Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwakasege ameanza hata mwamposa hayupo
Afu leo umshindanishe nae?

Broh mwakasege ni habari nyingine kabisa
Anamafundisho ya maana
Sasa kama kaanza kitambo mbona matokeo hayaonekani?

Problem + Solution = Results

Watu watasikikiza Neno mpaka lini? Ni Neno gani la Mungu lisiloweza kupenya kwenye mifupa? Nyama? Ngozi? Tendons?

Anyways...mi namchukulia kama motivation speaker

Ni Sawa tu na wale ma pastor wanaohubiri business kingdom
 
Kwenye mambo ya ki roho na kiimani hakuna mashindano sababu kila mtu kaitwa kwa kipawa chake na kiukweli mwl mwakasege yeye mwenyewe anaamini katika hilo na wala haingiliagi mtu katika kipawa chake ndo maana mpaka kesho anatoaga credit kwa mzee mwinjilisti moses kulola.hili swala la kuwalinganisha na kuwalinganua ni utashi wako tu na upumbavu wa kwenu
What is the word of God?
 
Mwakasege Yuko idara ya usalama wa taifa tiss na hata mkapa aliposhika nchi mwaka 1995 alienda nae USA kwenye ziara ya kukuza uchumi (mwakasege kitaaluma ni mchumi) alipofika kule ndipo akapewa roadmap ya kucheza na uchumi wa Tanzania Incase serikali ikiboronga! Kwao mwakasege ni tukuyu nyuma ya mji kidogo TU Kuna shule ya msingi amejijengea nyumba kubwa ya kawaida ila Ina matofali yale ya stendi ! Binti yake kuwa pilot wa Rais sio jambo dogo baba amefanyiwa vetting kubwa akiwemo daktari wa Nyerere Dr David homeli mwakyusa aliyekuwa mkurugenzi wa hospital ya taifa ya muhimbili! Kiufupi mwakasege ni tiss 100%
Hapa sasa ndo umeongea.
 
Mwakasege alienda Italy na mkuu wa majeshi na mkurugenzi wa tisss wakati wa jakaya wakalala hoteli inayotazamana na piaza navona
Ujue Mimi nilitaka kushangaa, Neno gani la Mungu lisilokua na matokeo?

So ni kama yule jamaa anayehubiri issue za karama, vipawa, vipaji ....anaredio ya injili hapo dar

Anaitwa Askofu Gamanywa.

Nasikia nae ni TISS. Alipewaga Uongozi TACAIDS ( MKURUGENZI WA MAMBO YA UKIMWI TANZANIA) .
 
Mwakasege anafundisha bibilia na Ndiyo maana unaona anaongea hivyo ila wale wabaya Ndiyo hujihisi kusemwa . KUHUSU mwaposa mafundisho yake ni ya tofauti na bibilia

Nioneshe wapi mungu alitumia keki kutibu
Ni kweli anafundisha biblia. Tena kwà kutumia Akili zake. Ni lecturer wa somo la biblia.

Na ndio maana , Neno haliwezi kumanifest kwenye miili ya watu na kutoa matokeo chanya.

Kwani wewe unashindwa kujisomea biblia chumbani kwako?
 
Kati ya Mwakasege na huyo Mwamposa Nani ana experience?. Mwakasege ana miaka zaidi 34 kwenye huduma halafu unaongelea experience ?.

Huyo Mwamposa wa kutapisha watu viwembe na kuwamwagia maji ana Nini Cha ziada?
Experience sio unayoijua wewe...I mean , ya kuwa kwenye huduma kwà muda mrefu.

Mungu anaweza kumchagua mtu leo na akaanza kupiga vizuri sana kushinda hata mwenye miaka 40 kwenye huduma.

#Manifestions
 
Sijui unaongea Nini. Unalazimisha mtume na Mwalimu wafanane?.
Neno la Mungu ni lile lile. Ninachoangalia hapa ni matumizi ya Neno hilo. Naangalia Kati yao , nani anayelitendea Kazi vizuri, ..period!
 
Experience sio unayoijua wewe...I mean , ya kuwa kwenye huduma kwà muda mrefu.

Mungu anaweza kumchagua mtu leo na akaanza kupiga vizuri sana kushinda hata mwenye miaka 40 kwenye huduma.

#Manifestions
Bado hata huelewi mambo ya huduma,acha kuongea usiyoyajua,Hawa watu Wana huduma tofauti na utendaji wake tofauti ss unafananisha kitu gani?
 
Mwakasege sio Mwalimu wa sheria bali Mwalimu wa neno la Mungu.
Sijakataa, hata wewe unaweza kuwa hivyo , ...jifungie na uwe serious kusoma bible. Issue ni manifestion ya hilo Neno.
 
Neno la Mungu ni lile lile. Ninachoangalia hapa ni matumizi ya Neno hilo. Naangalia Kati yao , nani anayelitendea Kazi vizuri, ..period!
Hakuna ulinganushi wa huduma, kasome biblia yako, mwalimu na mtume ni huduma 2 tofauti!
Tena Kila mtu ana maelekezo yake ya namna alivyoitwa ,acha kufananisha vitu tofauti
 
Back
Top Bottom