....MAra nimeshikia Panga anioe yeye haoi Makahaba.......
Nashukuru Mungu moderator wamekuwa wakizifuta baadhi ya comment zaka na mjibu yangu.
Analazimisha Nije na ID mpya....kwakweli
Nimeshangaa Sana na visa vya Huyu mutu
Pole sana, kwa jinsi ninavymheshimu huyu mama, siwezi kusema baya lolote juu yake na nikiona mtu anasema baya nitapambana naeMimi Kuna mtu Alikuja PM...hatukufikia MAKUBALIANO...Ni mwendo wa matusi tu kila Akiona comment zangu...Mara naliwa kimasihara...Mara kahaba...Mara najiuza buguruni...Mara na bwawa la mtera ....MAra nimeshikia Panga anioe yeye haoi Makahaba.......
Nashukuru Mungu moderator wamekuwa wakizifuta baadhi ya comment zaka na mjibu yangu.
Analazimisha Nije na ID mpya....kwakweli
Nimeshangaa Sana na visa vya Huyu mutu
Kumbe hii haki ya ku crush sio mimi.peke yangu, shida ni kwamba tu moyo umegoma kumpotezea huyu mwana mamaYh! It happened kwa yoyote yule 'in a lifetime!
1. High school, nilikuwa nikimuona napata mpaka mshtuko [emoji3] ila akaja kunitaka kipindi ambacho nishamuona wa kawaida sanaaaaa..
2. Nilim'crush mtu humu ndani, nikiona ameniqoute nitasmile hapo nakuwa sina tofauti na chizi fresh. Mbaya zaidi ilikuwa mpaka akuqoute aisee inachukua muda... Wonders shall never cease, alivyoanza kunilike na kuniqoute zile feelings zimekufa [emoji10] ila bado iko siku nitakayomwambia 'hapo zamani kidogo palikuwa na moja na mbili.
3. Alinipenda yeye, akanifanya nikampenda boom kitumbua kikaingia mchanga.... Ehehe sitaki kukumbuka vile nili'struggle kumsahau na kumuona wa kawaida. Naishukuru akili ilifanikiwa now nimejifunza zile za mguu nje mguu ndani, Mimi kwanza wengine baadaye...Na'enjoy kwa kweli
HahahahaTumechelewa Sana Ndugu Zangu
JF yote midume, kuwa makini
we mwache, izo nyege zake zinampeleka putaMwambie
huna uhakika maana hujawaimwonaNina uhakika ni mwana mama, nimemfatilia tangu 2014 na sina hata chembe ya wasiwasi juu ya jinsia yake
Yaaani...sijui Hata anashida gani.... yaani Ni ViTa.Duh! Kuna watu wengine wamekosa manners kabisa. [emoji15][emoji15][emoji15]