Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

mbona mwaka mbali sana kwanini usiseme kesho?
Mungu hufanya Kazi zake pale mtu anapokua amejisahau kabisa. Ndio maana katengeneza usingizi. Utakuja kuikumbuka hii thread ukiwa kwà Mwamposa
 
Mwalimu wa SHERIA au sio? Kama wale viongozi wa dini waliowaconvis waumini waseme YESU asurubiwe......#Teachers of the Laws.....ambao walikua hawajui hata kuzaliwa mara ya pili maana yake nini....
hawa wanyakyusa mwakasege, mwamposa, lusekelo...wote wanadoma bibilia unaitafsiri vipi hii huduma kwa watu/ waumini wako. wengi hatusomi, hatuna kalama, hatuisishi na maisha yetu ya sasa na yajayo, hatusimami na neno. Tujifunze kuchukua mema kuyasimamia na kuyatenda kwa imani ili tuziponye nafsi zetu.
 
Janja janja au sio? Is that what you mean? Kama ni Kazi rahisi....jaribu na wewe basi?!! Nyomi lote lile?

Nakumbuka hata Herod alionaga wivu kwà YESU...alijua kabisa ...akiwa mkubwa watu watakua wakifuata mara kwà mara...

Weeee Mama SAMIA hawezi kujaza uwanja wa mkapa kiasi kile ....mfxxxx we unafanya mchezo nini?
Sababu wajinga ni wengij
 
Sababu wajinga ni wengij
God oftenly, uses the foolish things to shame the wise.

Kule ambako unaona kuna mijinga mingi ndo huwa yuko Mungu.

Sema "AYAYAYA"

Na wewe pokea kwà jina la YESU
 
Hahahahahah Mwakasege bana.....

Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.


Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...

Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?

Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!


Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Upo mbali sana na Nuru. Ondoka gizani.
 
Upo mbali sana na Nuru. Ondoka gizani.
How beautiful are the feet of those who know the truth of God.

Note: Nuru na Mwanga huongozana pamoja. Next time ukiongea mambo ya nuru uuseme na Mwanga pia.
 
Back
Top Bottom