My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
mtende sijawai muona hata akitumia emoj ya aina yoyote ile

mama katili sana huyo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
ukichunguza vizuri watu wa aina hiyo huwa wanakua na changamoto flani zinazowafanya wasiwe huru sana hata kwenye majukwaa yenye privacy kubwa kama hapa!

unaweza kuta bidada ana bonge la disorder ambayo inamtesa kisaikolojia ndani kwa ndani
 
Usizungumze jambo.ambalonhuna uhakika nalo, na usimvunjie mtu heshima yake kwa sababu unataka kufurahisha genge
Sawa mkuu nmekuelewa na najua unavyojihisi, ila you are a man potezea tu kwn ushapenda wangapi mkuu mpk ss? We mcheki tena PM akizingua achana naye cz wapo hivyo hawa viumbe, ukimkazia sn atakusumbua ila uki calm down utashangaa cku PM hiyoo "mambo".
 
ukichunguza vizuri watu wa aina hiyo huwa wanakua na changamoto flani zinazowafanya wasiwe huru sana hata kwenye majukwaa yenye privacy kubwa kama hapa!

unaweza kuta bidada ana bonge la disorder ambayo inamtesa kisaikolojia ndani kwa ndani
Una matatizo wewe si bure, mimi nadhani mtende yupo busy na huwa anasocialize hapa kama tu akiona kuna ulazima na sio kwamba kuna jambo linamzuia au ana tatizo

Wivu unakusumbua mbuzi wee
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom