Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

π˜π€ππ’ 𝐦𝐰𝐚𝐦𝐩𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐒 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐀𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐀𝐚𝐬𝐞𝐠𝐞 𝐣𝐚𝐩𝐨 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐭𝐨𝐀𝐞𝐚 π¦π›πžπ²πš
 
Tatizo unataka ligi, naamini zaidi katika mafundisho ya kitabu zaidi ya miujiza.
Source A: Meditation

1. Knowledge 2. Wisdom 3. Understanding 4. Revelation

Source B: Manifestation

So usikubali kugandishwa kwenye hatua ya KWANZA kwΓ  muda mrefu.

Jiulize , ni lini utapata uwezo wa kumuombea hata mtoto wako akapona?
 
π˜π€ππ’ 𝐦𝐰𝐚𝐦𝐩𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐒 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐀𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐀𝐚𝐬𝐞𝐠𝐞 𝐣𝐚𝐩𝐨 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐭𝐨𝐀𝐞𝐚 π¦π›πžπ²πš
Sema "AYAYAYA"
 
Source A: Meditation

1. Knowledge 2. Wisdom 3. Understanding 4. Revelation

Source B: Manifestation

So usikubali kugandishwa kwenye hatua ya KWANZA kwΓ  muda mrefu.

Jiulize , ni lini utapata uwezo wa kumuombea hata mtoto wako akapona?

Omba tu upewe roho mtakatifu tu akuongoze, mshukuru Mungu. Mtoto ukiona ana homa mpeleke hospitali ujue anatatizo gani.
 
1. Sickness 2. Diseases 3. Illness 4 . Malady

Kuna vitu vya kupeleka hospital na vingine si vya kupeleka hospital.

Ni vyema ukatambua ipo tofauti kubwa sana Kati ya human beings na human creatures
 
Siku moja niko home natafuta station inayopiga masebene ya mida ya jioni nika-stuck kidogo kwenye redio ilikuwa ina mahubiri.. kuna sauti iliniambia sikiliza hata dakika moja. Nikajikuta nimesikiliza mahubiri yote, alikuwa Mwalimu Mwakasege. Toka siku hiyo nikatokea kumkubali sana kwenye mafundisho yake. Kwasababu mimi ni mtu mwenye akili nyingi huwa akiongea kitu sijamwelewa namwachia tu yeye mwenyewe na waliomwelewa.

Mwamposa yuko tofauti kabisa na Mwakasege. Mwamposa ni wa kumfananisha na GeorDavie, Zumaridi, Suguye au Mzee wa upako. Hao ndo wanaendana.
 
Hahahahahah Mwakasege bana.....

Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwΓ  waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.

Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...

Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?

Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!

Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Wote hao ni kundi moja. False prophets.
 
UKOMBOZI wa familia kila siku saa tatu usiku ARISE AND SHINE TV
 
Mwakasege anafundisha neno la Mungu. Mwamposa hafundishi neno, yeye anawatatulia wanaomuamini shida zao. aliyebora ni Mwakasege. waumini wengi wa Mwamposa and the like hawaijui biblia.
 
Hahahahahah Mwakasege bana.....

Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwΓ  waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.

Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...

Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?

Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!

Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Lakini Sasa MWAKASEGE ashakusanya sadaka tangu enzi hizoooo. Mwamposa hawez mfikia kamwee
 
Kuhusu Sadaka....hilo usiongee kabisa. Mwamposa ni tajiri....yani sio poa...ni maB na maBrrrrrrr

KwΓ  taarifa YAKO...

Sasa anataka kununua Big Screens na kuzifunga kwenye Stadiums za kila Mkoa....watu watakua wanakwenda pale siku za Jumapili kusali. Atatuma mapastor wasaidizi wake....kwenye mikoa hiyo....kwΓ  maelekezo maalumu. Watu watakua wanaombewa na kutendewa miujiza live .

Then....from MaB to MaT, within a very short time.

Mtume kwasasa ni Tajiri namba Moja Tz.

Sawa, we endelea kubisha bana, sikulazimishi kuamini!
 
Mmoja ana karama ya ualimu/kufundisha, mwingine ana karama ya uponyaji/kutoa mapepo majini n.k

Mmoja anahubiri nafsi za watu ziokoke, mwingine mahubiri yake ni juu ya kupata utajiri na jinsi ya kujikinga na wachawi wasikudhuru kwenye biashara, kulinda vyeo na nafasi ya kazi mtu aliyonayo.

Mmoja anauza vitabu vyenye mafundisho ya kiroho ya kukujenga kiimani, mwingine anauza maji na mafuta kama kinga dhidi ya pepo wachafu na watu wabaya

Wote wanatumia jina Yesu katika mafundisho , ila wamegawana karama za kitumishi..swali ni, yupi Gugu na yupi ni Ngano?
 
Sema yote...but issue ipo kwenye Neno la Mungu. Neno ni lile lile na litasimama milele na milele.

Tatizo ni kwamba , watu Hupenda kujiita wenyewe kufanya projects za Mungu wakati yeye hajawaita. Na mwisho wa siku hulitumia Neno la Mungu kwΓ  akili zao wenyewe.

Sote tunatambua, Jina la Yesu Kristo lina nguvu sana. Kama kweli umeitwa kufanya Kazi za Mungu , kitu cha KWANZA lazima akufunulie nguvu zilizomo kwenye jina hilo.

Neno la Mungu na Jina la Yesu Kristo vyote vinakaa pamoja ...

Kama kweli Neno la Mungu limemjaa na anaijua nguvu ya jina la YESU,..kwanini huwa hafanyi maajabu? Miujiza? Ishara? Ni Jina la Yesu yupi analolitumia?
 
Kuhusu Sadaka....hilo usiongee kabisa. Mwamposa ni tajiri....yani sio poa...ni maB na maBrrrrrrr

KwΓ  taarifa YAKO...

Sasa anataka kununua Big Screens na kuzifunga kwenye Stadiums za kila Mkoa....watu watakua wanakwenda pale siku za Jumapili kusali. Atatuma mapastor wasaidizi wake....kwenye mikoa hiyo....kwΓ  maelekezo maalumu. Watu watakua wanaombewa na kutendewa miujiza live .

Then....from MaB to MaT, within a very short time.

Mtume kwasasa ni Tajiri namba Moja Tz.

Sawa, we endelea kubisha bana, sikulazimishi kuamini!
Basi mtume amemzidi MWAKASEGE sababu anatumia teknologia ya tehama, MWAKASEGE yupo NYUMA sana kidigitali. Hakika Dunia ipo kiganjani
 
Back
Top Bottom