Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Ukiona wachungaji sijui manabii wanasemana sababu kuu ni sadaka ila kila mtu na imani yake bwana mwakasege namkubali sanaa na mwamposa pia ila kusali kanisa langu kkkt siachi
....watu wengi kule wanafata maombi maalumu ya uponyaji na shuhuda za miujiza, akifanikiwa anahamia mazima.....ila wakikwama wengi hurudi kwenye makanisa yao....
 
Na huduma ya yesu walilipa kiasi gani??

Kama umeamua kumpromote mtu wako na miujiza yake tafuta namna nyingine..... Yeye tayari ana watu sasa kingine nini mnataka .

Mimi natafuta kuifahamu kweli.
Kweli ipi sasa? Itukanayo na Neno? Au itokayo kwà Mungu?

Na ipi Kati ya hizo unadhani inaweza kukuweka huru?
 
Watumishi wa Mungu hawaoneanagi miwivu ya sadaka, au miwivu ya kufukuziana kondoo.

Assignment huwa ni Moja tu...kuchunga kondoo na kuhakikisha zote zinafika kwenye the same future.
Sasa ulichokileta hapa ni nini?Hebu leta ushahidi wa kitu ulichokisema hapo juu,weka video au audio.Mimi nafuatilia mafundisho ya Watumishi wote wawili kwa nyakati tofauti sijawahi kusikia haya unayosema,Unaonyesha hutumii busara katika Ukristo wako zaidi unauabisha tu
 
Kwahiyo nikienda kukanyaga mafuta na maji ndo nitakuwa na akili.... Acha nibaki na ujinga wangu..... Ila huyo Mungu mnae fundishwa neno lake huko mtafakarini sana.....
Jamaa anafundisha kweli ya Mungu ( experience )

Mwakasege yeye anafundisha kweli ya Neno ( History )

And remember, experience is the best teacher.
 
Sasa ulichokileta hapa ni nini?Hebu leta ushahidi wa kitu ulichokisema hapo juu,weka video au audio.Mimi nafuatilia mafundisho ya Watumishi wote wawili kwa nyakati tofauti sijawahi kusikia haya unayosema,Unaonyesha hutumii busara katika Ukristo wako zaidi unauabisha tu
Aliyasema maneno hayo dakika za mwisho wakati wa kumalizia mkutano wake ...kabla hajaanza kuomba sadaka. I was so amazed! Nikabaki kushangaa kwanini kaongelea mambo ya keki....afu baada ya hapo akaelekea dar kufungua mkutano mwingine pale kawe.
 
Nini kimetokea?


Sikia mtu wangu...Neno la Mungu ni kama upanga...kama kweli limo ndani ya mtu na likamtoka kwenye kinywa chake...lazima kitendeke kitu...ishara, miujiza, maajabu lazima vitokee....sio makelele tu!
Kitu ambacho unachanganya ni kimoja,mwakasege ni mwinjilist yani ni mwalimu,anafundisha neno la Mungu kwa watu na waelewe na walifanyie kazi kisha Mungu atatenda kadri ya walivyolipokea.

Mwamposa ni nabii,anafundisha,anaponya,anavunja nguvu za giza na watu wanapokea. Na amefungua kanisa lake

Ila mwakasege hana kanisa lake,ni muumini wa moravian au kkkt

Mungu kila mtu kampa kipawa chake,huyu mwalimu yule nabii ,wapo pia waimvaji,watafsiri ndoto,watabiri nk.usichanganye mambo

Mwamposa mfananishe na kina antony lusekelo,gwajima,kakobe,geodav nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyasema maneno hayo dakika za mwisho wakati wa kumalizia mkutano wake ...kabla hajaanza kuomba sadaka. I was so amazed! Nikabaki kushangaa kwanini kaongelea mambo ya keki....afu baada ya hapo akaelekea dar kufungua mkutano mwingine pale kawe.
Weka Ushahidi usilete maneno matupu,tuambie ilikuwa tarehe ngapi na wapi?weka link,video au audio tuone
 
Unalinganisha vitu viwili tofauti. Mwakasege ni mwalimu wa neno la Mungu hiyo ndiyo huduma yake na jina la huduma hiyo ni MANA. Mwamposa ana huduma ya kitume na jina la huduma yake ni INUKA UANGAZE. Hawa wawili wana watu wao wa kuwalinganisha.
Sijabisha....lakini ukweli ni kwamba ukweli uliomo kwenye Neno la Mungu hauwezi kamwe kukuweka huru..., Ukweli unaoweza kukuweka huru ni ule utokao kwà Mungu mwenyewe live...., Sio ule wa kwenye kitabu chake...


Siku ukijua tofauti Kati ya Holy Spirit na Holy Ghost, then hapo utajua Kati ya Mwakasege na Mwamposa...nani anatumia Holy Spirit na nani anatumia Holy Ghost
 
Nilimsikia kwenye ile semina ambayo aliifanya kabla hajaenda Dar juzi Kati.

Nimesema anamponda Mwamposa kwà siri sana...bila kumtaja but kwà kutaja mambo anayoyafanya....anatumia akili kubwa sana kuingiza mabango yake kwà waumini wake ili wasiende kwà Mwamposa...aka the BULLDOZER
Ebu sema alimpondaje ?

Nb mwakasege hana waumini na hana kanisa,ukiona mkutano wake jua amealikwa,kaitwa,au semina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah Mwakasege bana.....

Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.


Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...

Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?

Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!


Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Hili neno "AYAYAYA" Lipo na maana gani
 
Back
Top Bottom