AlishaniblockSawa mkuu nmekuelewa na najua unavyojihisi, ila you are a man potezea tu kwn ushapenda wangapi mkuu mpk ss? We mcheki tena PM akizingua achana naye cz wapo hivyo hawa viumbe, ukimkazia sn atakusumbua ila uki calm down utashangaa cku PM hiyoo "mambo".
hii mambo imenikumbusha kipindi hicho tunatongoza tusiowajua kwa njia ya simu kisa sauti imekuvutia...... siku ya kuonana unamtoroka stend maana mtu ni kituko[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Eti sasa mmoja kaoa mwingine kaolewa
Hadi hapa ushashindwaUnatoa hutoi?[emoji16][emoji16]
pole sana mkuu, nayaelewa unayoyapitia!Una matatizo wewe si bure, mimi nadhani mtende yupo busy na huwa anasocialize hapa kama tu akiona kuna ulazima na sio kwamba kuna jambo linamzuia au ana tatizo
Wivu unakusumbua mbuzi wee
Sawa nimekuelewaBasi epuka sana kukaa peke yako, pia usiwe karibu na kamba au vitu vyenye Ncha Kali... haya maisha tu.
Basi muwache tu cz km feelings over her umeshaziweka hadharani na anaona usidhani haoni, we endelea na mishe zako wanaume hatuna cha kupoteza.Alishaniblock
hahahaaaaaaa usinichekeshe aisee!Mimi nina crush wangu humu wewe [emoji23]
Amekufa ameoza,bado tu kunifungulia uzi hapa.
Hawezi kuja, naogopa asije akaanzisha uzi kuwaomba mods waufute huu uzi hapa, najisikia vibaya natamani niwaombe mods waufute maana nahisi amekwazika, hajapay attention at all
The best are yet to come[emoji2960]hahahaaaaaaa usinichekeshe aisee!
Hofu yangu ni kwamba huyu dada ni mke wa mtu na alishaweka wazi wapa jukwaani na anaonekana ni mtu ambae yupo commited kwenye ndoa yake,kitendo cha yeye kuupotezea tu huu uzi basi si sign tosha kwamba amepuuza na hana mudaYou’re not a man enough, tukubaliane hilo kwanza kisha tuone namna sahihi ya kukusaidia.
Unaishije kwa hofu namna hii?
Mtende amekuja kujibu???
Angekua na interest na mimi mkuu asingeniblock na anenipa nafasi tangu mwanzo nilipoanza kumtumia pm, ila amekua akinipuuza na hajawahi kunijibu pm hata moja, mbaya zaidi alipoona huu uzi akapiga block mbaya
SawaWewe soma commwnts usepe