Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Kweli magufuli alikuwa shetani Yani post yangu haijasema chochote kuhusu ubaya wa mwakasege ila wewe ushamhusisha na tiss tekateka ya shetani pombe !
Kwani mtu akiwa tiss Ni lazima awe muovu na muuaji au roho mbaya?
Mungu anaweka watu wake popote
 
Mwakasege anafundisha bibilia na Ndiyo maana unaona anaongea hivyo ila wale wabaya Ndiyo hujihisi kusemwa . KUHUSU mwaposa mafundisho yake ni ya tofauti na bibilia

Nioneshe wapi mungu alitumia keki kutibu
 
Nilimsikia kwenye ile semina ambayo aliifanya kabla hajaenda Dar juzi Kati.

Nimesema anamponda Mwamposa kwà siri sana...bila kumtaja but kwà kutaja mambo anayoyafanya....anatumia akili kubwa sana kuingiza mabango yake kwà waumini wake ili wasiende kwà Mwamposa...aka the BULLDOZER
Una majungu ya kike wewe

Na koma kabisa kumchafua mwakasege
Baki na mwamposa wako hukoooo
 
Jamaa anafundisha kweli ya Mungu ( experience )

Mwakasege yeye anafundisha kweli ya Neno ( History )

And remember, experience is the best teacher.

Kati ya Mwakasege na huyo Mwamposa Nani ana experience?. Mwakasege ana miaka zaidi 34 kwenye huduma halafu unaongelea experience ?.

Huyo Mwamposa wa kutapisha watu viwembe na kuwamwagia maji ana Nini Cha ziada?
 
Sijabisha....lakini ukweli ni kwamba ukweli uliomo kwenye Neno la Mungu hauwezi kamwe kukuweka huru..., Ukweli unaoweza kukuweka huru ni ule utokao kwà Mungu mwenyewe live...., Sio ule wa kwenye kitabu chake...


Siku ukijua tofauti Kati ya Holy Spirit na Holy Ghost, then hapo utajua Kati ya Mwakasege na Mwamposa...nani anatumia Holy Spirit na nani anatumia Holy Ghost

Tatizo unalazimisha ligi. Mwakasege huwezi mlinganisha na huyo Mwamposa. Subiri Mwamposa abaki hivyo kwa miaka 30 ndipo umfananishe na Mwakasege.
 
So kumbe mnakubali kuwa jamaa ni mtu ambae anawapa ukweli wa kwenye vitabu...ambao mtu yeyote anaweza kujifungia akasoma na akaupata tu kirahisi? Acheni uvivu...

Tafuteni Ufalme wa Mungu na haki zake....mtaijua kweli kutoka kwenye sauti yake. Hata mkisikia yeyote mwenye sauti ya Mungu mtajua anachokisema ni kweli.

Sijui unaongea Nini. Unalazimisha mtume na Mwalimu wafanane?.
 
Hahahahahah Mwakasege bana.....

Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.


Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...

Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?

Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!


Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Wewe una shida na Mwl. Mwakasege. Mwakasege ana focus. Umetumwa wewe.
 
Vipi kuhusu nyomi? Check la Mwamposa....daah kama la Yesu kabisa yani!

Nani mtenda miujiza?? Utasikia watu " YESU"

Na wewe nasema pokea watoto mapacha!!!! AYAYAYA!!!!
Muujiza hata wacahwi wa misri walitengeneza nyoka mbele ya Musa achana na miujiza fake hiyo ya mafuta hadi inaua watu angalia neno la Mungu kwanza kwanini utumie viambatanishi kwani jina La Yesu halitoshi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom